Ukitaka raha ya ndoa kaoe mpare

Ukitaka raha ya ndoa kaoe mpare

binafsi sina tatizo na wanawake wa kipare, nampenda mke wangu and she is a source of all i have, beautiful family and life progress.
 
Nimebahatika kutembelea sehemu mbali mbali zenye makabila tofauti Tanzania; Nimejitahidi kuwa mchunguzi kwa kushuhudia na kuongea na ndugu, jamaa na marafiki walio katika ndoa!Nimegundua wanaume wengi waliooa kabila la kipare wanfuraha sana ndani ya ndoa zao. Sifa kubwa zilizosemwa na wanandoa hawa wa kiume wa makabila toka kusini mpaka kaskazini, mashariki mpaka magharibi ni kama zifuatazo:
1. Wanawake wa kipare wanamheshimu sana mume na ni waaminifu sana
2. Sio wepesi wa hasira na hawana visasi
2. Wanawake wa kipare ni wakarimu sana kwa wageni wa pande zote mbili kwao na ukweni, na hata kwa marafiki!
4.Wanawake wa kipare wanajua sana kulea watoto katika maadili mema
5.Ni wachapakazi sana
Hizi ndizo sifa nilizoweza kuzifupisha kutokana na udadisi wangu. HONGERA WAPARE, NATAMANI NINGEKUWA SIJAOA HUYU MCHAGA WANGU!NINGEENDA UPARENI!

Bro unawapigia debe dadazako eh. Hakuna kabila zuri wala baya, tabia ni ya mtu mwenyewe
 
Mkuu vipi upande wa wanaume? Nao hivyohivyo kama dada zao?
 
Mm niliambiwa tu, Babu aliacha wosia tusioe wapare!. Siju babu aliona nini huko!
 
mke bora ni sitti mtemvu peke yake :smile-big:
 
Kati ya kabila ambalo usithubutu kuoa ni hilo hapo:
1.Ni wafitini sana na wenye majungu wasiotaka maendeleo
2.Wanapenda sana ushirikina kupita kiasi na ushahidi ninao kwa wanawake zaidi ya kumi
3.Ukioa huko wakwe wanahamia kwako wote kule kwao wanahama
4.Hawapatani na majiran hata watendewe wema vipi
5.Wanapenda sana chini a.k.a michepuko
USHAURI: Usithubutu kukutwa utajuta maisha yako;;;;;;;;;;;;;
Nadhani hizo sifa zilizotolewa na MTENDAHAKI ni kinyume......
Nikweli kabisa nakumbuka kuna mama moja mtu mzima wakipare nilimsaidia sana kabla cjaolewa kipindi alipojifungua both financially na socially. cku ya harusi yangu kaka kuniteta kwa mdogo mamkwe wakumjua 'eti namhurumia huyu kijana huyu dada alikua nawaume wengi' na more stupid things. To hell with such mountanious tribes'
 
Last edited by a moderator:
ME




yote tisa ,kumi Me nalia na wanyakyusa,tena skuhz wachache wanaolewa na hao wachaga wenu wanao ua mara mkivuna
 
Back
Top Bottom