AbouZakariya
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,646
- 2,403
Huo mstari wa mwisho uko sawa sanaUmenigusa sana mkuu,hasa hiyo point 1.Kuna tapeli lipo humu humu jf tena member maarufu na active limenipiga
Najua utapita hapa ila tambua kuwa "karma never loses an adress"