King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,984
Wanawake wana mahesabu makali sana, ukikua utaelewa. Formulae yangu ni hii, kuutumikia msamaha ni ngumu sana. Ningekuwa mwanaume, mara ya kwanza tu mke wangu ananifumania ningebeba rambo ya nguo zangu nisepe.
(nna hamu nijue huyo mama alicheka tu ama alimrudishia mumewe 'unq kibamiq ndo maana umeshindwa kukausha bwawa' lol. )
(nna hamu nijue huyo mama alicheka tu ama alimrudishia mumewe 'unq kibamiq ndo maana umeshindwa kukausha bwawa' lol. )
Ni true isipokuwa ni ngumu sana,kuna jirani yangu mama mwenye watoto 4 mumewe alikuwa anatoka na binti jirani,huyo mume kamwambia kimada mke wangu ana bwawa na k yake nilikuta wameiharibu wanaume wengine,kuna siku pakatokea fumanizi yule kimada anamtukana yule mama yale maneno machafu alioambiwa na yule mume mbele za watu na watoto na mume akawa anapigilia misumari,kweli wewe una bwawa,baadae mume kamwomba msamaha wanaishi ila mke alikonda ghafla nadhani mawazo,aisee ningekuwa mimi nisingeweza kuendelea kuishi na huyo jamaa,.ebu angalia hilo jambo mke lazima atakawa na huzuni kila siku