mimi nakuomba wewe uniombee bana pls!
nilimshangaa sana mkuu ! ni fair kweli? angeninunulia basi hata hiyo dinner kwanza nile nishibe!
alidhani wazungu wote mjini ni mapadre mkuu!Huyo ni muhuni tu hana lolote! Alishindwa kuheshimu makubaliano. Kama alitaka papuchi angeweka wazi kwamba ni dinner + papuchi. Sasa wewe ungefanya maamuzi. Angekuingiza room alafu akakuta uko period ingekuwaje sasa?
Amekosea namna ya kutongoza au alijiona handsome sana so akisema chochote lazima atakubaliwa, ndicho maHB wanapokoseaga hapo.
Poa bestito wi, salamu zimefika.ok mwambie namlove sana...pia nimemiss sana eti!
nilimshangaa sana mkuu ! ni fair kweli? angeninunulia basi hata hiyo dinner kwanza nile nishibe!
umenkumbusha one day nliitwa na njemba mida ya jion nkamualika na sista angu tukanywe na kula nyama choma tuenjoy,tukajitoa ufahamu hata mia mifukoni hatuna kilichotokea najuuta hata spaleta hatukunywa na tukaishia kutembea kwa mguu frm kona ya bwiru hadi karibu na nela tupo hoi tumechoka njaa inauma ndo kupata lift ya kuturudisha uswazi.
Polee sana Smile kulala na njaa, pamoja na kuwa ulilala na njaa kwa kweli nimecheka Story imenifurahisha mno. Hata hivyo naomba niweke sawa yafuatayo (tokana na vile nijuavyo mimi).
Usione mwanaume sababu tu ana uwezo wa Pesa , gari nzuri ama vitu vizuri na vya gharama ukatumia kigezo hicho kufikiria kuwa akiwa ni mpenzi wako basi maisha yako yatakuwa mepesi. Wakaka/baba hasa wa mijini wengi wenye pesa ama wasio na pesa the way huwa treat wanawake wao ni tokana na tabia zao za ndani.
Imani kuwa ukiwa na mwanaume mwenye pesa basi ushakuwa settled huwa ni kwa wachache na si wanawake wote hubahatika hivyo. Tena wanaume wengi wenye pesa wana tabia fulani ya kuhakikisha anampata mwanamke (walau kwa siku moja/ama kadhaa) - Wanapishana level za kuhonga tu, kuna wale wachache atakupa gari, kuna wale watakao kupeleka nje for shopping, kuna wale ambao atakununulia simu ya gharama ila mwisho wa siku akishapata kile alichotaka kwako ;
- Anakuacha mara moja na hataki tena umtafute.
- Anajenga misingi ya wewe kuwa kipozeo chake, siku akitaka mwanamke akakosa ndipo hapo tu atakapo kutafuta.
*Else labda kweli mpo katika mahusiano na imetokea kuwa mmependana.
Suala la mwanaume simple Kama unamaanisha asiye na pesa then labda kama hutaki huyo mwanaume kamwe asije kufanikiwa kipesa. Mwanaume wako (kama ilivyo Mwanamke) utamjua tabia yake hasa na jinsi anavyokuthamini akiwa na pesa Mara nyingi mtu ambae hana pesa huwa mara nyingi na tabia Fulani za umakini hali akiwa na pesa anafanya vile ambavyo anataka na kuona yeye ni sahihi. Ni rahisi kumjua mpenzi wako kama ana pesa kuliko asipokuwa na pesa... Ndio maana unakuta wengi wakilalamika pale tu Mwenza/Partner wake alivyofanikiwa na kuwa na pesa kubadilika kwa tabia.
Mwisho wa siku ni mle mle tu.
umenielewa mkuu hapo kwenye usimple nao hutaka! kuna watu wapo high sana kilife style!AshaDii,
Kwa nini wanaume hulalamikiwa kwamba "wakishapata wanachokitaka" (obviously sex) wanalala mbele? Wakati huo huo binti anakuwa kama vile ni innocent victim, wakati naye kipindi cha kuelekea kumpatia mwanaume kile mwanaume huyo akitakacho binti huwa amepata zaidi, e.g. House rent, transport, simu & airtime na mazagazaga kibao? Isitoshe hata kama ni sex naye atakuwa ameenjoy! Mwanaume akilala mbele maneno tayari!
Simplicity anayomaanisha Smile nadhani ni life style. Kuna wanaume wako so pompous & loud mpaka wanakera. Mikufu shingoni, mapete kama waganga wa kienyeji, na kama ana ki-Verossa, achilia mbali Prado au Vogue ndio basi kabisa!