omari londo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 1,793
- 1,776
TakatakaNjia pekee ya kutotekwa na kuishi kwa amani ni kujitenga na mambo yasiyokuhusu.kila mtu akisimama kwa upande wake hamna atakayekuja kukuteka.wewe Kama NI mbunge simamia KERO za wananchi waliokuchagua.usitake kuingilia system nyingine kwani litakalokupata ni baya sana na halitasaidia chochote kwako na kwa wengine..Faida za kukaa kimya ni nyingi Kuliko za kubwabwaja