Ukitaka kuoa zingatia yafuatayo

Hahhaha maumivu ya mapenzi tu , madogo wanateswa sana
Madogo wanafanya generalisations za ajabu kwamba ukiona hivi basi umeshaona vile watu wanaoa mpaka ma-bar mengi wenye mizinga mikubwa ya nyuki kule nyuma wamepakia masega ya asali
 
Wavulana wa sasa ni dhaifu sana kwa wanawake , nyie wenye hii misimamo unakuta mmepigwa matukio na vinuka mikojo huko, hili mnalotoa humu ni povu tu , karibu bia upunguze stress kijana.
Kuna wavulana na Kuna Wanaume kwenye Maisha sikumbuk Kama nishawahi Kuwa mvulana na sio miongoni mwa uliowataja hapo juu
 
Madogo wanafanya generalisations za ajabu kwamba ukiona hivi basi umeshaona vile watu wanaoa mpaka ma-bar mengi wenye mizinga mikubwa ya nyuki kule nyuma wamepakia masega ya asali
Kabisa mkuu
 
masharti yangetumika mpaka kwenye mahakamani basi lisu angetoka
 
USITUPANGIE, mwanamke awe na kalio kubwa, issue za tabia na mambo madogo madogo kama hayo utawapa kazi wachungaji na masheikh
 
Kuna Binti kil mara mara yeye ni kuniita maneno ya mahaba kila mara ila kuna siku aliniomba hela ya simu nikamkazia baada ya hapo mawasiliano yamekuwa unatafuta kwa tochi! Na mwingine alitaka nimpe mahari ya 1.5M wakati ni mshangazi wa miaka 28 nimesema No
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…