chelsea fc
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 864
- 213
twende nikakurenge
Yapo mambo mengi ktk mahusiano,wapenzi huyafanya siri.Mojawapo ni ile hali ya mtu kumhitaji mwenzake ila akatumia neno au ishara ambayo wao wanaielewa na kuwafumba wengine.Mfano baadhi niliowauliza walisema:
1.Juisi tayari
2.Tukavuke mto
3.Leo kikao
4.Albam ipo n.k
Je,wewe unampomhitaji mwenzi wako ktk tendo la ndoa,unasemaje?
Ngoja nimuulize sasa hivi halafu nitakujibu Father of All ,ingawa ningependelea zaidi useme wewe mwenyewe,tell us bana!!!Stephot in short muulize mama yako atakwambia huwa nasemaje. Simple and clear.
Kuna mshikaji nilimsikia akimwambia mke leo nataka nikakubake.
mkuu hili neno maana yake nini??Nyimamadogookumangaa!!
kuna watoto xkul jaman wana visimu full internet full tym, hizi threads hizi, mh haya naona kwa mbaali kama wanazionaga
Stephot in short muulize mama yako atakwambia huwa nasemaje. Simple and clear.
I like that, mi sipendi mpenzi wangu aniambie kama anamwambia dada yake Eti " tukavuke mto" hata sikupi