ukitegemea mwanaume wa miaka hii kumbe unalala njaa eeeh!

Hahahaha! Daah! Kweli majanga.com wanaume bana ! Kugegeda mstari wa mbele!loh! Pole wee!
alitaka kunigegeda hivi hivi in the name of dinner eti! dinner bongo???????????
 
Wanaume wengine kutongoza ni SIFURI kabisa. Binti kukubali kutoka nawe ni positive sign kwamba dhumuni lako la kujenga mahusiano naye kimapenzi kama GF linaendelea vyema. Badala ya yeye kutumia huo 'mtoko" wenu ili mfahamiane vizuri na kujenga strong bond kimapenzi, yeye akataka papuchi siku hiyo hiyo!!!! Angetaka papuchi ya haraka haraka si angeenda kwa machangu doa!!!! Pole kwa kulala na ubao.

Last edited by a moderator:
Hawa wanaume zetu wa siku hizi hawatabiriki sijui utamjuaje mwenye nia ya dhati...Mi naona hakuwa fair alitakiwa akwambie tu mi nataka ile kitu roho inapenda sio danganya toto...alikuwa anataka akuingize mkenge mchana mweupe..Pole kwa kulala na njaaa shosti...
 
basi bwana kuna jamaa mmoja bwana nimejuana nae miezi ya karibuni..ofisi zetu zipo jirani so tunakutana saaana lunch time..basi kila siku ananiomba tukutane jioni tupate hata lunch na story mbili tatu!kiukweli nimemtolea nje toka siku nyingi unajua huyu jamaa sio type yangu na mimi sitaki kuingia majaribuni si mnajua tena roho i radhi ila mwili ni dhaifu!
yaani the guy ni bonge la hb!financial yupo vizuri magari mazuri ! former mbeba box nk! mimi napenda mwanaume simple hata kama ni kulala nae kwenye mkeka hawa masuperbrand mimi nawaogopa kwa kweli!tuachane na hayo!
sasa alhamisi kiukweli akanibembeleza sana toka asubuhi dinner! dinner! !!!!!! basi nikaona ngoja nijiachie wkend nirefresh mind na huyu kijana from obama land nibadilishie mwili vitamin!
basi bwana huyu jamaa kama nilivosema ni mjanja mjanja na kuishi mbele huko nikajua nitapata bonge la meal kwa jioni ya jana! kwa hiyo mchana sikula ila tumbo liwe vizuri kupokea vitu vya ukweli!sikutaka kuchafua tumbo langu na ubwabwa wa bongo!
so nikatoka ofsini ,nikaingia zoezi kutafuta njaa vizuri ...then huyoo nikamwambia jamaanipo ready huyo akaja tukaanza safari kuelekea hotelini kupata hiyo dinner!
sasa tulivofika hotelini jamaa akaingiza gari parking akaniambia wait usishuke
akaanza ooh ujue nimeshafanya booking ya chumba...tutafanya hivi ..i love uuu na blah blah kibao za ..........
nikakakataa nikamsomea principle zangu nikamwambia nirudishe tu home maana naweza kukujeruhi sasa hivi!
huyoo akanirudisha hata maji ya kunywa ya uhai sijanywa mwenzenu halafu hapo ilikuwa saa tatu tatu hivi sijaweza hata kupika tena!...nimejilalia njaa hivi hivi !
majanga .com

Amekukomesha kwelikweli huyo mwanaume. Fundisho kwa wanawake wenye tabia kama yako ya kupenda vitu vya dezo.
 
umenkumbusha one day nliitwa na njemba mida ya jion nkamualika na sista angu tukanywe na kula nyama choma tuenjoy,tukajitoa ufahamu hata mia mifukoni hatuna kilichotokea najuuta hata spaleta hatukunywa na tukaishia kutembea kwa mguu frm kona ya bwiru hadi karibu na nela tupo hoi tumechoka njaa inauma ndo kupata lift ya kuturudisha uswazi.

Si unaona sasa ulivyoabika. Dezo mbaya.
 
Tamaa kweli mbaya

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
nilimshangaa sana mkuu ! ni fair kweli? angeninunulia basi hata hiyo dinner kwanza nile nishibe!

Labda dinner alikuwa anamaanisha 'CHAKULA CHA USIKU' LUGHA wanayotumia wazee kama kina Mtambuzi wanapotaka untumba yeye kwa kuwa dot.com akawa anaita dinner, duuh jamaa nae ni noma kweli kitendo bila kuchelewa tayari booking ya room
 
Last edited by a moderator:
Amekukomesha kwelikweli huyo mwanaume. Fundisho kwa wanawake wenye tabia kama yako ya kupenda vitu vya dezo.
Ila ameandika mwanzoni amekuwa akimtolea nje siku nyingi baada ya kuona kila siku jamaa anasisitiza ikabidi akubali kutoka nae dinner na ndio yakamkuta na sidhani kwa story yake kama kuna chembe ya tamaa hapa zaidi ya kumkubalia mtanzania mwenzako tena kijana mwenzako kwenda nae dinner ila yeye akavunja makubaliano na kutaka chakula cha usiku badala ya kutoa dinner
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Smile na mimi nakuomba nikutoe Dinner...

