Ukitaka kujua watanzania ni wanafiki kiasi gani fuatilia michango na maoni yao Redio Za Nje

lukoma

JF-Expert Member
Jul 1, 2013
2,995
2,245
Wanavyouongelea uchaguzi wa Gambia na mgomo wa madaktari Kenya utahisi wanatoka sayari ya Mars kumbe ni watanzania ambao uchaguzi wao umefanyika mwaka 1 tu uliopita. Sikiliza maoni yao kwenye vyombo vya nje (swahili) ujerumani, Marekani na Uingereza. Mmmmmh aibu tu sijui tunataka kusikika tu!
 
Wasomi waoga ndo tupo nchi hii...wananchi wapewe magwangala...wanaitikia kweli tulihitaj kiongoz wa hiv miaka ming..kikowap? Wakwap waliopata mafanikii kweny haya magwangala..mzungu sio mjinga kias hcho
 
  • Thanks
Reactions: bne
Kweli tu wanafiki. Utakuja mtu anapinga kilichotokea Gambia lkn ukimuuliza ya Zanzibar anaunga mkono. Unafiki mtupu
 
  • Thanks
Reactions: 999
Uko sahihi kabisa na kwa mfuatliaji analifahamu hilo. Sio hayo tuu bali issue nyingi tuu
 
Kweli tu wanafiki. Utakuja mtu anapinga kilichotokea Gambia lkn ukimuuliza ya Zanzibar anaunga mkono. Unafiki mtupu
WANAUDHI KWELI KWELI....HAWANA HATA AIBU NA WANATIA KINYAA.....KUTWA NZIMA WAPO; BBC(Asubuhi), DW(Mchana), BBC na DW(Jioni) na BBC(Usiku)....
"ETI WANAMSHAURI RAIS WA GAMBIA AHESIMU DEMOKRASIA" ......WAMESHINDWA MSHAURI SHAIN, WANAKALIA UNAFIKI TU....MBAYA ZAIDI HUWEZI SIKIA MAONI TOKA UGANDA WALA KENYA ISIPOKUWA TOKA HAPA KWETU TU....
 
Maoni yao Watz ndo utajua na IQ zao zilivyo chini ya 40.
 
Mungu atuhurumie, mtanzania ambaye hata kupata mlo 1 ni shida ananunua vocha ili amwambie Trump achee ubabe!!!!! Anashindwa kumwambia anaefanya ashindwe kupata mlo hata 1 tu kwa siku " Maisha huku kijiji yamekuwa tait!!
 
Back
Top Bottom