Ndo umpate wa huyo wa kumchimba mkwara; wengine akili zap hazipo vizuri tehNtamchimbia mkwala mzito hadi ataniogopa tu.
Kitu kimepinda, hadi wewe mwenyewe akili inakukaa sawa tehUtafikiri wanavuta kitu cha Arusha hahaaaa...
Hahaha mahaba tuue, tuponde ponde kama nyanya. Ntakutumia video ili umeze mate vizuri. Teh fanya vitu amazing kwa ajili ya wafilipino wote
We jamaa una akili sana. Nachukia, unagombana na manzi yako basi anakimbilia kuweka ugomvi wenu kwenye WhatsApp.
Kuna mabinti wana shida sana aisee
We jamaa una akili sana. Nachukia, unagombana na manzi yako basi anakimbilia kuweka ugomvi wenu kwenye WhatsApp.
Kuna mabinti wana shida sana aisee
Inaonekana hata hao wazazi wako ni wapole na wataratibu sana, wazazi wengine hawapendi kuona kila kukicha unawapelekea mpenzi mpya. Watakuona kuwa una 'longolongo' nyingi.hi dunia ni mviringo na mungu pekee ndo anayeiweza
kwangu mimi ni tofauti mi ndo napenda kuwatambulisha sana mabinti nyumbani kwetu mpaka sasaivi nshawatambulisha mabinti saba nikiendelea kuwafanyia upembuzi yakinifu mmoja bada ya mwingine
Wanaboa kweli. Status hizo ni balaa sana. Unakuta mwanamke hana hata ile aibuJitu umelipiga chini bado linakimbilia kuweka status na profile zenye vijembe nikablock kabisa na namba yake nikafuta hiyo ndio bye bye kabisa
Kuna watu akili zao wanazijua wenyewe.Halafu jitu limesoma hilo wakati mwingine wengine chuo wemeenda kutimiza wajibu tu sio kujifunza busara..
Aisee kweli kwenye miti hamna wajenzi.haya mambo yakutongoza mademu nimeiona hata mimi aisee juzijuzi tu hapa nilimtokea demu mmoja hivi tukapiga swaga za hapa na pale tukaachana kesho yake demu yule ananipigia simu ananiuliza bby uko wapi mi nina hamu sana leo duuu mi nikajifanya sijamwelewa una hamu ya nn? akajib yaani kwa jinsi tulivyoongea jana nilivutiwa sana na maongezi yako njoo basi leo tuonane, basi mwanaume nikajivuta zangu kwenda alipo kufika tu hivi ananikumbatia nakuniambia mpenzi twende tukapumzike nataka ile kitu yako bana nahisi ni tamu sana heeeee mi nikashangaa sana baadae nikampotezea coz sikuwa na mzuka wowote wakusex nikasepa zangu bassiiii demu kesho yake alinilaumu kweli akidai kwamba hutaki mm niolewe na wewe jamani? ndo mambo hayo ya kisasa wenzetu wanataka ndoa za haraka haraka ka maharage ya mbeya...
Mwanaume ndo analilia kutambulishwa?Wenzenu wanalilia kutambulishwa nyie hamtaki, kweli haya mambo hayana formula, utasikia "baby hivi mbona simfahamu hata rafiki yako mmoja?"
Unashangaa??Mwanaume ndo analilia kutambulishwa?