Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,397
Hahah me kila siku kwangu ni valentine, si unajua wafilipino ni mahabati mwanzo mwisho. Ila lazima ntafanya kitu fulani hivi amazing sana![]()
![]()
Hahah..mate yananijaa hapa kuijua hiyo amazing yako maana itakua amazing kweli japo kuna ile nyingine pia naiandaa kama team wafilipino hahaha wacha mahaba yatuuwe tu sisi!