Ukitaka kuichukia Serikali ingia JF mara nyingi

Namimi nakubali ukitaka kuichukia Serikali jiunge jf. Humu wengi ni wapandikiza chuki
 
Serikali yoyote Duniani ina wajibu wa kukusanya kodi na kuwaletea maendeleo wananchi wake,bila kujali itikadi zao.
Alafu uhuru wa maoni ni vizuri uheshimiwe,mawazo kinzani yasikukwaze.
Mwisho Kada mtiifu ,usianze kuwashambulia wana JF,sisi sote ni Watanzania na wote tunaitakia mema nchi yetu,kukosolewa ni jambo la kawaida hakuna Mtu aliye mkamilifu.
 
Kumbe mazuri ndo hayo tu? Tukianza kutaja mabaya ya serikali hii tutajaza kurasa nyingi sana.
 
Ukweli ni kwamba threads ambazo zinatupiwa humu nyingi zinapandikiza chuki dhidi ya serikali.

Watu wapo kwaajili ya kusema mabaya tu ya serikali lkn hawataki kusema mazuri ambayo ni mengi zaid ya hayo mabaya.

Nilichogundua ni kwamba wanaichukia serikali wamegawanyika ktk makumdi yafustayo:

Kuna watu wameumbwa kupinga kila kitu anachofanya mtu mwingine hata kama ni kizuri.

Kuna watu wengine wanaambukizwa chuki bila kutafuta ukweli ,
kundi hili ni la watanzania wanaoishi nje ambao wanadhani kila kinachopostiwa humu ni cha kweli.

Kundi hili limepotoshwa na kujikuta linachuki kubwa dhidi ya serikali kwasababu tu wamechagua kupata habari kupitia jf ambayo imejaa wenye hila dhidi ya serikali.

Kundi jingine ni lile lililo wahanga walioharibiwa masrahi yao kwasabbu hawakutumia njia halali kuishi.

Kundi hili lina watu wa aina nyingi kama ifuatavyo, wapo walikuwa wanapata pesa kifisadi, waliokuwa wanaishi kwa kuuza madawa ya kulevya, waliokuwa wanakula mishahara ya wafanyakazi hewa, waliokuwa navyeti feki, walifukuzwa kazi kwa uzembe, wenye chuki binafsi na Mh. Rais na wapinzani.

Naomba niwe mkweli Rais Magufuri hana mpinzani mtaishia kumchafua hapa jf lkn kwenye jamii ya wanyonge tunamuona ni mkombozi wetu.

Ndiyo, ni mkombozi wetu kwa sababu amesababisha ya fuatayo, elimu bure, fyl over tazara , interchange ubungo, reli ya umeme, daraja la kigamboni, daraja la kilombero, upanuzi wa barabara ya moroco, mikopo kwa wanafunzi wa vyuo, ufanisi kwa watumishi wa serikali, ubora wa mfumo wa ulinzi wa ndani na nje ya nchi, kuboreshwa kwa bei ya korosho, kukua kwa pato la taifa, ununuzi wa ndege sambamba na kufufua shirika la ndege, ujenzi wa viwanda viingi, ongezeko la ajira, uhuru kwa machinga, mahakama ya mafisadi, kumaliza tatizo la kukatika katika kwa umeme, usambazwaji wa umeme mijini na vijiijin, uthibiti wa mwendo kasi kwenye mabasi ya abiria, na mengine meeeeengi lkn yoooote haya ni kwa kipindi cha miaka mitatu tu.

Nisemacho leo punguzeni chuki dhidi ya serikali semeni na mazuri acheni kujaza watu chuki dhidi ya serikali yao.

Ni maombi yangu Magufuri awe Rais wa milele wa nchi yetu tuone kama mtahama nchi.
Iyo Title Yako Tuu Ina Contradiction Na Ambiguity!

Huo Utafiti Wako Wa Makundi Ya Watu Humu Umeupataje Kama Hujaingia JF Mara Nyingi. Kama Umeingia Mara Nyingi JF Basi Wewe Ni Mnafiki. Moyoni Unachukia Serikali Lakini Kwa Nje Unakuja Kusifia Serikali Humu Jukwaani.

Na Wewe Kama Unaona Kuingia JF Mara Nyingi Kutakufanya Uichukie Serikali, Ondoka JF Uende Uraiani Huko Hali Zilivyokuwa Ngumu Ukutane Na Raia Walivyopigika, Biashara Zimedunda,Watu Na Vyeti Vyao Lakini Ajira Ngumu, Ndio Utajua. Kinachoonekana Humu JF Ni Matokeo Tu Ya Kinachoendelea Huko Uraiani.
 
Kwani shida iko wapi wewe na wenzio si msifie tu serikali.sijaona hoja yako mkuu
 
Ukweli ni kwamba threads ambazo zinatupiwa humu nyingi zinapandikiza chuki dhidi ya serikali.

