Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,397
Teh basi utanishtua muda ukifika nianze kusmailipo
Hahah...kila wakati usijali!!
Teh basi utanishtua muda ukifika nianze kusmailipo
Hahaha kutaka kutambulishwa kwenu sio guarantee ya mtu kujielewa. Kuna watu wana hobby ya "kutambulishwa". Na huko kutambulishwa kwenyewe ndo ile home kwenu wanijue tu kama nipo au ndo kukamilisha mambo?Teh teh..Ila ukipata msichana anayetaka kutambulishwa home ujue huyo anajielewa kidogo..Wanawake waruwaru kuwapeleka home inabidi ufanye kazi ya ziada aisee
Teh teh hobby on fleek. Ahsante sanaTeh teh...Wana hobby za ajabu ajabu hawa..Cha msingi ni kujitoa ufahamu tu na ww..Kuna mmoja aliniambia hobby yake ni kuteleza kwenye barafu..Jibaba nikachoka
Hahaha kutaka kutambulishwa kwenu sio guarantee ya mtu kujielewa. Kuna watu wana hobby ya "kutambulishwa". Na huko kutambulishwa kwenyewe ndo ile home kwenu wanijue tu kama nipo au ndo kukamilisha mambo?
Teh teh hobby on fleek. Ahsante sana
We did that last weekend. Mfilipino nina vitu amazing store, subiri tu videos, utashaaaHahah...You Only Live Once!!
Halafu mfilipino breakfast na maua flan mekundu mezani pembeni ya ule mnara wa paris asubuhi ya valentine ni amazing flan sana kabla ya lunch na dinner
We did that last weekend. Mfilipino nina vitu amazing store, subiri tu videos, utashaaa
Hahaha sitaki kutia mbwembwe, utajioneaHahaha unazidi kuniua hapa
masikini roho yangu...roho yangu tu uniachie na hiyo mahaba store haha
Hahaha sitaki kutia mbwembwe, utajionea
Teh ..Hobby ya kutambulishwa sio..Nope,Anayetaka kutambulishwa atleast utamuona yuko serious na yuko tayari kuwa committed...Hahaha kutaka kutambulishwa kwenu sio guarantee ya mtu kujielewa. Kuna watu wana hobby ya "kutambulishwa". Na huko kutambulishwa kwenyewe ndo ile home kwenu wanijue tu kama nipo au ndo kukamilisha mambo?
Mnazingua sana nyie wakina Beyonce wa kwa mtogoleTeh teh hobby on fleek. Ahsante sana
Mkuu hakuna tatizo hapo..those are tactics, ni kuwa ana assume kuwa ikifahamika kwa ndugu jamaa na wengine hata ukitaka kumpiga chini utaona noma kama unajiheshimu na jamii inakuheshimu...utakuwa unajiuluza "nikimuacha watanionaje?"..Wabari Wakuu!
Maisha yetu yanazidi kubadilika kila kukicha, kuna mambo hapo mwanzoni hayakuwepo na kuna mengine pia yalikuwa yanatokea. Uolewaji wa wanawake katika jamii zetu kwa kipindi cha nyuma ulikuwa ni wa kufuata maadili na misingi ya jamii.
Kadri ya ulimwengu unavyozidi kwenda ndio na mambo yanazidi kubadilika, mfano uchumba wa siku hizi sio dili tena kama zamani. Watu wamekuwa wakitumia neno uchumba kwa lengo la kupata kile wanachokitaka, maana inaaminika uchumba ni hatua kubwa inayofikiwa na wapenzi kabla ya ndoa.
Siku hizi ukimtongoza mwanamke anakuwa mwepesi sana wa kuhalalisha mahusiano yenu yawe wazi, hata kama mwanaume huna mpango wa kumuoa tayari wao wanakuwa wanaonyesha dalili zote za kutaka kuolewa.
Wanaume wengi hata humu JF wamekuwa wakilalamika kuhusu hichi kitu. Sijajua hasa tatizo ni nini mpaka wanafikia katika hatua hiyo, ukimtongoza binti leo kesho tayari hata ndugu wameshajua.
Hebu tujadili hili jambo kwa pamoja.
Teh teh..Unadhani hata anajielewa basi..Instagram inamdanganyaHahahah...huyo aliuwaa barafu zipi kwa mfano hapa kariakoo...?
ungechoka zaidi valentine hii angetaka umpeleke pale paris kwenye ile eiffel tower
ha ha ha.. kama kweli.. kuna mtu analalamika kamzingua suster du kwenye harusi. kesho yake tu kawekwa profile picture watsup my huby.. kaka zake demu na dada zake demu wote wamemjua plus marafiki wa sister du nao wanawish happy relation kwa profile pic ya shemeji yao...
jamaa alijutaaa
Teh teh...Wana hobby za ajabu ajabu hawa..Cha msingi ni kujitoa ufahamu tu na ww..Kuna mmoja aliniambia hobby yake ni kuteleza kwenye barafu..Jibaba nikachoka
Jamaa unaakili sana. Clap clapVitu vinavyochangia.
1. Kuanza mapenzi katika Umri Mdogo. Hii ndio tunaweza sema ni kubwa kuliko zote sababu mabinti wengi wanlkifika 20 anakuwa ameshatembea na wanaume hata kumi. Tayari alishaumizwa vya kutosha kwahiyo we mwanaume ndo uko chuo au umemaliza chuo au ndo umeanza kutoka kimaisha ndo unawaza sasa nawe uanze kutafta mpenzi. Kwahiyo kabla we hujamconfirm tayari ye ashajiconfirm maana yuko desperate kuolewa ashachoka.
2. Chereko ya TBC na vipindi vingine kama hivyo.
Yaan hili ni jipu kwa wadada maana wakiangalia hivi vipindi akili inaruka wanawaza kuolewa tu na kufunga ndoa ya kifahari. Kwahiyo hiyo ukijilengesha tu sijui nakupenda tayari anakuita we mchumba na anataka mfunge ndoa ili na yeye aonekane chereko. Ukimuuliza baada ya hapo maisha yatakuwaje, hajui chochote.
So wazazi wanawajibu wa kukaa na watoto wao toka wakiwa darasa la tatu kuanza kumfundisha maisha. Mzazi unakuta anamfundisha mtoto kukatika ekotite unategemea hapo akikua kitatokea nini. Baadae oooo watoto wa siku hizi, kumbe mzazi hujijui. Pumbafu kabisa