Ukitaka tendo la ndoa kwa mwenzi wako unasemaje?

Nyimamadogookumanga.JPG
Nyima Madogo Kumanga
 
Mie nasema kama neno lenyewe lilivo mume wangu nataka kut****...tena linaongeza askhi hata kama hana hamu lazma ije

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums

Hii yako imekaa kiutamu zaidi !
Na inanogesha shghl husika, hata mi hutumia design hii .
 
Huwa namwambia leo ni haki ya ndoa..yeye anaelewa namaanisha nini.
 
Mama manka leo nimekuja na chenji nyingi funua kibubu niweke shilingi
 
kama ni mwanaume rijal unamwambia mwenzi wako leo na hamu na 2nda langu lile tamutamu mwenyewe ataelewa mtaingia kwa chumba afu kinachofata kila m2 ni kutaja 2 majina ambayo hajawah yataja maishan mwake unacheza na raha ya kufanya mapenzi ww.sema 2 kinachoumiza zaidi palepale patamu ndo pa kufia hapohapo na kukufanya ubugie ARVs feki
 
Yapo mambo mengi ktk mahusiano,wapenzi huyafanya siri.Mojawapo ni ile hali ya mtu kumhitaji mwenzake ila akatumia neno au ishara ambayo wao wanaielewa na kuwafumba wengine.Mfano baadhi niliowauliza walisema:
1.Juisi tayari
2.Tukavuke mto
3.Leo kikao
4.Albam ipo n.k
Je,wewe unampomhitaji mwenzi wako ktk tendo la ndoa,unasemaje?

huwa nanusa kama beberu halafu wife anaelewa.
 
Hivi Mods kwa nn huwa hawaondoi threads ambazo hazina tija?? Halafu cha ajabu huwa zinapata wachangiaji wengi sana wakati hazisaidii chochote!!

wewe mwenyewe mmoja wapo wa wachangiaji wa hizo sredi zisizosaidia chochote.
 
u wish what man!!!!!!!!!!!man lets go inside ,yani bata lako alafu ulifikirie kuulichinja nashika huko kunani nacheki kamabetri imejichaji then unafungulia redio haahahah

i wish ningempata wa kufanya hivyo ulivyosema.... hapo juu
 
Yapo mambo mengi ktk mahusiano,wapenzi huyafanya siri.Mojawapo ni ile hali ya mtu kumhitaji mwenzake ila akatumia neno au ishara ambayo wao wanaielewa na kuwafumba wengine.Mfano baadhi niliowauliza walisema:
1.Juisi tayari
2.Tukavuke mto
3.Leo kikao
4.Albam ipo n.k
Je,wewe unampomhitaji mwenzi wako ktk tendo la ndoa,unasemaje?

5.tukale biskuti 6. nahitaji pochi manyoya 6. niangusage
 
Back
Top Bottom