Ukitaka kumchuna mwanaume......mwongozo

rejao, your eyez
yanani-melt kabisa my inside

take me.
Bishanga ni kismall tu
kweli nimeamini lisemwalo lipo,hizi rumours za rejao kunilia vitu vyangu nimeanza kuzisikia siku nyingi,lol,haya bana,tenda wema nenda zako,yaani kununulia kote Harrier,nyumba kimara bado tu macho juu juu,we Konnie wewe!
 
wameiba password ili watuchonganishe
binadamu hawana wema.

Ntampeleka wapi rejao???
Naskia pua yake hudonoa

kweli nimeamini lisemwalo lipo,hizi rumours za rejao kunilia vitu vyangu nimeanza kuzisikia siku nyingi,lol,haya bana,tenda wema nenda zako,yaani kununulia kote Harrier,nyumba kimara bado tu macho juu juu,we Konnie wewe!
 
Mambuzi yalikuwaga hapo zamani ! Cku hz yamesaliwa na..pumb...tu! Mwanamke katafute cha kufanya Bishanga adanganya ninyi tu!
 
Kaka Bishanga hakuna mabuzi siku hizi, 90 percent ya wanaume siku hizi wanatak kulelewa nao. Wanatafuta wanawake wenye mshiko na wao wapate relief.

Your subject is good anyway, inaweza kafanya kazi kwa wachache waliobaki.

Ila siku hizi mwanamke kujitafutia na si kusubiri kuchuna.
 
nikupe orodha ya hao waliobaki na ni mamemba wa mmu?
 
jamani bishanga mbona nachunika vizuri tu?

Danganya wenzako eeh? Cku hz kwanza vya kuchuna vipo bs...uchumi umelegea...labda uchunwe mahaba...i thnk u can be gud at there there..ryt Bishanga? Me nkija kukuchuna labda soko la katelero...lol!
 
5.Mapishi:Usipende kula bar na bwanako.M encourage ale nyumbani kwako na umpikie a la uzi wa Ashadii to Cheusimangala.

Jamani B' are you implying tayari nina kigezo kimoja na mengine nifanyie kaza?? Khaa! lol

Uliona ukitaja chakula tu haitoshi?
 
Who are you what is this??? Khaaaa!! B' kwa sababu bi mdogo wako yumo humu ndo umeamua uje kumtaarifu indirectly sio?? Hahahah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom