Hayo unayoyasema yasiyotuhusu ni taping Na yameandikwa wapi ili tuyasimamie kuepuka kutekwaNjia pekee ya kutotekwa na kuishi kwa amani ni kujitenga na mambo yasiyokuhusu.kila mtu akisimama kwa upande wake hamna atakayekuja kukuteka.wewe Kama NI mbunge simamia KERO za wananchi waliokuchagua.usitake kuingilia system nyingine kwani litakalokupata ni baya sana na halitasaidia chochote kwako na kwa wengine..Faida za kukaa kimya ni nyingi Kuliko za kubwabwaja
hapo kwenye kero za wananchi, wananchi wa jimbo langu wanalalamika hawajapandishiwa mshahara kwa miaka 4 sasa.Njia pekee ya kutotekwa na kuishi kwa amani ni kujitenga na mambo yasiyokuhusu.kila mtu akisimama kwa upande wake hamna atakayekuja kukuteka.wewe Kama NI mbunge simamia KERO za wananchi waliokuchagua.usitake kuingilia system nyingine kwani litakalokupata ni baya sana na halitasaidia chochote kwako na kwa wengine..Faida za kukaa kimya ni nyingi Kuliko za kubwabwaja
Duh! Sikuawahi kujua Kama wewe mtoa mada ni mtu usiye na akili kiasi hiki!Njia pekee ya kutotekwa na kuishi kwa amani ni kujitenga na mambo yasiyokuhusu.kila mtu akisimama kwa upande wake hamna atakayekuja kukuteka.wewe Kama NI mbunge simamia KERO za wananchi waliokuchagua.usitake kuingilia system nyingine kwani litakalokupata ni baya sana na halitasaidia chochote kwako na kwa wengine..Faida za kukaa kimya ni nyingi Kuliko za kubwabwaja
Njia pekee ya kutotekwa na kuishi kwa amani ni kujitenga na mambo yasiyokuhusu.kila mtu akisimama kwa upande wake hamna atakayekuja kukuteka.wewe Kama NI mbunge simamia KERO za wananchi waliokuchagua.usitake kuingilia system nyingine kwani litakalokupata ni baya sana na halitasaidia chochote kwako na kwa wengine..Faida za kukaa kimya ni nyingi Kuliko za kubwabwaja
Kamwambie mamaako.Njia pekee ya kutotekwa na kuishi kwa amani ni kujitenga na mambo yasiyokuhusu.kila mtu akisimama kwa upande wake hamna atakayekuja kukuteka.wewe Kama NI mbunge simamia KERO za wananchi waliokuchagua.usitake kuingilia system nyingine kwani litakalokupata ni baya sana na halitasaidia chochote kwako na kwa wengine..Faida za kukaa kimya ni nyingi Kuliko za kubwabwaja
Naona mnathibitishia umma uharamia wenu...
Kwahiyo mambo ya matumizi ya kodi zetu hayatuhusu?
You must be mentally ill. .
Just because you do not take an interest in politics doesn't mean politics won't take an interest in you.” Pericles, 495-429 BCE.Njia pekee ya kutotekwa na kuishi kwa amani ni kujitenga na mambo yasiyokuhusu.kila mtu akisimama kwa upande wake hamna atakayekuja kukuteka.wewe Kama NI mbunge simamia KERO za wananchi waliokuchagua.usitake kuingilia system nyingine kwani litakalokupata ni baya sana na halitasaidia chochote kwako na kwa wengine..Faida za kukaa kimya ni nyingi Kuliko za kubwabwaja
Mo Na yule wa mabasi tena ni makada haswaa kindakindaki Na chama wanasaidia kutoa Pesa zao.Je hawa kosa lao nn?
