Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Mnaoponda wapare mbona hamuweki mbadala wake?
Binafsi, naunga mkono wale wanaosema uzuri au ubaya wa kabila fulani ni tabia binafsi. Tuna mifano mingi ya kabila tofauti tofauti, ambako kuna wanawake wenye tabia nzuri, lakini kwenye kabila hilo hilo kuna wenye tabia mbaya (kama zinavyoainishwa kwenye thread hii). Mimi nimeoa upareni karibu miaka 20 sasa tuko pamoja, ingawa amekulia hapa hapa mjini, sina tatizo lolote na mke wangu, kifupi tabia alizozitaja MTENDAHAKI, anazo. Am proud of her! Tutoe comment kiustaarabu, kuliko kuleta ushabiki na matusi yasiyo na sababu!
Kwa hiyo hao wapare ndo wanaokuloga? You can't be serious kabisa, tatizo nyie mna ushirikina akilini mwenu, ukiamka kichwa kinauma lazma umfikirie mtu flani kakuloga. Kwa Hilo watz tumekuwa maskini kabisa.
Kati ya kabila ambalo usithubutu kuoa ni hilo hapo:
1.Ni wafitini sana na wenye majungu wasiotaka maendeleo
2.Wanapenda sana ushirikina kupita kiasi na ushahidi ninao kwa wanawake zaidi ya kumi
3.Ukioa huko wakwe wanahamia kwako wote kule kwao wanahama
4.Hawapatani na majiran hata watendewe wema vipi
5.Wanapenda sana chini a.k.a michepuko
USHAURI: Usithubutu kukutwa utajuta maisha yako;;;;;;;;;;;;;
Nadhani hizo sifa zilizotolewa na MTENDAHAKI ni kinyume......
Vishi vina keba mdughu. Ni midhuti kabisa!Virundu kangi vishi du..!
hapa nina mnyakyusa najuta ndg yenu! sijui nifanyaje?yeye hata ktk offside anafunga tu magoli!Nimebahatika kutembelea sehemu mbali mbali zenye makabila tofauti Tanzania; Nimejitahidi kuwa mchunguzi kwa kushuhudia na kuongea na ndugu, jamaa na marafiki walio katika ndoa!Nimegundua wanaume wengi waliooa kabila la kipare wanfuraha sana ndani ya ndoa zao.
Sifa kubwa zilizosemwa na wanandoa hawa wa kiume wa makabila toka kusini mpaka kaskazini, mashariki mpaka magharibi ni kama zifuatazo:
1. Wanawake wa kipare wanamheshimu sana mume na ni waaminifu sana
2. Sio wepesi wa hasira na hawana visasi
2. Wanawake wa kipare ni wakarimu sana kwa wageni wa pande zote mbili kwao na ukweni, na hata kwa marafiki!
4.Wanawake wa kipare wanajua sana kulea watoto katika maadili mema
5.Ni wachapakazi sana
Hizi ndizo sifa nilizoweza kuzifupisha kutokana na udadisi wangu.
HONGERA WAPARE, NATAMANI NINGEKUWA SIJAOA HUYU MCHAGA
WANGU!NINGEENDA UPARENI!
Nani kakufundisha..teeh!
Mnaoponda wapare mbona hamuweki mbadala wake?
Vishi vina keba mdughu. Ni midhuti kabisa!
....na ugali kwa "thamaki" Mkuu Eli79
Mmmmhhh wewe unawafahamu wapare wote?Wapare unawafahamu wewe!?shauri yako me ninawafahamu sina hamu?!