Ukitaka kuoa zingatia yafuatayo

Ukitaka kuoa zingatia yafuatayo

Hamissi Hamza Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2020
Posts
262
Reaction score
446
Duniani Hutaambiwa kila kitu ila Ishi Humu itakusaidia

1.Usioe Mwanamke aliewahi Kuwa na Mahusiano na Wanaume zaidi ya wawili

2.Usioe Mwanamke anaetumia Tiktok au Snapchat

3.Usioe Mwanamke Single mother ambae baba wa mtoto wake yuko hai na akikuambia amekufa ukathibitishe Kabisa kwenye kaburi lake Kama Ni kweri

4.Usioe kwenye ukoo Ambao Huwezi kufaidika Chochote au ukoo utakao kuwa msaada kwao 100% utazitafuta hatua kwa Jasho na maumivu Mwanamke hatowaza ndoa Kipambaule kitakua Ni kwao

5.Usioe Mwanamke mweupe au mwenye wowow kubwa 99.9% Hua Hawapo sawa kichwani Kiufupi Ni vilaza


6.Usioe Mwanamke anaecheza upatu na vikoba

7.Usioe Mwanamke anaetaka kujua Kipato CHAKO/akiba yako yote unaitumiaje.

8.Usioe Mwanamke anaeshika dawa za kienyeji

9.Usioe Mwanamke asietaka kupitwa na kitu na anaependa mashindano

10.Usioe Mwanamke anaevaa miwani expt awe na matatizo ya macho

11.Usioe mwanamke mwenye nyimbo za singeli na amapiano kwenye simu yake.
 
5.Usioe Mwanamke mweupe au mwenye wowow kubwa 99.9% yao huwa Hawako sawa kichwani Kiufupi Ni vilaza
Sasa hawa tukiwatomba sisi wengine si ndio tunasikia raha
Unatushauri au unatufokea Mzee wetu hivi kweli tupite mbali hapa tusitundike daruga Mzee?

cutelove
 
Wavulana wa sasa ni dhaifu sana kwa wanawake , nyie wenye hii misimamo unakuta mmepigwa matukio na vinuka mikojo huko, hili mnalotoa humu ni povu tu , karibu bia upunguze stress kijana.
Wanataka mtombe Mbuzi au Punda
 
😂😂😂
Umecheka kula Chuma hicho

Screenshot_20250714_225615.jpg
 
Back
Top Bottom