pangalashaba
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 1,325
- 1,615
Ijumaa ya tarehe 10 mwezi huu, July 2020 nimepigwa Tshs 2,680,000 na watu wanaojifanya ni wafanyakazi wa NMB. Wanakupigia simu wanakwambia kuwa wanaboresha huduma za NMB mkononi application. Usiwape muda wa kuwasikiliza. Ni matapeli wakubwa aisee.