King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,984
Hahaha tatizo unakosea jinsi ya kuomba. Bible inasema muombee mema adui yako manake kwa kufanya hivyo unampalia makaa. Ushapata picha kupaliwa makaa inakuwaje?? Yaani wewe ukikasirika muombee baraka. Muambie Mungu muinue flani asifanye haya afanyayo, mpe hekima jinsi ya kuenenda. Utauona mziki wake! Hapo kwanza unabaki na amani tele as a bonus
Teh afu sometimes Mungu ana makusudi jamani. Yani mtu anaweza akakutenda ya kukutenda afu kwa akili zako za kibinadamu unatamani Mungu amuadhibu mapema. Bahati mbaya zaidi unakuta Mungu anambariki huyo mtu than ever teh