ukitegemea mwanaume wa miaka hii kumbe unalala njaa eeeh!

Nimefurahi sana ulivyomfanyia huyu mwanaume, kwanini watu wanafanyia watu wengine hesabu hivyo?? Ila dada usitembee bila pesa yako mfukoni, vijana wengine matapeli tuu....Pole sana na hongera kwa msimamo ulionesha!!!
kweli mkuu nimejifunza ...usimwamini mkuu
 
Kwani bado haujafuatilia DVD yenye maelekezo ya kutoa kitambi? Muuze Superman anajua zinapatikana wapi.
alinipa kitabu ndo nipo nacho nishatoa nusu !ujue kutoa kitambi sio swala rahisi kiivo my dear ina kanisaidia sana nitatoa ushuhuda one day!
msalimie sana
ndo shemeji nini?
 
basi bwana kuna jamaa mmoja bwana nimejuana nae miezi ya karibuni..ofisi zetu zipo jirani so tunakutana saaana lunch time..basi kila siku ananiomba tukutane jioni tupate hata lunch na story mbili tatu!kiukweli nimemtolea nje toka siku nyingi unajua huyu jamaa sio type yangu na mimi sitaki kuingia majaribuni si mnajua tena roho i radhi ila mwili ni dhaifu!
yaani the guy ni bonge la hb!financial yupo vizuri magari mazuri ! former mbeba box nk! mimi napenda mwanaume simple hata kama ni kulala nae kwenye mkeka hawa masuperbrand mimi nawaogopa kwa kweli!tuachane na hayo!
sasa alhamisi kiukweli akanibembeleza sana toka asubuhi dinner! dinner! !!!!!! basi nikaona ngoja nijiachie wkend nirefresh mind na huyu kijana from obama land nibadilishie mwili vitamin!
basi bwana huyu jamaa kama nilivosema ni mjanja mjanja na kuishi mbele huko nikajua nitapata bonge la meal kwa jioni ya jana! kwa hiyo mchana sikula ila tumbo liwe vizuri kupokea vitu vya ukweli!sikutaka kuchafua tumbo langu na ubwabwa wa bongo!
so nikatoka ofsini ,nikaingia zoezi kutafuta njaa vizuri ...then huyoo nikamwambia jamaanipo ready huyo akaja tukaanza safari kuelekea hotelini kupata hiyo dinner!
sasa tulivofika hotelini jamaa akaingiza gari parking akaniambia wait usishuke
akaanza ooh ujue nimeshafanya booking ya chumba...tutafanya hivi ..i love uuu na blah blah kibao za ..........
nikakakataa nikamsomea principle zangu nikamwambia nirudishe tu home maana naweza kukujeruhi sasa hivi!
huyoo akanirudisha hata maji ya kunywa ya uhai sijanywa mwenzenu halafu hapo ilikuwa saa tatu tatu hivi sijaweza hata kupika tena!...nimejilalia njaa hivi hivi !
majanga .com

hapo kwenye red, jioni hamna lunch.

ila nimecheka sana aseeeh!!!!!!!!!

pole sana , kuna watu wana roho chachu na ngumu........
 
Wengi wa wadada wenye kauli hiyo huwa wanaishia kutendwa kwa kusaka wa type zao refer charminglady story
 
Last edited by a moderator:
alinipa kitabu ndo nipo nacho nishatoa nusu !ujue kutoa kitambi sio swala rahisi kiivo my dear ina kanisaidia sana nitatoa ushuhuda one day!
msalimie sana
ndo shemeji nini?
Mamaaaaaaaa! Hapana huyo ni kaka yangu!
 
unakuwa hadi maskini wa moyo!usaidiweje sasa?
maskini hata wa tabia nzuri!? mwanaume sio pesa tu my dear kuna utajiri zaidi ya pesa ! pesa zipo tu na zinatafutwa kuna watu wana pesa lakini hawapendwi vile vile! nikuulize kwanza wewe ni maskini?

^^
Ndio
^^
 
hahahaaa....... Best umenichekeshajeeee!!!!!!
Hampashwi banaa, hizo ni changamoto tu, ili nanyi muongeze bidii kwenye utafutaji.

