ukitegemea mwanaume wa miaka hii kumbe unalala njaa eeeh!

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,628
basi bwana kuna jamaa mmoja bwana nimejuana nae miezi ya karibuni..ofisi zetu zipo jirani so tunakutana saaana lunch time..basi kila siku ananiomba tukutane jioni tupate hata lunch na story mbili tatu!kiukweli nimemtolea nje toka siku nyingi unajua huyu jamaa sio type yangu na mimi sitaki kuingia majaribuni si mnajua tena roho i radhi ila mwili ni dhaifu!
yaani the guy ni bonge la hb!financial yupo vizuri magari mazuri ! former mbeba box nk! mimi napenda mwanaume simple hata kama ni kulala nae kwenye mkeka hawa masuperbrand mimi nawaogopa kwa kweli!tuachane na hayo!
sasa alhamisi kiukweli akanibembeleza sana toka asubuhi dinner! dinner! !!!!!! basi nikaona ngoja nijiachie wkend nirefresh mind na huyu kijana from obama land nibadilishie mwili vitamin!
basi bwana huyu jamaa kama nilivosema ni mjanja mjanja na kuishi mbele huko nikajua nitapata bonge la meal kwa jioni ya jana! kwa hiyo mchana sikula ila tumbo liwe vizuri kupokea vitu vya ukweli!sikutaka kuchafua tumbo langu na ubwabwa wa bongo!
so nikatoka ofsini ,nikaingia zoezi kutafuta njaa vizuri ...then huyoo nikamwambia jamaanipo ready huyo akaja tukaanza safari kuelekea hotelini kupata hiyo dinner!
sasa tulivofika hotelini jamaa akaingiza gari parking akaniambia wait usishuke
akaanza ooh ujue nimeshafanya booking ya chumba...tutafanya hivi ..i love uuu na blah blah kibao za ..........
nikakakataa nikamsomea principle zangu nikamwambia nirudishe tu home maana naweza kukujeruhi sasa hivi!
huyoo akanirudisha hata maji ya kunywa ya uhai sijanywa mwenzenu halafu hapo ilikuwa saa tatu tatu hivi sijaweza hata kupika tena!...nimejilalia njaa hivi hivi !
majanga .com
 
ha haaaa unanikumbusha enzi za utoto ..
kukipikwa wali na maharage home jioni,mchana hatuli ugali makusudi
na tunaenda kucheza mpira ili kujiaandaa na wali mandondo usiku lol..

na ikitokea kuna nyumba jirani kuna harusi na kuna pilau....hata chai asubuhi hatunywi twasubiri
pilau la harusi na ndizi tunatafuta ....ha haaa uswazi utotoni raha ...
 
ahahaaa ujue raha ya chakula kitamu tumbo liwe empty bwana!ila imekula kwangu aisee nimepigwa njaa usiku sikujua kama nitafika asubuhi aisee kidogo nile vipodozi
 
^^
Da! Mwanamke kweli ni mwanamke tu,,huwa naona mnalilia wenye pesa Ukimpata oo! Nataka wa kawaida..
Kaazi kweli kweli
^^
 
basi bwana kuna jamaa mmoja bwana nimejuana nae miezi ya karibuni..ofisi zetu zipo jirani so tunakutana saaana lunch time..basi kila siku ananiomba tukutane jioni tupate hata lunch na story mbili tatu!kiukweli nimemtolea nje toka siku nyingi unajua huyu jamaa sio type yangu na mimi sitaki kuingia majaribuni si mnajua tena roho i radhi ila mwili ni dhaifu!
yaani the guy ni bonge la hb!financial yupo vizuri magari mazuri ! former mbeba box nk! mimi napenda mwanaume simple hata kama ni kulala nae kwenye mkeka hawa masuperbrand mimi nawaogopa kwa kweli!tuachane na hayo!
sasa alhamisi kiukweli akanibembeleza sana toka asubuhi dinner! dinner! !!!!!! basi nikaona ngoja nijiachie wkend nirefresh mind na huyu kijana from obama land nibadilishie mwili vitamin!
basi bwana huyu jamaa kama nilivosema ni mjanja mjanja na kuishi mbele huko nikajua nitapata bonge la meal kwa jioni ya jana! kwa hiyo mchana sikula ila tumbo liwe vizuri kupokea vitu vya ukweli!sikutaka kuchafua tumbo langu na ubwabwa wa bongo!
so nikatoka ofsini ,nikaingia zoezi kutafuta njaa vizuri ...then huyoo nikamwambia jamaanipo ready huyo akaja tukaanza safari kuelekea hotelini kupata hiyo dinner!
sasa tulivofika hotelini jamaa akaingiza gari parking akaniambia wait usishuke
akaanza ooh ujue nimeshafanya booking ya chumba...tutafanya hivi ..i love uuu na blah blah kibao za ..........
nikakakataa nikamsomea principle zangu nikamwambia nirudishe tu home maana naweza kukujeruhi sasa hivi!
huyoo akanirudisha hata maji ya kunywa ya uhai sijanywa mwenzenu halafu hapo ilikuwa saa tatu tatu hivi sijaweza hata kupika tena!...nimejilalia njaa hivi hivi !
majanga .com
hahahaha,umenichekesha sana bibie,ila pia nimezipenda principle zako ...sio kila unapokua unatoka out na mtu ihusishe sex.
 
^^
Da! Mwanamke kweli ni mwanamke tu,,huwa naona mnalilia wenye pesa Ukimpata oo! Nataka wa kawaida..
Kaazi kweli kweli
^^
wapo wanaolilia wanaume wenye pesa! ila sio mimi..pesa sio kila kitu ..na kukosa pesa pia sio kuwa na mapenzi..kuna mtu ni maskini wa vyote huyo asaidiweje?
 
hahahaha,umenichekesha sana bibie,ila pia nimezipenda principle zako ...sio kila unapokua unatoka out na mtu ihusishe sex.
nilimshangaa sana mkuu ! ni fair kweli? angeninunulia basi hata hiyo dinner kwanza nile nishibe!
 
Polee sana Smile kulala na njaa, pamoja na kuwa ulilala na njaa kwa kweli nimecheka… Story imenifurahisha mno. Hata hivyo naomba niweke sawa yafuatayo (tokana na vile nijuavyo mimi).

Usione mwanaume sababu tu ana uwezo wa Pesa , gari nzuri ama vitu vizuri na vya gharama ukatumia kigezo hicho kufikiria kuwa akiwa ni mpenzi wako basi maisha yako yatakuwa mepesi. Wakaka/baba hasa wa mijini wengi wenye pesa ama wasio na pesa the way huwa treat wanawake wao ni tokana na tabia zao za ndani.

Imani kuwa ukiwa na mwanaume mwenye pesa basi ushakuwa settled huwa ni kwa wachache na si wanawake wote hubahatika hivyo. Tena wanaume wengi wenye pesa wana tabia fulani ya kuhakikisha anampata mwanamke (walau kwa siku moja/ama kadhaa) - Wanapishana level za kuhonga tu, kuna wale wachache atakupa gari, kuna wale watakao kupeleka nje for shopping, kuna wale ambao atakununulia simu ya gharama ila mwisho wa siku akishapata kile alichotaka kwako ;

  1. Anakuacha mara moja na hataki tena umtafute.
  2. Anajenga misingi ya wewe kuwa kipozeo chake, siku akitaka mwanamke akakosa ndipo hapo tu atakapo kutafuta.

*Else labda kweli mpo katika mahusiano na imetokea kuwa mmependana.

Suala la mwanaume simple… Kama unamaanisha asiye na pesa then labda kama hutaki huyo mwanaume kamwe asije kufanikiwa kipesa. Mwanaume wako (kama ilivyo Mwanamke) utamjua tabia yake hasa na jinsi anavyokuthamini akiwa na pesa… Mara nyingi mtu ambae hana pesa huwa mara nyingi na tabia Fulani za umakini hali akiwa na pesa anafanya vile ambavyo anataka na kuona yeye ni sahihi. Ni rahisi kumjua mpenzi wako kama ana pesa kuliko asipokuwa na pesa... Ndio maana unakuta wengi wakilalamika pale tu Mwenza/Partner wake alivyofanikiwa na kuwa na pesa kubadilika kwa tabia.

