Ukitaka raha ya ndoa kaoe mpare

 

well said,we utakua unawajua vizuri,nimekaa na mmoja cna ham nao hawa viumbe matendo aliyonitendea Mungu ndo anajua
 
Last edited by a moderator:
Hivi Evelyn Salt ni kabila gani? na Mafikizolo ni kabila gani? nawapenda sana hawa wanawake. ninaandaa mipango mizuri juu yao!! :wave::smile-big:
'Blaza' eee ondoa shaka hwa ni majirani kabisa, mmoja Mchaga mwingine Mpare. Leta maneno sasa.
 

Oa mpare at your own risk! Mi nilioa mpare na ninajuta Mungu tu ndio anayejua jiasi gani cha majuto. Haniheshimu kama mume, anataka anikalie, anaendekeza mambo ya kwao tu na ndugu zake, n.k. Hizo sifa ulizotaja hapo juu wapare hawana, trust me. Oa mhehe, mi nlikua na gf wa kihehe, full heshima sema tu tamaa ikafanya nikamuacha na kwenda kwa hili lipare.
 

Samaki mmoja akioza haina maana wote wameoza.
 
anaongelea wapare wa wapi!!! huku mtaani naona wote vicheche tu.
 
Pia wanahuruma sana. Ukiomba chochote unapewa!
 
Wacha waoane wao wenyewe, maana wanajuana
 
kumvumilia mwanaume ktk shida na raha lakini Once hela ikipatikana utaziona tru colors!, wepesi kuvua ile nguo ya ndani, ubahili.. The list is infinity........
Hapo penye red ndo makabila mengi yameshindwa mkuu!Hapo mbele umeniongezea uelewa
 
Pole mkuu, hayo uliyoniambia hapo ni nyongeza ya ufahamu wangu!nadhani kama unayosema ni kweli basi hawa ndugu nilowauliza wamenipotosha!LAKINI kwa ukarimu, AMINI NAKWAMBIA HAWA WATU NI WAKARIMU SANA
 
Ww mleta mada unataka kuoa mpare? Go ahead ni wazuri kama ulivyosema. Hata wanyamwezi wako poa sana.
 
Mira vatanzania mwerundie ii hena mche wedi.mche wedi ni ula ekumoghia aongeje lukolo lwenyu.vusheni vurundu aha!
 
acha kuropoka kiongozi, haikusaidii. Nenda upareni fanya sensa. Katika jamii zilizoumizwa na ngoma wala hatumo kivile.

una takwimu au ni uzushi tu.acha kutusakama !unataka nikichumbia dadako nisifanikiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…