Ukitaka tendo la ndoa kwa mwenzi wako unasemaje?

Ukitaka tendo la ndoa kwa mwenzi wako unasemaje?

Tetra

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
1,526
Reaction score
771
Yapo mambo mengi ktk mahusiano,wapenzi huyafanya siri.Mojawapo ni ile hali ya mtu kumhitaji mwenzake ila akatumia neno au ishara ambayo wao wanaielewa na kuwafumba wengine.Mfano baadhi niliowauliza walisema:
1.Juisi tayari
2.Tukavuke mto
3.Leo kikao
4.Albam ipo n.k
Je,wewe unampomhitaji mwenzi wako ktk tendo la ndoa,unasemaje?
 
Kuna mshikaji nilimsikia akimwambia mke leo nataka nikakubake.
 
man lets go inside ,yani bata lako alafu ulifikirie kuulichinja nashika huko kunani nacheki kamabetri imejichaji then unafungulia redio haahahah
 
kuna watoto xkul jaman wana visimu full internet full tym, hizi threads hizi, mh haya naona kwa mbaali kama wanazionaga
 
Mkikosa la kuandika jitahidi kunyamaza kuliko kuonyesha ujuha wenu ambao wengi hawakuwa wakiujua wanangu.
 
Back
Top Bottom