Wanavyouongelea uchaguzi wa Gambia na mgomo wa madaktari Kenya utahisi wanatoka sayari ya Mars kumbe ni watanzania ambao uchaguzi wao umefanyika mwaka 1 tu uliopita. Sikiliza maoni yao kwenye vyombo vya nje (swahili) ujerumani, Marekani na Uingereza. Mmmmmh aibu tu sijui tunataka kusikika tu!