Ighombe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 1,195
- 690
moja ya sifa ya mpare n kuzin hata na ndugu yako chunguza kwa makini bado hujaeeeenda uparen ukajua historia ya wapare
msiwaponde dada zetu! Makabila mengine hawana nyege au!
moja ya sifa ya mpare n kuzin hata na ndugu yako chunguza kwa makini bado hujaeeeenda uparen ukajua historia ya wapare
Kati ya kabila ambalo usithubutu kuoa ni hilo hapo:
1.Ni wafitini sana na wenye majungu wasiotaka maendeleo
2.Wanapenda sana ushirikina kupita kiasi na ushahidi ninao kwa wanawake zaidi ya kumi
3.Ukioa huko wakwe wanahamia kwako wote kule kwao wanahama
4.Hawapatani na majiran hata watendewe wema vipi
5.Wanapenda sana chini a.k.a michepuko
USHAURI: Usithubutu kukutwa utajuta maisha yako;;;;;;;;;;;;;
Nadhani hizo sifa zilizotolewa na MTENDAHAKI ni kinyume......
Nimebahatika kutembelea sehemu mbali mbali zenye makabila tofauti Tanzania; Nimejitahidi kuwa mchunguzi kwa kushuhudia na kuongea na ndugu, jamaa na marafiki walio katika ndoa!Nimegundua wanaume wengi waliooa kabila la kipare wanfuraha sana ndani ya ndoa zao.
Sifa kubwa zilizosemwa na wanandoa hawa wa kiume wa makabila toka kusini mpaka kaskazini, mashariki mpaka magharibi ni kama zifuatazo:
1. Wanawake wa kipare wanamheshimu sana mume na ni waaminifu sana
2. Sio wepesi wa hasira na hawana visasi
2. Wanawake wa kipare ni wakarimu sana kwa wageni wa pande zote mbili kwao na ukweni, na hata kwa marafiki!
4.Wanawake wa kipare wanajua sana kulea watoto katika maadili mema
5.Ni wachapakazi sana
Hizi ndizo sifa nilizoweza kuzifupisha kutokana na udadisi wangu.
HONGERA WAPARE, NATAMANI NINGEKUWA SIJAOA HUYU MCHAGA
WANGU!NINGEENDA UPARENI!
Kafanye upya utafiti wako.
Upo msemo usemao 'Ukimtongoza mke/demu wa kipare ukanyimwa, kaogee maji ya magadi'. Utoe nuksi!
Hahahaa!haya mkuu lakini hayo maneno yanasemwa kwa kila kabila hata wa kusini wanao "niangusage, si sambi sako mwenyewe"
nje ya hizo sifa unazotaka na hayo mapungufu mnayobandika kama matangazo ya foma tukubaliane tu kuwa wapare ni kabila la wajanja siku nyingi tu tangu kabla ya enzi ya baba wa taifa.sitakuambia sifa hata moja maana siamini kama kuna sifa specific kwa wabantu.they are almost resembles. Hata ukienda south africa utakuta makabila ambayo mila zao zinafanana na za makabila ya east africa .na mwisho ukiona mti unapigwa mawe una kitu!
BhataliwoT uchoyoo uto