Ukitaka usitekwe achana na yasiyokuhusu

Ukitaka usitekwe achana na yasiyokuhusu

“I learned early that crying out in protest could accomplish things. My older brothers and sister had started to school when, sometimes, they would come in and ask for a buttered biscuit or something and my mother, impatiently, would tell them no. But I would cry out and make a fuss until I got what I wanted. I remember well how my mother asked me why I couldn't be a nice boy like Wilfred; but I would think to myself that Wilfred, for being so nice and quiet, often stayed hungry. So early in life, I had learned that if you want something, you had better make some noise.”
Malcolm X,
 
Yasiyo kuhuau ni kama yapi?
Akwilina Akwilin alipigwa risasi akiwa ndani ya daladala,Morogoro alitwangwa risasi muuza magazeti,Daudi Mwangosi alisambaratishwa kwa mlipuko akiwa kazini,(akichukua habari)

Hapo unawezaje kusema kukaa kimya ndiyo hauwezi kupatwa na mabaya?

Nadhani ni muhimu zaidi kupaaza sauti,nchi yetu iongozwe kwa misingi ya sheria,wenye kuvunja sheria wachukuliwe hatua kwa kadri sheria inavyoelekeza,sio kwa style ya kipuuzi puuzi hii inayoanza kuzoeleka sasa.

Trust me,tuki-opt kukaa kimya kama ndiyo salama yetu,hakuna atakayebaki salama,HAKUNA!

Leo machinga/na hata wasio machinga (wauza mchicha) wanalazimishwa tena kwa vitisho kununua vitambulisho kwa sh 20,000,wapo wanaoambiwa wawapigie simu waume zao walipe 20000 yakitambulisho!

Usishangae kusikia mtu katwangwa risasi kutokana na mambo kama hayo,lakini hongera kwa ushauri wako mbovu!
Njia pekee ya kutotekwa na kuishi kwa amani ni kujitenga na mambo yasiyokuhusu.kila mtu akisimama kwa upande wake hamna atakayekuja kukuteka.wewe Kama NI mbunge simamia KERO za wananchi waliokuchagua.usitake kuingilia system nyingine kwani litakalokupata ni baya sana na halitasaidia chochote kwako na kwa wengine..Faida za kukaa kimya ni nyingi Kuliko za kubwabwaja
 
Uroho wa madaraka unawaangamiza.
 
Ndio faida za kufikiri kwa kutumia kifua mbele huku akili umeziacha nyuma
 
Njia pekee ya kutotekwa na kuishi kwa amani ni kujitenga na mambo yasiyokuhusu.kila mtu akisimama kwa upande wake hamna atakayekuja kukuteka.wewe Kama NI mbunge simamia KERO za wananchi waliokuchagua.usitake kuingilia system nyingine kwani litakalokupata ni baya sana na halitasaidia chochote kwako na kwa wengine..Faida za kukaa kimya ni nyingi Kuliko za kubwabwaja
Hakuna jambo la nchi lisilomhusu raia wa nchi husika. Mbunge aongelei kero za wananchi tu, bali na kuisimamia serikali mfano kujadili taarifa ya CAG.
 
Faida za kukaa kimya ni nyingi Kuliko za kubwabwaja

[emoji3][emoji3]Daaah.... Inaskitisha. So mambo ya nchi yakisemwa inakuwa ni kubwabwaja.
 
Back
Top Bottom