Ukitaka kuichukia Serikali ingia JF mara nyingi

Ukitaka kuichukia Serikali ingia JF mara nyingi

Mbwa asiye na meno huishia kubweka tu
Umejisumbua nini kujitutumua kuandika haya yote kama unafananisha nguvu hii ya kukosoa na mbwa asiye na meno?

Thread yako tu inaakisi ni jinsi gani mnakosa usingizi kwa maovu yenu kufunuliwa mbele ya watanzania na jamii ya kimataifa kwa ujumla.

Pole sana kwa kukosa amani huku ukijitahidi kutabasamu
 
Mi ninachojua mleta uzi ni spesho na amebobea kuandika nyuzi za ngono. Sijajua kama ana uwezo wa kupokea na kuchambua mambo kwa ufasaha.
Ukweli daima huwa mchungu, bila ngono wee ungezaliwa?
 
Mimi ni mgeni hapa jf hivyo post ya kwanza kuisoma ni hii hivyo hayo mabaya sijayasikia ebu nikuombe uyaorozeshe kwa faida tuliochelewa ili tupime kabda hatujakuhumu kuwa hukema kweri
Fuatilia threads za nyuma
 
Sasa Mkuu kwanini wewe usiweke hayo mazuri?

Mbona TBC, Startv, Uhuru na Tanzanite wanasifia tu?

Unataka kusema watu wa humu huwa wanakutana nje ya JF ili kupanga yatakatoletwa humu?

Next time usilete tena mada kama hii kwenye jukwaa la historia.
Kwani anajielewa sasa huyu dada
 
Sasa Mkuu kwanini wewe usiweke hayo mazuri?

Mbona TBC, Startv, Uhuru na Tanzanite wanasifia tu?

Unataka kusema watu wa humu huwa wanakutana nje ya JF ili kupanga yatakatoletwa humu?

Next time usilete tena mada kama hii kwenye jukwaa la historia.
Kawaida yao hao vibaraka,kuna yule jamaa wa futuhi Sharobaro wa kihaya kanichefua kweli juzi eti anawasifia tu Pilato na Bashite bila kuwa na point maalum.
 
Back
Top Bottom