Hivi Smile ndie Bebii
 
Last edited by a moderator:
Huyo jamaa ni mjanja sana, na pia alidhania wewe smile ni mjanja na unaelewa somo! Kama jamaa ameshaomba game na umekataa ya nini uende nae diner? Ulidhani dhumuni lake limebadilika? Hakunaga mwanaume wa hivyo! Mwanaume akikutaka ni lazima aionje papuchi ndio kieleweke! Huyo jamaa alishaona hata akikupa diner hatakupata sasa akaona ya nini akupe raha wakati we hutaki kuliwa raha? Huyo ni mwanaume mwenye msimamo na anaejua mawindo yake kuwa akikosa amekosa na kipata amepata!
 
Wanaume wengine kutongoza ni SIFURI kabisa. Binti kukubali kutoka nawe ni positive sign kwamba dhumuni lako la kujenga mahusiano naye kimapenzi kama GF linaendelea vyema. Badala ya yeye kutumia huo 'mtoko" wenu ili mfahamiane vizuri na kujenga strong bond kimapenzi, yeye akataka papuchi siku hiyo hiyo!!!! Angetaka papuchi ya haraka haraka si angeenda kwa machangu doa!!!! Pole kwa kulala na ubao.

Umeona eeh!? BAK...yaani cjui wengine wanashindwa nn kuelewa
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
umenielewa mkuu hapo kwenye usimple nao hutaka! kuna watu wapo high sana kilife style!
ila hapo unaposema wote tunafaidi ina maana thamani ya mwili na moyo wangu unaulinganisha na simu au kodi ya nyumba jamani!
the moment mtu anaanza kukupenda then ukamla na kusepa huwezi linganisha uthamani wake na chochote mkuu
tuombe radhi

But huo ndio uhalisia, Smile. Mwanaume unakutana na dada, unavutiwa naye, unatupa ndoana, binti anaanza sitaki nataka...anakuzungusha weeee then baby unajua rent inamalizika, baby kuna simu moja galaxy nzuri kweli...etc...Hapo bado hujaona ndani...Mzee mzima unajitutumua unaprovide as per request...siku ukiona ndani tu hamu yote inaisha hasa ukijua the longer you stay the more financially unatumika...na ndani ulishaona...! It is a way of this crazy world...nipe nikupe...Quid pro quo!
 
Una akili sana wewe, hongera zako nyingi.

Ila ameandika mwanzoni amekuwa akimtolea nje siku nyingi baada ya kuona kila siku jamaa anasisitiza ikabidi akubali kutoka nae dinner na ndio yakamkuta na sidhani kwa story yake kama kuna chembe ya tamaa hapa zaidi ya kumkubalia mtanzania mwenzako tena kijana mwenzako kwenda nae dinner ila yeye akavunja makubaliano na kutaka chakula cha usiku badala ya kutoa dinner
 
wangu pole kwa masahibu... ndio tulivyo...
 
basi bwana kuna jamaa mmoja bwana nimejuana nae miezi ya karibuni..ofisi zetu zipo jirani so tunakutana saaana lunch time..basi kila siku ananiomba tukutane jioni tupate hata lunch na story mbili tatu!kiukweli nimemtolea nje toka siku nyingi unajua huyu jamaa sio type yangu na mimi sitaki kuingia majaribuni si mnajua tena roho i radhi ila mwili ni dhaifu!
yaani the guy ni bonge la hb!financial yupo vizuri magari mazuri ! former mbeba box nk! mimi napenda mwanaume simple hata kama ni kulala nae kwenye mkeka hawa masuperbrand mimi nawaogopa kwa kweli!tuachane na hayo!
sasa alhamisi kiukweli akanibembeleza sana toka asubuhi dinner! dinner! !!!!!! basi nikaona ngoja nijiachie wkend nirefresh mind na huyu kijana from obama land nibadilishie mwili vitamin!
basi bwana huyu jamaa kama nilivosema ni mjanja mjanja na kuishi mbele huko nikajua nitapata bonge la meal kwa jioni ya jana! kwa hiyo mchana sikula ila tumbo liwe vizuri kupokea vitu vya ukweli!sikutaka kuchafua tumbo langu na ubwabwa wa bongo!
so nikatoka ofsini ,nikaingia zoezi kutafuta njaa vizuri ...then huyoo nikamwambia jamaanipo ready huyo akaja tukaanza safari kuelekea hotelini kupata hiyo dinner!
sasa tulivofika hotelini jamaa akaingiza gari parking akaniambia wait usishuke
akaanza ooh ujue nimeshafanya booking ya chumba...tutafanya hivi ..i love uuu na blah blah kibao za ..........
nikakakataa nikamsomea principle zangu nikamwambia nirudishe tu home maana naweza kukujeruhi sasa hivi!
huyoo akanirudisha hata maji ya kunywa ya uhai sijanywa mwenzenu halafu hapo ilikuwa saa tatu tatu hivi sijaweza hata kupika tena!...nimejilalia njaa hivi hivi !
majanga .com

Pole sana shoga angu.
Ila hata Humu JF wapo makaka na mababa wa aina hiyo.
Wanawaza papuchi tu.
 
Back
Top Bottom