^^
Best we acha tu tunapewa za uso utadhani wao wamezaliwa na pesa mkononi..
Kupata sio akili na kukosa sio ujinga..sasa wao Loo!
^^
 
basi bwana kuna jamaa mmoja bwana nimejuana nae miezi ya karibuni..ofisi zetu zipo jirani so tunakutana saaana lunch time..basi kila siku ananiomba tukutane jioni tupate hata lunch na story mbili tatu!kiukweli nimemtolea nje toka siku nyingi unajua huyu jamaa sio type yangu na mimi sitaki kuingia majaribuni si mnajua tena roho i radhi ila mwili ni dhaifu!
yaani the guy ni bonge la hb!financial yupo vizuri magari mazuri ! former mbeba box nk! mimi napenda mwanaume simple hata kama ni kulala nae kwenye mkeka hawa masuperbrand mimi nawaogopa kwa kweli!tuachane na hayo!
sasa alhamisi kiukweli akanibembeleza sana toka asubuhi dinner! dinner! !!!!!! basi nikaona ngoja nijiachie wkend nirefresh mind na huyu kijana from obama land nibadilishie mwili vitamin!
basi bwana huyu jamaa kama nilivosema ni mjanja mjanja na kuishi mbele huko nikajua nitapata bonge la meal kwa jioni ya jana! kwa hiyo mchana sikula ila tumbo liwe vizuri kupokea vitu vya ukweli!sikutaka kuchafua tumbo langu na ubwabwa wa bongo!
so nikatoka ofsini ,nikaingia zoezi kutafuta njaa vizuri ...then huyoo nikamwambia jamaanipo ready huyo akaja tukaanza safari kuelekea hotelini kupata hiyo dinner!
sasa tulivofika hotelini jamaa akaingiza gari parking akaniambia wait usishuke
akaanza ooh ujue nimeshafanya booking ya chumba...tutafanya hivi ..i love uuu na blah blah kibao za ..........
nikakakataa nikamsomea principle zangu nikamwambia nirudishe tu home maana naweza kukujeruhi sasa hivi!
huyoo akanirudisha hata maji ya kunywa ya uhai sijanywa mwenzenu halafu hapo ilikuwa saa tatu tatu hivi sijaweza hata kupika tena!...nimejilalia njaa hivi hivi !
majanga .com

Hahahaha ipo siku utawekewa ngada ujikute upo ICU huku Kabang ikiwa imefumuliwa shauri yako
 
ila wewe mwanamke nawe!!

we ulitaka ule vyake tuuuuuuu bure bureeeee!!!!!

yani ngelikuwa ni mimi, hata hiyo lifti ya kurudi home usingeiona!!!

ungerudi charambe peku!
 
ahahaaa acha hizo bwana
 
^^
Best we acha tu tunapewa za uso utadhani wao wamezaliwa na pesa mkononi..
Kupata sio akili na kukosa sio ujinga..sasa wao Loo!
^^
Maskini hana Mpambe
​
 
Ndio nini kuja kuniweka hadharani? Si uliniomba salio wewe

basi bwana kuna jamaa mmoja bwana nimejuana nae miezi ya karibuni..ofisi zetu zipo jirani so tunakutana saaana lunch time..basi kila siku ananiomba tukutane jioni tupate hata lunch na story mbili tatu!kiukweli nimemtolea nje toka siku nyingi unajua huyu jamaa sio type yangu na mimi sitaki kuingia majaribuni si mnajua tena roho i radhi ila mwili ni dhaifu!
yaani the guy ni bonge la hb!financial yupo vizuri magari mazuri ! former mbeba box nk! mimi napenda mwanaume simple hata kama ni kulala nae kwenye mkeka hawa masuperbrand mimi nawaogopa kwa kweli!tuachane na hayo!
sasa alhamisi kiukweli akanibembeleza sana toka asubuhi dinner! dinner! !!!!!! basi nikaona ngoja nijiachie wkend nirefresh mind na huyu kijana from obama land nibadilishie mwili vitamin!
basi bwana huyu jamaa kama nilivosema ni mjanja mjanja na kuishi mbele huko nikajua nitapata bonge la meal kwa jioni ya jana! kwa hiyo mchana sikula ila tumbo liwe vizuri kupokea vitu vya ukweli!sikutaka kuchafua tumbo langu na ubwabwa wa bongo!
so nikatoka ofsini ,nikaingia zoezi kutafuta njaa vizuri ...then huyoo nikamwambia jamaanipo ready huyo akaja tukaanza safari kuelekea hotelini kupata hiyo dinner!
sasa tulivofika hotelini jamaa akaingiza gari parking akaniambia wait usishuke
akaanza ooh ujue nimeshafanya booking ya chumba...tutafanya hivi ..i love uuu na blah blah kibao za ..........
nikakakataa nikamsomea principle zangu nikamwambia nirudishe tu home maana naweza kukujeruhi sasa hivi!
huyoo akanirudisha hata maji ya kunywa ya uhai sijanywa mwenzenu halafu hapo ilikuwa saa tatu tatu hivi sijaweza hata kupika tena!...nimejilalia njaa hivi hivi !
majanga .com
 
kwa hiyo mchana sikula ila tumbo liwe vizuri kupokea vitu vya ukweli!sikutaka kuchafua tumbo langu

hata maji ya kunywa ya uhai sijanywa mwenzenu halafu hapo ilikuwa saa tatu tatu hivi sijaweza hata kupika tena!...nimejilalia njaa hivi hivi !

Ukome!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom