Ukitaka usitekwe achana na yasiyokuhusu

Ukitaka usitekwe achana na yasiyokuhusu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,882
Reaction score
60,913
Njia pekee ya kutotekwa na kuishi kwa amani ni kujitenga na mambo yasiyokuhusu.kila mtu akisimama kwa upande wake hamna atakayekuja kukuteka.wewe Kama NI mbunge simamia KERO za wananchi waliokuchagua.usitake kuingilia system nyingine kwani litakalokupata ni baya sana na halitasaidia chochote kwako na kwa wengine..Faida za kukaa kimya ni nyingi Kuliko za kubwabwaja
 
Mo Na yule wa mabasi tena ni makada haswaa kindakindaki Na chama wanasaidia kutoa Pesa zao.Je hawa kosa lao nn?
 
Njia pekee ya kutotekwa na kuishi kwa amani ni kujitenga na mambo yasiyokuhusu.kila mtu akisimama kwa upande wake hamna atakayekuja kukuteka.wewe Kama NI mbunge simamia KERO za wananchi waliokuchagua.usitake kuingilia system nyingine kwani litakalokupata ni baya sana na halitasaidia chochote kwako na kwa wengine..Faida za kukaa kimya ni nyingi Kuliko za kubwabwaja
Ipo siku utatamani ufute haya maandishi na hautaweza....endeleeni kuua na kuteka wakosoaji but the day is coming
 
Njia pekee ya kutotekwa na kuishi kwa amani ni kujitenga na mambo yasiyokuhusu.kila mtu akisimama kwa upande wake hamna atakayekuja kukuteka.wewe Kama NI mbunge simamia KERO za wananchi waliokuchagua.usitake kuingilia system nyingine kwani litakalokupata ni baya sana na halitasaidia chochote kwako na kwa wengine..Faida za kukaa kimya ni nyingi Kuliko za kubwabwaja
Kwa hiyo watoto wanaotekwa wanaingilia yasiyo wahusu! Siku yakikukuta ndiyo utajua.
 
Njia pekee ya kutotekwa na kuishi kwa amani ni kujitenga na mambo yasiyokuhusu.kila mtu akisimama kwa upande wake hamna atakayekuja kukuteka.wewe Kama NI mbunge simamia KERO za wananchi waliokuchagua.usitake kuingilia system nyingine kwani litakalokupata ni baya sana na halitasaidia chochote kwako na kwa wengine..Faida za kukaa kimya ni nyingi Kuliko za kubwabwaja
Ulaanike wewe na vizazi vyako vyote kwa kutetea udhalimu wa CCM
 
Njia pekee ya kutotekwa na kuishi kwa amani ni kujitenga na mambo yasiyokuhusu.kila mtu akisimama kwa upande wake hamna atakayekuja kukuteka.wewe Kama NI mbunge simamia KERO za wananchi waliokuchagua.usitake kuingilia system nyingine kwani litakalokupata ni baya sana na halitasaidia chochote kwako na kwa wengine..Faida za kukaa kimya ni nyingi Kuliko za kubwabwaja
Kumbe wewe jamaa ni mpumbavu sana tena sana..wewe ni nani mpaka utishie welfare ya watu....we ni Mungu?...kutumia picha ya Rais ni kumdhalilisha sana...
 
Muache kukusanya kodi na kuuza vitambulisho kwa raia ili wasihoji matumizi ya kodi zao ikiwemo kununulia magari na silaha zinazotumika mwenye dhambi zenu za damu!!

Haitoshi na muache kuomba muombewe,waambieni watekaji wawaombee!!
 
Njia pekee ya kutotekwa na kuishi kwa amani ni kujitenga na mambo yasiyokuhusu.kila mtu akisimama kwa upande wake hamna atakayekuja kukuteka.wewe Kama NI mbunge simamia KERO za wananchi waliokuchagua.usitake kuingilia system nyingine kwani litakalokupata ni baya sana na halitasaidia chochote kwako na kwa wengine..Faida za kukaa kimya ni nyingi Kuliko za kubwabwaja
Yaani wewe hunatofautina na kauli hii ya huyu ndugu"
IMG-20190504-WA0017.jpeg
 
Njia pekee ya kutotekwa na kuishi kwa amani ni kujitenga na mambo yasiyokuhusu.kila mtu akisimama kwa upande wake hamna atakayekuja kukuteka.wewe Kama NI mbunge simamia KERO za wananchi waliokuchagua.usitake kuingilia system nyingine kwani litakalokupata ni baya sana na halitasaidia chochote kwako na kwa wengine..Faida za kukaa kimya ni nyingi Kuliko za kubwabwaja
Kenge nyie yaani muibe hela watu wasiongee, mvuruge uchumi watu wasiongee, mteke na kuua watu wasiongee, HII NCHI SIO YA MAGUFULI, KAPEWA DHAMANA YA KUONGOZA WANANCHI NA ALIAPISHWA KUTII NA KUIHESHIMU KATIBA YA JMT. YAANI HADI C.A.G AMEKUWA ADUI YENU NYIE MAJIZI.
 
Back
Top Bottom