Ukitaka kumchuna mwanaume......mwongozo

usijali tulishaanza msingi ila naona jamaa kama anataka kusepa sasa baada ya kusoma mwongozo nimeona nime lack baadhi ya vitu ngoja niviimalishe then nyumba ikiisha ntakualika tena uwe mgeni rasmi.
jamaa kama ni mpenzi wa brandy get him the best vsop usijali bei na kama ni whysky achana na ma red label we ambaa na black,blue au gold au ma chivas ya ukweli,hali kadhalika na wine dodoma wana wine high quality siku hizi kama 'The President',we wekeza tu dear italipa.
(ps: usisahau kumpokea wearing the right negligee ,see through?)
 
Kinamama,mabuzi yako kibao mjini ila dada zangu sa ingine mnayakosea.Ukitaka kuyachuna kisawasawa hebu fuata mwongozo huu:
1.Target: Mwindaji mzuri hutambua swala aliyenona kabla hajarusha mshale.Hakikisha unayem target anazo na pia awe mtoaji.
2.6x6: Ashakum si matusi..'ukitaka kuchuna buzi na kut........bana ujue...it is that simple.
3.Usafi: kuwa msafi saa zote,mwilini na nyumbani,weka investment katika hili,italipa,fanya shopping za ukweli,saluni za ukweli.
4.Omba omba: Hata siku moja buzi lako usiliombe vocha,utajishushia thamani yako kwake,target mambo makubwa.
5.Mapishi:Usipende kula bar na bwanako.M encourage ale nyumbani kwako na umpikie a la uzi wa Ashadii to Cheusimangala.
6.Zawadi: Sio unapokea tuuuuuu unapokea,siku moja moja m surprise na ka zawadi (hasa intimate),ataku value zaidi.
7.Kujipendekeza:Jipendekeze kwa wadogo zake wa kiume,watalinda mahusiano yenu,wa kike kaa nao mbali!
8.Kununa: Kuwa full mnafiki,hata akuudhi vipi jitie hamnazo,nyumbani anuniwe na kwako?
9.Mkewe: Kwa usalama wako hakikisha unamfahamu lakini keep distance,vinginevyo vitabumbuluka na utaachwa.
10.Mashost: Marufuku buzi lako kuzoeana na mashost zako,atawalamba,hasa wakionea gere matunzo yake kwako.
11.Kuridhika:Usiwe too demanding, utam put off,jua ni muda gani muafaka wa kumwomba hela na ni wakati gani anazo.
12.Miradi:Usikurupuke,siku ukimwomba akuanzishie mradi hakikisha ni mradi kweli kweli wa kukutoa.
13.Kalumanzila: Never!achana na uchawi,utapoteza bure tu hela yako na indeed akigundua atakupiga chini fasta.

HITIMISHO
Buzi lenyewe kama ni la ukweli kama Bishanga ukienda nalo vizuri kwa kuzingatia misingi hii,uongo kama angalau utaambulia kama sio ka three bedroom house Bunju basi itakuwa apartment Masaki.
Nawatakia maandalizi mema ya valentino!
kaka umetoa siri ili watutafune vizuri,,dah
 
Bishanga umeniacha hoi. Kwahiyo mtu akikujia kwa stlye hiyo anakuchuna eeh??
sio atanichuna BJ,nshachunwa sana Bishanga ndo mana naongelea uzoefu wangu na buddies wangu,si unajua tukiwa kaunta huwa tunaongelea likes na dislikes?
(actually kuna bibi yangu ndo nammalizia kakibanda kimara mwisho,she truly deserves it)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom