Ungeandika mazuri nasi tupongeze usiwr na hasira ukielimisha jamii,au mazuri nawe huyajuiMtanyooka tu hakuna awamu nyingine tunishia awamu ya tano

Mpo wengi wenye dhana kama yako, kama ni suala LA uwingi mnaweza kuungana kwa nia ya kuishtaki. mie sina akili za kijinga na wala sijashikiwa akili na mtuMimi peke yangu siwezi, ila mimi na wewe tunaweza kuiwajibisha serikali.
Kubali tuiwajibishe serikali.
CastrMi ninachojua mleta uzi ni spesho na amebobea kuandika nyuzi za ngono. Sijajua kama ana uwezo wa kupokea na kuchambua mambo kwa ufasaha.
Mpo wengi wenye dhana kama yako, kama ni suala LA uwingi mnaweza kuungana kwa nia ya kuishtaki. mie sina akili za kijinga na wala sijashikiwa akili na mtu
nimecheka!Aelewe wapi huyo? Amelikariri baada ya kumsikia jiwe akijinadi ccm yake "kutawala milele". Jiwe mwenyewe hajui maana ya milele otherwise asingelitumia alivyolitumia.
NaamCastr
Tununueni kwa kazi ya kusifia ubatili .vingenevyo haiwezikani uwe timamu usifie machungu na shida [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ukweli ni kwamba threads ambazo zinatupiwa humu nyingi zinapandikiza chuki dhidi ya serikali.
Watu wapo kwaajili ya kusema mabaya tu ya serikali lkn hawataki kusema mazuri ambayo ni mengi zaid ya hayo mabaya.
Nilichogundua ni kwamba wanaichukia serikali wamegawanyika ktk makumdi yafustayo:
Kuna watu wameumbwa kupinga kila kitu anachofanya mtu mwingine hata kama ni kizuri.
Kuna watu wengine wanaambukizwa chuki bila kutafuta ukweli ,
kundi hili ni la watanzania wanaoishi nje ambao wanadhani kila kinachopostiwa humu ni cha kweli.
Kundi hili limepotoshwa na kujikuta linachuki kubwa dhidi ya serikali kwasababu tu wamechagua kupata habari kupitia jf ambayo imejaa wenye hila dhidi ya serikali.
Kundi jingine ni lile lililo wahanga walioharibiwa masrahi yao kwasabbu hawakutumia njia halali kuishi.
Kundi hili lina watu wa aina nyingi kama ifuatavyo, wapo walikuwa wanapata pesa kifisadi, waliokuwa wanaishi kwa kuuza madawa ya kulevya, waliokuwa wanakula mishahara ya wafanyakazi hewa, waliokuwa navyeti feki, walifukuzwa kazi kwa uzembe, wenye chuki binafsi na Mh. Rais na wapinzani.
Naomba niwe mkweli Rais Magufuri hana mpinzani mtaishia kumchafua hapa jf lkn kwenye jamii ya wanyonge tunamuona ni mkombozi wetu.
Ndiyo, ni mkombozi wetu kwa sababu amesababisha ya fuatayo, elimu bure, fyl over tazara , interchange ubungo, reli ya umeme, daraja la kigamboni, daraja la kilombero, upanuzi wa barabara ya moroco, mikopo kwa wanafunzi wa vyuo, ufanisi kwa watumishi wa serikali, ubora wa mfumo wa ulinzi wa ndani na nje ya nchi, kuboreshwa kwa bei ya korosho, kukua kwa pato la taifa, ununuzi wa ndege sambamba na kufufua shirika la ndege, ujenzi wa viwanda viingi, ongezeko la ajira, uhuru kwa machinga, mahakama ya mafisadi, kumaliza tatizo la kukatika katika kwa umeme, usambazwaji wa umeme mijini na vijiijin, uthibiti wa mwendo kasi kwenye mabasi ya abiria, na mengine meeeeengi lkn yoooote haya ni kwa kipindi cha miaka mitatu tu.
Nisemacho leo punguzeni chuki dhidi ya serikali semeni na mazuri acheni kujaza watu chuki dhidi ya serikali yao.
Ni maombi yangu Magufuri awe Rais wa milele wa nchi yetu tuone kama mtahama nchi.
Umesahau udikteta, ubaguzi, double standard, bunge live, utawala wa sheria, ubabe, katiba, uhuru wa kujieleza, 1.5 trillion, diplomasia, democracy, jiwe ni nomaUkweli ni kwamba threads ambazo zinatupiwa humu nyingi zinapandikiza chuki dhidi ya serikali.
Watu wapo kwaajili ya kusema mabaya tu ya serikali lkn hawataki kusema mazuri ambayo ni mengi zaid ya hayo mabaya.
Nilichogundua ni kwamba wanaichukia serikali wamegawanyika ktk makumdi yafustayo:
Kuna watu wameumbwa kupinga kila kitu anachofanya mtu mwingine hata kama ni kizuri.
