Ukitaka raha ya ndoa kaoe mpare

Ukitaka raha ya ndoa kaoe mpare

Kati ya kabila ambalo usithubutu kuoa ni hilo hapo:
1.Ni wafitini sana na wenye majungu wasiotaka maendeleo
2.Wanapenda sana ushirikina kupita kiasi na ushahidi ninao kwa wanawake zaidi ya kumi
3.Ukioa huko wakwe wanahamia kwako wote kule kwao wanahama
4.Hawapatani na majiran hata watendewe wema vipi
5.Wanapenda sana chini a.k.a michepuko
USHAURI: Usithubutu kukutwa utajuta maisha yako;;;;;;;;;;;;;
Nadhani hizo sifa zilizotolewa na MTENDAHAKI ni kinyume......

Nakubar co hao
 
Last edited by a moderator:
uo mgayo hena ye nekimtonjia natekosea quotation. Esi mgayo wako ni wa aa maguro etugaya kunu kitala.

Hahaha..keba mndughu wangu. Ilo iguro letugaya liafwia uko.
 
hahaha..keba mndughu wangu. Ilo iguro letugaya liafwia uko.

misi ii ili ijukwaa laketa virundu sana.ila mi nivarara sana.hena vangi nekivachemsha izana he ijukwaa la elimu vekijadili mburi ja vualimu.
 
Wacha waoane wao wenyewe, maana wanajuana

Huwezi kupata mke mwema kwa kuulizia kabila lenye wanawake bora humu jamii forum.Hilo kabila halipo.Mke mwema hatoki kwenye kabila fulani ila anatoka kwa bwana,Mwombe mungu akupe mke mwema.!
 
Asante kwa taarifa, ila kwa mimi sidhani kama kuna kabila baya au zuri. Utakapo angukia ni kama zali tu. Yaweza kuwa penyewe au sio penyewe. Nina jirani yangu ana mke wake muhehe, ana tabia nzuri sana. Na anazo sifa ulizotaja hapo juu.

Me mhaya antosha. Na hasa kwa kale kautamaduni kao. Ukarimu wa nini. Nitaukaanga niule.
 
Tatizo wafupi sana

Ni kweli!Ila nahisi kama una visa na wapare.Mie ninavyojua dada zangu ni wazuri sana!Usiwaharibie sifa dada zangu!, Hakuna binadamu mjamilifu! Kama yupo nitajie!
 
ni mtazamo wako huu hujawahi kuwa na uhusiano hata kabila la wapogoro usingekuta unawasifia wapare hivyo au wamekupa 0713 funguka vizuri
 
Nimebahatika kutembelea sehemu mbali mbali zenye makabila tofauti Tanzania; Nimejitahidi kuwa mchunguzi kwa kushuhudia na kuongea na ndugu, jamaa na marafiki walio katika ndoa!Nimegundua wanaume wengi waliooa kabila la kipare wanfuraha sana ndani ya ndoa zao.

Sifa kubwa zilizosemwa na wanandoa hawa wa kiume wa makabila toka kusini mpaka kaskazini, mashariki mpaka magharibi ni kama zifuatazo:

1. Wanawake wa kipare wanamheshimu sana mume na ni waaminifu sana

2. Sio wepesi wa hasira na hawana visasi

2. Wanawake wa kipare ni wakarimu sana kwa wageni wa pande zote mbili kwao na ukweni, na hata kwa marafiki!

4.Wanawake wa kipare wanajua sana kulea watoto katika maadili mema

5.Ni wachapakazi sana

Hizi ndizo sifa nilizoweza kuzifupisha kutokana na udadisi wangu.

HONGERA WAPARE, NATAMANI NINGEKUWA SIJAOA HUYU MCHAGA
WANGU!NINGEENDA UPARENI!

....hahahaaa na jilazimisha kuamini kama hizo ndo sifa na vigezo vya raha ya ndoa sioni hata kimoja chenye uhusiano na raha ya ndoa directly. Ninachoona hapa no kuna mwanamke Wa kipare mwenye sifa hizo umemtamani na umemchoka mkeo basi. wanawake kibao wanahizo sifa na zaidi na bado ndoa zao ni majanga na wengine hawana ila wanandoa bora.....
 
nikweli kabisa nakumbuka kuna mama moja mtu mzima wakipare nilimsaidia sana kabla cjaolewa kipindi alipojifungua both financially na socially. Cku ya harusi yangu kaka kuniteta kwa mdogo mamkwe wakumjua 'eti namhurumia huyu kijana huyu dada alikua nawaume wengi' na more stupid things. To hell with such mountanious tribes'

your single sample is too rigid to make generalization!!
 
akili za kuambiwa changanya na zako

Ndo nshachanganya co wazur hao nina mifano niliyoona kwa macho yangu ndugu jamaa na marafiki wakifa kwa hao jamaa mmmmh bro mume anakufa mke anatuma ndugu zake waibe gar walipeleke upareni huko na kwenye msiba hataki kuwepo asa watu kweli hao
 
Kwa kuvua pichu, je Wapare wanawazidi Wahaya?

Na kwa ukatili, Wapare wanawazidi Wachaga?
 
wanaume ni wabinafsi sana,wababe,mwanamke kwao hana thamani,wabahili vibaya mno. Ila watafutaji wazuri wa hela,kuzitumia ndio nongwa,bora afe njaa kuliko kula chakula cha 1500.

Hilo si kweli kwa sababu zifuatazo:-
(1)Wapare wamesomesha watoto wao.kama wangekuwa bahili wasingesomesha
(2)Wapare wamejenga na wanaishi nyumba bora.
(3)wana afya zao kuonyesha wanakula vizuri (suala la ubahili ni uzushi) hawana historia ya watoto wao kutuhumiwa kwa kwashakoo kama kabila fulani sitalitaja.
ACHENI UZUSHI !
 
Ndo nshachanganya co wazur hao nina mifano niliyoona kwa macho yangu ndugu jamaa na marafiki wakifa kwa hao jamaa mmmmh bro mume anakufa mke anatuma ndugu zake waibe gar walipeleke upareni huko na kwenye msiba hataki kuwepo asa watu kweli hao

Sio wote jamani.Hilo lingeweza kutokea hata kwa Msukuma,Mmasai,Mnyakyusa n.k .Sio kigezo hicho cha kusema ni wabaya.Huwezi kufanya uamuzi kwa sample moja.
I LOVE WAPARE!
 
Back
Top Bottom