Akili yako mbaya sana kwa taifa hili !!!. Si shangai wapo wanaoshabikia kupotezwa kwa baadhi ya waTz kisa tu furaha ya nafsi zao. Nchi hii ni ya wananchi wote. Wale mashabiki wa utawala na wale wa upinzani . Na hakuna mwenye uhalali wa kunyamazisha wengine. Siyo njia tulioichagua, na kama ndiyo tulioichagua basi tumepotea.Njia pekee ya kutotekwa na kuishi kwa amani ni kujitenga na mambo yasiyokuhusu.kila mtu akisimama kwa upande wake hamna atakayekuja kukuteka.wewe Kama NI mbunge simamia KERO za wananchi waliokuchagua.usitake kuingilia system nyingine kwani litakalokupata ni baya sana na halitasaidia chochote kwako na kwa wengine..Faida za kukaa kimya ni nyingi Kuliko za kubwabwaja
Ivi mnalipwa kiasi gani kuhangaika na damu za watu?Njia pekee ya kutotekwa na kuishi kwa amani ni kujitenga na mambo yasiyokuhusu.kila mtu akisimama kwa upande wake hamna atakayekuja kukuteka.wewe Kama NI mbunge simamia KERO za wananchi waliokuchagua.usitake kuingilia system nyingine kwani litakalokupata ni baya sana na halitasaidia chochote kwako na kwa wengine..Faida za kukaa kimya ni nyingi Kuliko za kubwabwaja
Tulisema hapa muda ukifika wasiojulikana watajulikana tuu... Sasa mmebakia kutajana majina tuu..
lNi mjinga na mpumbavu tu anaweza kuwaza kama wewe; na Ni Mjinga na mpumbavu tu anayeweza kufuata ushauri wako huu!!!!Njia pekee ya kutotekwa na kuishi kwa amani ni kujitenga na mambo yasiyokuhusu.kila mtu akisimama kwa upande wake hamna atakayekuja kukuteka.wewe Kama NI mbunge simamia KERO za wananchi waliokuchagua.usitake kuingilia system nyingine kwani litakalokupata ni baya sana na halitasaidia chochote kwako na kwa wengine..Faida za kukaa kimya ni nyingi Kuliko za kubwabwaja
Waliona haziwatoshi wakawateka na kuwapora pesa zao chungu nzima. Majizi na majambazi makubwa haya.
"Daudi Mchambuzi," Wananchi wa Kijiji changu wanadai ahadi yao ya shs. 50,000,000/- walizoahidiwa Mwaka 2015 hadi sasa hawajapata na hawajui wamuulize Nani. Wananihimiza niongoze maandamano kwenda wilayani kumuuliza DC. Nami nimewaambia wasubiri hadi ziara ya Rais Magufuli ifike wilayani ndipo waibuke na mabango mkutanoni.hapo kwenye kero za wananchi, wananchi wa jimbo langu wanalalamika hawajapandishiwa mshahara kwa miaka 4 sasa.
una uhakika nikipaza sauti kwa maandamano non-stop kuhusu hilo linalonihusu kama muwakilishi wa wananchi sitotekwa???
Je, Akwelina alipigwa risasi kwasababu alifatilia yasiyomuhusu????
Amini nakwambia siyo kweli!. Nauye kwa mfano aongelee issues za korosho kisha abaki salama??.....kama unadhani kukaa kimya ndo salama basi wajidanganya, utakuja kuguswa kwa namna tofauti kabisa na ulivyo dhani/tarajia, wanao furukuta kidogo ndo walio kutengenezea hako ka usalama unako dhani ukimya ndo chanzo chake.Njia pekee ya kutotekwa na kuishi kwa amani ni kujitenga na mambo yasiyokuhusu.kila mtu akisimama kwa upande wake hamna atakayekuja kukuteka.wewe Kama NI mbunge simamia KERO za wananchi waliokuchagua.usitake kuingilia system nyingine kwani litakalokupata ni baya sana na halitasaidia chochote kwako na kwa wengine..Faida za kukaa kimya ni nyingi Kuliko za kubwabwaja