Kuna watu wengine wanaambukizwa chuki bila kutafuta ukweli ,
kundi hili ni la watanzania wanaoishi nje ambao wanadhani kila kinachopostiwa humu ni cha kweli.
Kundi hili limepotoshwa na kujikuta linachuki kubwa dhidi ya serikali kwasababu tu wamechagua kupata habari kupitia jf ambayo imejaa wenye hila dhidi ya serikali.
Kundi jingine ni lile lililo wahanga walioharibiwa masrahi yao kwasabbu hawakutumia njia halali kuishi.
Kundi hili lina watu wa aina nyingi kama ifuatavyo, wapo walikuwa wanapata pesa kifisadi, waliokuwa wanaishi kwa kuuza madawa ya kulevya, waliokuwa wanakula mishahara ya wafanyakazi hewa, waliokuwa navyeti feki, walifukuzwa kazi kwa uzembe, wenye chuki binafsi na Mh. Rais na wapinzani.
Naomba niwe mkweli Rais Magufuri hana mpinzani mtaishia kumchafua hapa jf lkn kwenye jamii ya wanyonge tunamuona ni mkombozi wetu.
Ndiyo, ni mkombozi wetu kwa sababu amesababisha ya fuatayo, elimu bure, fyl over tazara , interchange ubungo, reli ya umeme, daraja la kigamboni, daraja la kilombero, upanuzi wa barabara ya moroco, mikopo kwa wanafunzi wa vyuo, ufanisi kwa watumishi wa serikali, ubora wa mfumo wa ulinzi wa ndani na nje ya nchi, kuboreshwa kwa bei ya korosho, kukua kwa pato la taifa, ununuzi wa ndege sambamba na kufufua shirika la ndege, ujenzi wa viwanda viingi, ongezeko la ajira, uhuru kwa machinga, mahakama ya mafisadi, kumaliza tatizo la kukatika katika kwa umeme, usambazwaji wa umeme mijini na vijiijin, uthibiti wa mwendo kasi kwenye mabasi ya abiria, na mengine meeeeengi lkn yoooote haya ni kwa kipindi cha miaka mitatu tu.
Nisemacho leo punguzeni chuki dhidi ya serikali semeni na mazuri acheni kujaza watu chuki dhidi ya serikali yao.
Ni maombi yangu Magufuri awe Rais wa milele wa nchi yetu tuone kama mtahama nchi.
Kwa mwendo huu, una kila sababu ya kuamini kila anayeikosoa serikali na Magufuli wake basi ana chuki na Magu in one way or another manake kwa hitimisho lako hili unaonekana wazi kwamba you're completely misinformed!!!Ndiyo, ni mkombozi wetu kwa sababu amesababisha ya fuatayo, elimu bure, fyl over tazara , interchange ubungo, reli ya umeme, daraja la kigamboni, daraja la kilombero, upanuzi wa barabara ya moroco, mikopo kwa wanafunzi wa vyuo, ufanisi kwa watumishi wa serikali, ubora wa mfumo wa ulinzi wa ndani na nje ya nchi, kuboreshwa kwa bei ya korosho, kukua kwa pato la taifa, ununuzi wa ndege sambamba na kufufua shirika la ndege, ujenzi wa viwanda viingi, ongezeko la ajira, uhuru kwa machinga, mahakama ya mafisadi, kumaliza tatizo la kukatika katika kwa umeme, usambazwaji wa umeme mijini na vijiijin, uthibiti wa mwendo kasi kwenye mabasi ya abiria, na mengine meeeeengi lkn yoooote haya ni kwa kipindi cha miaka mitatu tu.
Kama shule yenyewe ndo hii ambayo imeshindwa kukupa hata mwanga wa kufahamu Daraja la Kigamboni limejengwa lini, then fvck education manake, kwa kuangalia thread yako hii, it probably adds no value!Kama ulikimbia shule imekula kwako
Madaraja na barabara zote ni muendelezo wa vile ambavyo kikwete alivianzisha akaacha vinaendelea, Mazuri ya magufuli ni 12% lakini 88 % ni mabaya huwezi kuzuia mikutano kuminya Demokrasia alafu ujinadi eti una mazuri sasa kama una mazuri mengi iweje uogope mikutano? Kama unataka kujua uzuri wa mtukufu magufuli ruhusa mikutano ya siasa ndipo utajua ufisadi wake wote kuanzia zile bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa ununuzi wa kivuko feki pesa ikapigwa kifisadi na uuzaji nyumba za Serikali akajiuzia nyumba kibao kienyeji na kuzigawa kwa Hawala na mdogo wake ambao hawakuwa watumishi wa umma.Ukweli ni kwamba threads ambazo zinatupiwa humu nyingi zinapandikiza chuki dhidi ya serikali.