nzoka boy
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 1,165
- 1,038
Bola kufa masikini kuliko kukaa mwaka bila kula mbunye!!, NB; hata nkikaa huko kwenye sheria ntafukunyua tuuu!!! waulize watoto wa zenji habar yangu wanayo!!tuache kujiendekeza.. kuna watu wakenya, wa zambia wanapigiza kazi nchi za ki arab zenye sheria za ki islam kama saudi, qatar, etc miaka kibao... mtu mwaka mzima haioni mbunye.. ana make tu.. akija likizo kenya ndipo anakula mizigo...
ukiendekeza kichwa cha chini unakufa maskini... kama ukiona hisia nyingi si unapiga hata punyeto... umaskini ni hatari kuliko chochote zama hizi za kibepari
Sent using Jamii Forums mobile app