Ukitongoza msichana wa siku hizi jipange

Ukitongoza msichana wa siku hizi jipange

Teh ..Hobby ya kutambulishwa sio..Nope,Anayetaka kutambulishwa atleast utamuona yuko serious na yuko tayari kuwa committed...
Hahaha wengine muda wote tupo serious na committed, basi nitambulishwe tu teh teh

Mnazingua sana nyie wakina Beyonce wa kwa mtogole
Hahaha mimi ni Rihanna wa Itete
 
Teh teh...Wana hobby za ajabu ajabu hawa..Cha msingi ni kujitoa ufahamu tu na ww..Kuna mmoja aliniambia hobby yake ni kuteleza kwenye barafu..Jibaba nikachoka
Oooooh kumbeeeeeee!!
 
Haya bana..Ila hii tabia ya kutongozwa leo zen kesho mnataka kupelekwa ukweni muache
Wenzenu wanalilia kutambulishwa nyie hamtaki, kweli haya mambo hayana formula, utasikia "baby hivi mbona simfahamu hata rafiki yako mmoja?"
 
wanahalalisha kihivyo ilikuoneshea jamii kuwa nayeye sendoff au harusi yake imeshakaribia.
Nilipata sister duu mmoja ndani ya wiki anataka anitambulishe kwa baba ake
 
Wabari Wakuu!

Maisha yetu yanazidi kubadilika kila kukicha, kuna mambo hapo mwanzoni hayakuwepo na kuna mengine pia yalikuwa yanatokea. Uolewaji wa wanawake katika jamii zetu kwa kipindi cha nyuma ulikuwa ni wa kufuata maadili na misingi ya jamii.

Kadri ya ulimwengu unavyozidi kwenda ndio na mambo yanazidi kubadilika, mfano uchumba wa siku hizi sio dili tena kama zamani. Watu wamekuwa wakitumia neno uchumba kwa lengo la kupata kile wanachokitaka, maana inaaminika uchumba ni hatua kubwa inayofikiwa na wapenzi kabla ya ndoa.

Siku hizi ukimtongoza mwanamke anakuwa mwepesi sana wa kuhalalisha mahusiano yenu yawe wazi, hata kama mwanaume huna mpango wa kumuoa tayari wao wanakuwa wanaonyesha dalili zote za kutaka kuolewa.

Wanaume wengi hata humu JF wamekuwa wakilalamika kuhusu hichi kitu. Sijajua hasa tatizo ni nini mpaka wanafikia katika hatua hiyo, ukimtongoza binti leo kesho tayari hata ndugu wameshajua.

Hebu tujadili hili jambo kwa pamoja.
Kwenye mapenzi kwa sasa hasa mjini kuna aina ya wizi umezuka kwa mgongo wa mapenzi,nachukia sana hii mambo
 
Wabari Wakuu!

Maisha yetu yanazidi kubadilika kila kukicha, kuna mambo hapo mwanzoni hayakuwepo na kuna mengine pia yalikuwa yanatokea. Uolewaji wa wanawake katika jamii zetu kwa kipindi cha nyuma ulikuwa ni wa kufuata maadili na misingi ya jamii.

Kadri ya ulimwengu unavyozidi kwenda ndio na mambo yanazidi kubadilika, mfano uchumba wa siku hizi sio dili tena kama zamani. Watu wamekuwa wakitumia neno uchumba kwa lengo la kupata kile wanachokitaka, maana inaaminika uchumba ni hatua kubwa inayofikiwa na wapenzi kabla ya ndoa.

Siku hizi ukimtongoza mwanamke anakuwa mwepesi sana wa kuhalalisha mahusiano yenu yawe wazi, hata kama mwanaume huna mpango wa kumuoa tayari wao wanakuwa wanaonyesha dalili zote za kutaka kuolewa.

Wanaume wengi hata humu JF wamekuwa wakilalamika kuhusu hichi kitu. Sijajua hasa tatizo ni nini mpaka wanafikia katika hatua hiyo, ukimtongoza binti leo kesho tayari hata ndugu wameshajua.

Hebu tujadili hili jambo kwa pamoja.
Wasichana wa hizi nyakati ni wajanja sana na ninawapa hongera zao ya kutaka ndoa mapema iliwasichezewe kama kina manka wa kichaga..Kwa hiyo unataka kuwachezea eeee!!..na kuwapa mimba nakuzikana na kusepa..
 
Hayo yanatokea zaidi katika nchi kama yetu ambapo wanawake ni wengi kuliko wanaume. Na wanawake wengi wanaumia kwa kuwa single. Ndio maana Algeria na Eritrea, nchi ambazo zinasifika kwa kuwa na wanawake wazuri na warembo kabisa barani Afrika, wanaume wao wanalazimishwa kuoa wanawake wawili wawili.....!!

Kwa hiyo kutongozwa ni bahati siku hizi, achilia mbali kuoelewa !!! Waelewe tu!
Nimekuelewa sana Mkuu, wanawake wa siku hizi ndo wanazidi kupata stress ya maisha na hapo ndo patamu.
 
haya mambo yakutongoza mademu nimeiona hata mimi aisee juzijuzi tu hapa nilimtokea demu mmoja hivi tukapiga swaga za hapa na pale tukaachana kesho yake demu yule ananipigia simu ananiuliza bby uko wapi mi nina hamu sana leo duuu mi nikajifanya sijamwelewa una hamu ya nn? akajib yaani kwa jinsi tulivyoongea jana nilivutiwa sana na maongezi yako njoo basi leo tuonane, basi mwanaume nikajivuta zangu kwenda alipo kufika tu hivi ananikumbatia nakuniambia mpenzi twende tukapumzike nataka ile kitu yako bana nahisi ni tamu sana heeeee mi nikashangaa sana baadae nikampotezea coz sikuwa na mzuka wowote wakusex nikasepa zangu bassiiii demu kesho yake alinilaumu kweli akidai kwamba hutaki mm niolewe na wewe jamani? ndo mambo hayo ya kisasa wenzetu wanataka ndoa za haraka haraka ka maharage ya mbeya...
Hahahaaa..... Maharage ya Mbeya.
 
Mkuu hakuna tatizo hapo..those are tactics, ni kuwa ana assume kuwa ikifahamika kwa ndugu jamaa na wengine hata ukitaka kumpiga chini utaona noma kama unajiheshimu na jamii inakuheshimu...utakuwa unajiuluza "nikimuacha watanionaje?"..

Hii mambo hata zamani ilikuepo kiaina ila nowdays soko la waolewaji limekua #pasua sana kwahiyo hio ni survival mechanism ili waoaji mnajifanya bado mpo mpo mnaswe.

Wengi wetu tumeoa/kuolewa kwa kutambulishwa kibishi tukashindwa kuruka au umpe mimba then awaambie dada zako uone noma uoe.
Nimekupata kwa uzuri Mkuu.
 
Hayo mapenzi ya whatsapp mimi yananikela hatari nilikuwa nae mmoja tukigombana tu anakimbilia kuweka profile kwenye whatsapp za uswahili...nikaona huyu bora nimpe likizo bila malipo aiseee
We jamaa una akili sana. Nachukia, unagombana na manzi yako basi anakimbilia kuweka ugomvi wenu kwenye WhatsApp.

Kuna mabinti wana shida sana aisee
 
Back
Top Bottom