Mwisho wa siku ni mle mle tu.
 
wapo wanaolilia wanaume wenye pesa! ila sio mimi..pesa sio kila kitu ..na kukosa pesa pia sio kuwa na mapenzi..kuna mtu ni maskini wa vyote huyo asaidiweje?

^^
Si rahisi mtu kukosa vyote..anyway umenishangaza sana kwani wanaume masikini tunapashwa humu mpaka tunajuta kuijua jf
^^
 
umenkumbusha one day nliitwa na njemba mida ya jion nkamualika na sista angu tukanywe na kula nyama choma tuenjoy,tukajitoa ufahamu hata mia mifukoni hatuna kilichotokea najuuta hata spaleta hatukunywa na tukaishia kutembea kwa mguu frm kona ya bwiru hadi karibu na nela tupo hoi tumechoka njaa inauma ndo kupata lift ya kuturudisha uswazi.
 
Polee sana Smile kulala na njaa, pamoja na kuwa ulilala na njaa kwa kweli nimecheka… Story imenifurahisha mno. Hata hivyo naomba niweke sawa yafuatayo (tokana na vile nijuavyo mimi).

Usione mwanaume sababu tu ana uwezo wa Pesa , gari nzuri ama vitu vizuri na vya gharama ukatumia kigezo hicho kufikiria kuwa akiwa ni mpenzi wako basi maisha yako yatakuwa mepesi. Wakaka/baba hasa wa mijini wengi wenye pesa ama wasio na pesa the way huwa treat wanawake wao ni tokana na tabia zao za ndani.

Imani kuwa ukiwa na mwanaume mwenye pesa basi ushakuwa settled huwa ni kwa wachache na si wanawake wote hubahatika hivyo. Tena wanaume wengi wenye pesa wana tabia fulani ya kuhakikisha anampata mwanamke (walau kwa siku moja/ama kadhaa) - Wanapishana level za kuhonga tu, kuna wale wachache atakupa gari, kuna wale watakao kupeleka nje for shopping, kuna wale ambao atakununulia simu ya gharama ila mwisho wa siku akishapata kile alichotaka kwako ;

  1. Anakuacha mara moja na hataki tena umtafute.
  2. Anajenga misingi ya wewe kuwa kipozeo chake, siku akitaka mwanamke akakosa ndipo hapo tu atakapo kutafuta.

*Else labda kweli mpo katika mahusiano na imetokea kuwa mmependana.

Suala la mwanaume simple… Kama unamaanisha asiye na pesa then labda kama hutaki huyo mwanaume kamwe asije kufanikiwa kipesa. Mwanaume wako (kama ilivyo Mwanamke) utamjua tabia yake hasa na jinsi anavyokuthamini akiwa na pesa… Mara nyingi mtu ambae hana pesa huwa mara nyingi na tabia Fulani za umakini hali akiwa na pesa anafanya vile ambavyo anataka na kuona yeye ni sahihi. Ni rahisi kumjua mpenzi wako kama ana pesa kuliko asipokuwa na pesa... Ndio maana unakuta wengi wakilalamika pale tu Mwenza/Partner wake alivyofanikiwa na kuwa na pesa kubadilika kwa tabia.

Mwisho wa siku ni mle mle tu.

^^
Umeniacha kidogo AshaDii from your intelligence and experience,ili ku maintain upendo mwanaume abaki katika pato la hali tu? Yaan asiwe tajiri wala masikini ili mwanamke awe secure?
^^
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmmmh! Nakuja!

HAHAHAHAAAAAAAAAAAAA! Imebidi niepue sufuria nicheke kwa nafasi! Huku shamba mkaa haukopeshi!!!!!!

Ungeliwa kiulainiiiiiiiii! Sasa Dinner za siku hizi ndo zaliwa chumbani! Ukila waliwa ngoma droo! Hakopwi mtu! Hahahaaaaa!

We ungeshuka ungeenda zako ku oder dinner! na kujitafutia usafiri wako baaaaaas!!!!!!!! Wala hujipi stress! Unamwambia nashukuru umenileta hapa ila hatujaelewana! OKAY BYEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ahahahaah Smile, nenda kapate supu BREAK POINT aisee nitalipa!!!!

Siku nyingine Mentor nikikuomba mtoko ukubali...tunapanda daladala na dinner ni kwangu...mengine pigia mstari!!!!!!:tape:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom