Ukitongozwa nuna!

yaani acha njia hii waijue wadada wote.manake mmezidi sasa,yaani jitu hata halikujui eti linamwaga sera! mie straight forward tunaanza ku-negotiate mahari kabisa,babangu ntamalizana nae mwenyewe!
mh unafull technique. Kweli umejizatiti kuwapoteza. Hizi njia usinge zipost kwani itakuwa noma wote wakikuiga.
 
Pdidy, anawadanganya msinune kwani ahitaturudisha nyuma, Ona wangu alivyo nuna, lakini ninaye kilasiku
 
yaani acha njia hii waijue wadada wote.manake mmezidi sasa,yaani jitu hata halikujui eti linamwaga sera! mie straight forward tunaanza ku-negotiate mahari kabisa,babangu ntamalizana nae mwenyewe!

hahaha umenichekesha sana leo lol
 
Huyo hajanuna, ni mbaya tu kama demu wangu wa zamani (Mhehe). Alikuwa mbaya ila kwenye game nilikuwa namkubali.
Duh! Umenikumbusha mbali jamani, dem mwenyewe alikuwa fundi magari .....
 
hao ndio wazuri fundi magari ,sonara wapiga debe mnaokimbilia wenye mekiapu mara sijui yuko baclays mnakutana na MGENI mnaanza kulalama
mgeni huyu mgen huyu balaa ameingia chumban kwa baba na mama wamemwagiwa upupu mgen huyu afai
ONYO
UKIMWI UNAUA
 
kununa ni MANJONJO TU, kumbe anakubali kiaina, ikipita mida anaanza kujuta kuwa kwann alinuna!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom