Sasa kama mapoyoyo wa kusifia mpo wengi kwanini unamaindi wanapokuwepo wenye akili ya kukosoa? kwa mfano ujinga wa kilichofanyika Chuo Kikuukuu Dar es Salaam wewe unaona ni jambo la kusifia...jitu moja lilienda pale kwa uongo kuwa ni lisikilizaji tu lakini likaishia kuhutubia na kuongea ujinga kwa masaa mawili!Ukweli ni kwamba threads ambazo zinatupiwa humu nyingi zinapandikiza chuki dhidi ya serikali.
Watu wapo kwaajili ya kusema mabaya tu ya serikali lkn hawataki kusema mazuri ambayo ni mengi zaid ya hayo mabaya.
Nilichogundua ni kwamba wanaichukia serikali wamegawanyika ktk makumdi yafustayo:
Kuna watu wameumbwa kupinga kila kitu anachofanya mtu mwingine hata kama ni kizuri.
Kuna watu wengine wanaambukizwa chuki bila kutafuta ukweli ,
kundi hili ni la watanzania wanaoishi nje ambao wanadhani kila kinachopostiwa humu ni cha kweli.
Kundi hili limepotoshwa na kujikuta linachuki kubwa dhidi ya serikali kwasababu tu wamechagua kupata habari kupitia jf ambayo imejaa wenye hila dhidi ya serikali.
Kundi jingine ni lile lililo wahanga walioharibiwa masrahi yao kwasabbu hawakutumia njia halali kuishi.
Kundi hili lina watu wa aina nyingi kama ifuatavyo, wapo walikuwa wanapata pesa kifisadi, waliokuwa wanaishi kwa kuuza madawa ya kulevya, waliokuwa wanakula mishahara ya wafanyakazi hewa, waliokuwa navyeti feki, walifukuzwa kazi kwa uzembe, wenye chuki binafsi na Mh. Rais na wapinzani.
Naomba niwe mkweli Rais Magufuri hana mpinzani mtaishia kumchafua hapa jf lkn kwenye jamii ya wanyonge tunamuona ni mkombozi wetu.
Ndiyo, ni mkombozi wetu kwa sababu amesababisha ya fuatayo, elimu bure, fyl over tazara , interchange ubungo, reli ya umeme, daraja la kigamboni, daraja la kilombero, upanuzi wa barabara ya moroco, mikopo kwa wanafunzi wa vyuo, ufanisi kwa watumishi wa serikali, ubora wa mfumo wa ulinzi wa ndani na nje ya nchi, kuboreshwa kwa bei ya korosho, kukua kwa pato la taifa, ununuzi wa ndege sambamba na kufufua shirika la ndege, ujenzi wa viwanda viingi, ongezeko la ajira, uhuru kwa machinga, mahakama ya mafisadi, kumaliza tatizo la kukatika katika kwa umeme, usambazwaji wa umeme mijini na vijiijin, uthibiti wa mwendo kasi kwenye mabasi ya abiria, na mengine meeeeengi lkn yoooote haya ni kwa kipindi cha miaka mitatu tu.
Nisemacho leo punguzeni chuki dhidi ya serikali semeni na mazuri acheni kujaza watu chuki dhidi ya serikali yao.
Ni maombi yangu Magufuri awe Rais wa milele wa nchi yetu tuone kama mtahama nchi.
Ningekuwa nimeelewa nisingeuliza!Wewe unaona ni lugha gani?
Ili iweje tayari unaonyesha wewe ni Kada hvyo huu Mjadala hautafika mwisho hata upewe strong reasons bado utabishanaKwani wewe unaonaje? By the way umejiandaje na ushindi wa Magufuri 2025-2030?
Na haipendezi mtoto wa kike kushupaza shingo mbele ya wanaume, kama vipi tumuache waje makada wenzie wamsifieeeeeeee mpaka afike kwenye kilele.Ili iweje tayari unaonyesha wewe ni Kada hvyo huu Mjadala hautafika mwisho hata upewe strong reasons bado utabishana
Umetumwa wewe si bure, hebu nikae pembeni niangalia wanaobishana na kivuliKwani wewe unaonaje? By the way umejiandaje na ushindi wa Magufuri 2025-2030?
Ahahaa!! Arudi shule, tafadhari.Lugha gani hii Mheshimiwa kada?
Mkuu kumbe huyu ni katibu muhtasi kule kwenye jukwaa letu?Mi ninachojua mleta uzi ni spesho na amebobea kuandika nyuzi za ngono. Sijajua kama ana uwezo wa kupokea na kuchambua mambo kwa ufasaha.
Mimi ni mgeni hapa jf hivyo post ya kwanza kuisoma ni hii hivyo hayo mabaya sijayasikia ebu nikuombe uyaorozeshe kwa faida tuliochelewa ili tupime kabda hatujakuhumu kuwa hukema kweriMabaya mlishaelezwa vga kutosha
Bora sisi tunajifichia kule, ndugu yetu huyu ni katibu mwenezi maana anaoperate kwa uwazi mno.Mkuu kumbe huyu ni katibu muhtasi kule kwenye jukwaa letu?
Isije akawa ni Nabii TitoWewe ni nabii walahi
Yaani hadharani kabisa kama Amber ruty!!!Bora sisi tunajifichia kule, ndugu yetu huyu ni katibu mwenezi maana anaoperate kwa uwazi mno.
Kama wewe unaisifia serikali kwanini wengine wasiipinge serikali???Inatakiwa ukubali kuwa watu tunatofautiana kifikra nyinyi vilaza wa Lumumba kucha kutwa ni kumsifia tu magufuliUkweli ni kwamba threads ambazo zinatupiwa humu nyingi zinapandikiza chuki dhidi ya serikali.