Ukitaka kutoboa kimaisha lazima uachanena na Wanawake kwanza?

safi sana mdogo wangu, mimi mwenyewe kaka yako nilianza kutoboa maisha nikiwa na 23 years, by 24 years tayali ninajenga nyumba DSM, pia najiendeleza kimasomo, ninabiashara ninaheshimiwa na wazee, by 24 ninafanya kazi UN- Umoja wa mataifa! wanawake sikuwapa nafasi, kichwa changu kiliwaza zaidi, kumiliki feza na sio kumiliki wanawake! well said! big up! dogo!
 
Nani kakudanganya!utakuwa haujawahi kukatana na kina nandy uone mizinga yake kwa siku unaombwa pesa Mara 3

Sent by Diaspora
Hapa wanazungumziwa GIRL FRIEND mzuri ambaye utafanya nae MAISHA,, sasa MWANAMKE ambaye ana FAKE MAISHA wa nn? hao AKINA NANDY unawapa PESA nyingi SABABU YA KUWATETEMEKEA,,wenzio WANAWAGONGA KWA chips KUKU tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mfano katika hilo.
Nina miaka 6 kazini na nina nyumba 2 kali na gari kali lkn wenzangu walionizidi mshahara na wapenda starehe na madem sana wanambwela tu.
Huo ni ukweli 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iko hivyo unatakiwa kuwa wa kuchapa ilale mpaka utakapoanza kuona mwangaza
 
Chagua moja unaloliona ni muhimu..watu tunatofautiana vipaumbele,kila mtu ana kitu anachokiona kwake muhimu kuliko kingine,.wapo wanaoona kazi ndio kipaumbele,wengine mapenzi,wengine ushirikina,wengine kula,kuvaa,kula bata n.k

Kwahiyo ni jinsi wewe uonavyo "unataka nini kwenye maisha yako" kila kitu kina umuhimu wake kibinadamu lakini tunaangalia kitu chenye umuhimu zaidi,.ni kama kula na kuvaa vyote ni muhimu huwezi kutembea uchi na huwezi kuishi bila kula..lakini ukiwa na nguo mbili zitakusitiri hata mwaka mzima lakini je chakula cha siku moja kitakufanya "usavaiv" kwa mwaka mzima???

kwa umri wako nadhani jambo la muhimu ni kuitengeneza kesho yako kwanza,wanawake tupo tena kila siku wanazaliwa wazuri zaidi na zaidi,.fanya kazi kwa bidii weka misingi imara,jiwekeze ukomae,.baada ya hapo utachagua sasa mtu ambaye unaona ni sahihi hatokurudisha nyuma kimaendeleo,.uzuri wa mapenzi hayana expire date yapo tuu,.
muhimu zaidi,ufanye sana ibada kwa imani yako na kumuweka Mungu mbele.
Da bonge la ushauri!!
Receive my kiss mother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
safi sana mdogo wangu, mimi mwenyewe kaka yako nilianza kutoboa maisha nikiwa na 23 years, by 24 years tayali ninajenga nyumba DSM, pia najiendeleza kimasomo, ninabiashara ninaheshimiwa na wazee, by 24 ninafanya kazi UN- Umoja wa mataifa! wanawake sikuwapa nafasi, kichwa changu kiliwaza zaidi, kumiliki feza na sio kumiliki wanawake! well said! big up! dogo!
Mkuu hongera kwa mafanikio aisee.
 
kwa experience yangu kama kaka mkubwa wako na walionizunguka naona ni true..

wanawake ni too demanding... na wana argument nyingi.. ambazo zinaweza sumbua akili yako upunguze ufanisi wa akili kwenye hustle zako..

mwanamke anahitaji, muda wako, pesa zako, akili yako, na kila kitu.. huku hustle nazo zinahitaji muda wako, pesa zako na akili yako pia...

so lazima uchague kimoja wapo kati ya ke na hustle cha kukipa muda na pesa zaidi. maana mtaka yote hukosa yote
Naomba kutofautiana kidogo nawe. Kwetu, tangu enzi na enzi, unapoanza maisha wazee hulazimisha uoe wakiamini kuwa mke atakusaidia kuwa na matumizi mazuri ya pesa.

Sasa hapa naona kinachoongelewa ni uzinzi. Uzinzi una gharama zake ikiwa ni pamoja na maradhi ambayo nayo ili upone lazima pesa itumike hasa.

Maoni yangu, mwanaume unapaswa uwe na uwezo wa kuitawala hela na wanawake. Kinyume na hilo, utaishia kuwa masikini na sababu si wanawake wala si fedha bali ni udhaifu wako wa kiutawala. Unaume si hela na mke ili akupende siyo lazima utumie fedha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uko serious huu ndo ushauri wangu:
Ni ukweli usiopingika kuwa wanawake ukiwaendekeza katika shughuli yeyote ujue kabisa hautafanikiwa kwa ufanisi kazi yoyote.
KIBIASHARA (KIUCHUMI)
Wananawake ukiwaendekeza katika sekta hii tegemea kuporomoka hasa unapokuwa unaanza na hata ukiwa katika kilele cha mafanikio. Wanawake hata wakijitambua wako ishirini kwako maadamu una source ya upatikanaji wa pesa hawatakuacha isipokuwa wakakuvumilia huku kila mmoja akikukamua kadiri atakavyoweza maana anaamini hautamuoa wala kuwa nae. Wanawake ni viumbe wasio na huruma katika suala la mapenzi hususani akifahamu wewe ni mwanaume malaya. Siku umefilisika ndipo utaamini ninachokuambia. Kwanza atakublock na kutopokea simu yako, atatembea hadi na marafiki zako uwe unafahamu au haufahamu
KATIKA JAMII
Katika jamii ukiendekeza wanawake jamii inayokuzunguka itakuangalia kwa macho zaidi ya mawili, kwanza hakuna atakayekuwa anakuamini na utapungukiwa marafiki wenye hekima. Nimeona wanasiasa wengi wakiporomoka kisiasa katika jamii sababu ya kuendekeza wanawake.

SULUHISHO
Ukishaona una hulka ya kuwa na wapenzi wengi yakupasa kukaa chini na kutafakari sana then chukua njia hii;
Tafuta au chagua mwanamke kati ya hao wengi ulionao na zingatia sifa hizi:
A: Awe chaguo lako la moyo (means ni mrembo na msafi yaani hata ukitoka nae out hauwezi kujificha kuwa una mwanamke
B: Awe mpole (mwanamke asiyependa kuanzisha ugomvi
C: Uwe na historia yake kipindi alipokuomba msaada wowote ukamwambia kwamba umekwama je alikuelewa ama alinuna na kukuwekea vikwanzo vya kufanya nae mambo y'all
D: Awe angalau mtu anayemkumbuka mungu (anaingia kanisani ama msikitini)
E: Ndugu mwanamke akifahamu unampenda na unamheshimu yuko tayari hata kuiba kwa baba yake ili mradi tu usimame kimaisha


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom