Ukitaka kutoboa kimaisha lazima uachanena na Wanawake kwanza?

Dogo mapenzi na kutafuta hela ni vitu viwili tofauti na wala havichangamani. Huwezi kuwa na maisha bila mapenzi maana mapenzi ni sehemu ya maisha cha muhimu kuwa na mtu mmoja na ikiwezekana oa ili utulie. NB. Usisahau siku ukipata hela nyingi tafuta pia watoto wakali wakutumia nao ili kusababisha mzunguko wa hela katika uchumi. Wenzako tukitaka penzi tunaweza hata kukopa TALA ili ung'oe demu na biashara zinaenda vilevile
 
Chagua moja unaloliona ni muhimu..watu tunatofautiana vipaumbele,kila mtu ana kitu anachokiona kwake muhimu kuliko kingine,.wapo wanaoona kazi ndio kipaumbele,wengine mapenzi,wengine ushirikina,wengine kula,kuvaa,kula bata n.k

Kwahiyo ni jinsi wewe uonavyo "unataka nini kwenye maisha yako" kila kitu kina umuhimu wake kibinadamu lakini tunaangalia kitu chenye umuhimu zaidi,.ni kama kula na kuvaa vyote ni muhimu huwezi kutembea uchi na huwezi kuishi bila kula..lakini ukiwa na nguo mbili zitakusitiri hata mwaka mzima lakini je chakula cha siku moja kitakufanya "usavaiv" kwa mwaka mzima???

kwa umri wako nadhani jambo la muhimu ni kuitengeneza kesho yako kwanza,wanawake tupo tena kila siku wanazaliwa wazuri zaidi na zaidi,.fanya kazi kwa bidii weka misingi imara,jiwekeze ukomae,.baada ya hapo utachagua sasa mtu ambaye unaona ni sahihi hatokurudisha nyuma kimaendeleo,.uzuri wa mapenzi hayana expire date yapo tuu,.
muhimu zaidi,ufanye sana ibada kwa imani yako na kumuweka Mungu mbele.
Don't go around the Bush,... Weka point inayoeleweka ...

From profile picture to proper future
 
Mkuu punyeto si nzuri kale kamchezo ukikazowea walah utapata taabu sana
tuache kujiendekeza.. kuna watu wakenya, wa zambia wanapigiza kazi nchi za ki arab zenye sheria za ki islam kama saudi, qatar, etc miaka kibao... mtu mwaka mzima haioni mbunye.. ana make tu.. akija likizo kenya ndipo anakula mizigo...

ukiendekeza kichwa cha chini unakufa maskini... kama ukiona hisia nyingi si unapiga hata punyeto... umaskini ni hatari kuliko chochote zama hizi za kibepari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ungesema weka PEMBENI POMBE NA ANASA zingine kama MZIKI lakini sio MWANAMKE,,,mwanamke hamfilisi MTU,,, kuhonga utahonga Mara moja,,ukishampata MTELEZO,,lakini POMBE NI KILA SIKU,,na MZIKI kila week end ,,,HAKUNA nililewa Jana,,Leo napumzika,,,,LAZIMA UFAIL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namna bora ya kuwafanya wakukimbie kirahisi kuanzia January hadi December neno SINA PESA lisikauke kinywani mwako kamwe
Nawasalimu wote kila mmoja kwa imani yake, itikadi ya chama chake na kigezo cha umri wake! itifaki imezingatiwa.

Humu jf kuna watu wa makundi tofautitofauti. Kuna sisi vijana wa below 25 na kuna wale watu wa above 25. Naomba maoni yenu lkn hasa ya wale wenye umri kubwa kwa sababu wameishi maisha ambayo na sisi tutaelekea kuyaishi.

kila mara nasikia watu wakisema "ukitaka kufanikiwa katika maisha huna budi kuweka kando mapenzi" if you real want to succeed in life, never fall in love. kuna ukweli kiasi gani kwenye hili jambo?

Nauliza hivo kwa sababu nimeanza kupambana na biashara from the scratch. from zero kabisa. Tatizo nina wasichana kadhaa ambao ninashirikiana nao kimapenzi na nina wasiwasi huenda wakarudisha nyuma juhudi zangu.

wazee wenzangu mlioenda age kidogo katika harakati zenu za kusaka maisha mliweka kando malavidavi?

share your experiences now!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent by Diaspora
 
Mkuu ungesema weka PEMBENI POMBE NA ANASA zingine kama MZIKI lakini sio MWANAMKE,,,mwanamke hamfilisi MTU,,, kuhonga utahonga Mara moja,,ukishampata MTELEZO,,lakini POMBE NI KILA SIKU,,na MZIKI kila week end ,,,HAKUNA nililewa Jana,,Leo napumzika,,,,LAZIMA UFAIL

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakudanganya!utakuwa haujawahi kukatana na kina nandy uone mizinga yake kwa siku unaombwa pesa Mara 3

Sent by Diaspora
 
Falling in love is the feeling that makes you want to be with someone because something in them (their body, the way they think, what they have done for you or all of them) caught your attention. It may last or not. It is no guarantee that you will love that person for ever — it's just the trigger for approaching.

Did you mean the above? if yes, how could that affect your way of thinking or doing things so long there is a limitation on everything you do?
 
tatizo sio wanawake, tatizo ni priorities (kwa upande wa mwanaume na mwanamke pia). Uki- prioritize vitu visivyo na msumumo kimaendeleo lazima ufeli.

Sometimes kuwa na mwanamke inaweza kuwa chachu ya kufanikiwa, akawa pushing force in different aspects, ila si9 kama ile aliyosema Nikki wa pili "mungu nijalie demu mpenda pesa, kila siku nipigane kuwa bakhresha"..,

Uwe na mtu mwenye bright vision uone raha yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chagua moja unaloliona ni muhimu..watu tunatofautiana vipaumbele,kila mtu ana kitu anachokiona kwake muhimu kuliko kingine,.wapo wanaoona kazi ndio kipaumbele,wengine mapenzi,wengine ushirikina,wengine kula,kuvaa,kula bata n.k

Kwahiyo ni jinsi wewe uonavyo "unataka nini kwenye maisha yako" kila kitu kina umuhimu wake kibinadamu lakini tunaangalia kitu chenye umuhimu zaidi,.ni kama kula na kuvaa vyote ni muhimu huwezi kutembea uchi na huwezi kuishi bila kula..lakini ukiwa na nguo mbili zitakusitiri hata mwaka mzima lakini je chakula cha siku moja kitakufanya "usavaiv" kwa mwaka mzima???

kwa umri wako nadhani jambo la muhimu ni kuitengeneza kesho yako kwanza,wanawake tupo tena kila siku wanazaliwa wazuri zaidi na zaidi,.fanya kazi kwa bidii weka misingi imara,jiwekeze ukomae,.baada ya hapo utachagua sasa mtu ambaye unaona ni sahihi hatokurudisha nyuma kimaendeleo,.uzuri wa mapenzi hayana expire date yapo tuu,.
muhimu zaidi,ufanye sana ibada kwa imani yako na kumuweka Mungu mbele.
Msikilize sana dada yako huyu kasema ukwelu wa ukweli
 
Back
Top Bottom