Watu wapo kwaajili ya kusema mabaya tu ya serikali lkn hawataki kusema mazuri ambayo ni mengi zaid ya hayo mabaya.

Nilichogundua ni kwamba wanaichukia serikali wamegawanyika ktk makumdi yafustayo:

Kuna watu wameumbwa kupinga kila kitu anachofanya mtu mwingine hata kama ni kizuri.

Kuna watu wengine wanaambukizwa chuki bila kutafuta ukweli ,
kundi hili ni la watanzania wanaoishi nje ambao wanadhani kila kinachopostiwa humu ni cha kweli.

Kundi hili limepotoshwa na kujikuta linachuki kubwa dhidi ya serikali kwasababu tu wamechagua kupata habari kupitia jf ambayo imejaa wenye hila dhidi ya serikali.

Kundi jingine ni lile lililo wahanga walioharibiwa masrahi yao kwasabbu hawakutumia njia halali kuishi.

Kundi hili lina watu wa aina nyingi kama ifuatavyo, wapo walikuwa wanapata pesa kifisadi, waliokuwa wanaishi kwa kuuza madawa ya kulevya, waliokuwa wanakula mishahara ya wafanyakazi hewa, waliokuwa navyeti feki, walifukuzwa kazi kwa uzembe, wenye chuki binafsi na Mh. Rais na wapinzani.

Naomba niwe mkweli Rais Magufuri hana mpinzani mtaishia kumchafua hapa jf lkn kwenye jamii ya wanyonge tunamuona ni mkombozi wetu.

Ndiyo, ni mkombozi wetu kwa sababu amesababisha ya fuatayo, elimu bure, fyl over tazara , interchange ubungo, reli ya umeme, daraja la kigamboni, daraja la kilombero, upanuzi wa barabara ya moroco, mikopo kwa wanafunzi wa vyuo, ufanisi kwa watumishi wa serikali, ubora wa mfumo wa ulinzi wa ndani na nje ya nchi, kuboreshwa kwa bei ya korosho, kukua kwa pato la taifa, ununuzi wa ndege sambamba na kufufua shirika la ndege, ujenzi wa viwanda viingi, ongezeko la ajira, uhuru kwa machinga, mahakama ya mafisadi, kumaliza tatizo la kukatika katika kwa umeme, usambazwaji wa umeme mijini na vijiijin, uthibiti wa mwendo kasi kwenye mabasi ya abiria, na mengine meeeeengi lkn yoooote haya ni kwa kipindi cha miaka mitatu tu.

Nisemacho leo punguzeni chuki dhidi ya serikali semeni na mazuri acheni kujaza watu chuki dhidi ya serikali yao.

Ni maombi yangu Magufuri awe Rais wa milele wa nchi yetu tuone kama mtahama nchi.
Usiwe kasuku
 
Namimi nakubali ukitaka kuichukia Serikali jiunge jf. Humu wengi ni wapandikiza chuki
Sasa kwani mmelazimishwa kuwepo humu?
Muunde Forum yenu ya kuisifia serikali simple msitupangie
Tutawasaidia kuwapa jina bashitejiwe Forum ni kusifu na kuabudu tu
 
Vyombo vingine vya habari vyote vimeshatiwa mfukoni ndio maana ukiwa kwenye social media zingine unakuta wanasifu na kuabudu tu ilihali taifa likiwa liko njia panda.
Jamiiforum ndio angalau kidogo watu wana uhuru wa kuyaongelea madhaifu ya serikali hii.
Wewe waonekana ni moja ya wale wanaosifu tu hata kama unapelekwa kwenda kuchinjwa/mwanakondoo asie na ufahamu

Ukweli lazima usemwe hata kama hamtaki!
Apewe kitengo tbc
 
Jibu hoja acha kurukaruka kama maharage yapo jikoni
 
Mtoa mada umejiunga Nov 2015 baada ya uchaguzi..!! Nimegundua tatizo siyo wewe tatizo ni kwamba umeijua jf kipindi cha jiwe.. Kwa taarifa yako jf imevamiwa na vichaa wa Lumumba sana baada ya uchaguzi.. Kabla ya hapo jf ilikuwa imetulia na wachangiaji wengi hawajawahi kusifia ujinga wa serikali ya ccm..View attachment 921349
Hilo lina uhusiano gani na hoja iliyopo?
 
Maendeleo hayaji kwa watu wote kuwa na mawazo ya aina moja.
 
Sio kwamba ni humu JF pekee, hata huko mtaani ndio hivi hivi. Kifupi jamaa mshamba wa chattle hakubaliki. Huwezi kufosi mtu akusifie. Kazi yako ndio itafanya usifike. Sasa Kama anafanya mablanda unataka tumsifie kwa kipi?
 
Back
Top Bottom