Kwenye avatar hiyo picha yako?[emoji23]Ukweli ni kwamba threads ambazo zinatupiwa humu nyingi zinapandikiza chuki dhidi ya serikali.
Watu wapo kwaajili ya kusema mabaya tu ya serikali lkn hawataki kusema mazuri ambayo ni mengi zaid ya hayo mabaya.
Nilichogundua ni kwamba wanaichukia serikali wamegawanyika ktk makumdi yafustayo:
Kuna watu wameumbwa kupinga kila kitu anachofanya mtu mwingine hata kama ni kizuri.
Kuna watu wengine wanaambukizwa chuki bila kutafuta ukweli ,
kundi hili ni la watanzania wanaoishi nje ambao wanadhani kila kinachopostiwa humu ni cha kweli.
Kundi hili limepotoshwa na kujikuta linachuki kubwa dhidi ya serikali kwasababu tu wamechagua kupata habari kupitia jf ambayo imejaa wenye hila dhidi ya serikali.
Kundi jingine ni lile lililo wahanga walioharibiwa masrahi yao kwasabbu hawakutumia njia halali kuishi.
Kundi hili lina watu wa aina nyingi kama ifuatavyo, wapo walikuwa wanapata pesa kifisadi, waliokuwa wanaishi kwa kuuza madawa ya kulevya, waliokuwa wanakula mishahara ya wafanyakazi hewa, waliokuwa navyeti feki, walifukuzwa kazi kwa uzembe, wenye chuki binafsi na Mh. Rais na wapinzani.
Naomba niwe mkweli Rais Magufuri hana mpinzani mtaishia kumchafua hapa jf lkn kwenye jamii ya wanyonge tunamuona ni mkombozi wetu.
Ndiyo, ni mkombozi wetu kwa sababu amesababisha ya fuatayo, elimu bure, fyl over tazara , interchange ubungo, reli ya umeme, daraja la kigamboni, daraja la kilombero, upanuzi wa barabara ya moroco, mikopo kwa wanafunzi wa vyuo, ufanisi kwa watumishi wa serikali, ubora wa mfumo wa ulinzi wa ndani na nje ya nchi, kuboreshwa kwa bei ya korosho, kukua kwa pato la taifa, ununuzi wa ndege sambamba na kufufua shirika la ndege, ujenzi wa viwanda viingi, ongezeko la ajira, uhuru kwa machinga, mahakama ya mafisadi, kumaliza tatizo la kukatika katika kwa umeme, usambazwaji wa umeme mijini na vijiijin, uthibiti wa mwendo kasi kwenye mabasi ya abiria, na mengine meeeeengi lkn yoooote haya ni kwa kipindi cha miaka mitatu tu.
Nisemacho leo punguzeni chuki dhidi ya serikali semeni na mazuri acheni kujaza watu chuki dhidi ya serikali yao.
Ni maombi yangu Magufuri awe Rais wa milele wa nchi yetu tuone kama mtahama nchi.
Hamna uhuru kiasi hicho nchi hii inaongozwa kwa taratibu na kanuni. Halafu unaoneka we ni limbukeni wa mitandao, ufahamu wako pia umeshikiliwa na watu fulani ndiyo maana unaanika utupu wakoSasa kwani mmelazimishwa kuwepo humu?
Muunde Forum yenu ya kuisifia serikali simple msitupangie
Tutawasaidia kuwapa jina bashitejiwe Forum ni kusifu na kuabudu tu
Hilo lina uhusiano gani na hoja iliyopo?
acha kujibu kikahab.akahab.aWewe unaona ni lugha gani?
Acha kushabikia kila kisemwacho tumia akili yako kujua mambo wala hutofikia ulipofika. Waache wajinga wadanganyane simamia ukweli, emu niambie kwa muda mfupi kama wa Rais Magufuri madarakani ni Rais wa awamu ipi alikuwa amefanya mambo makubwa kama yeye?Moniccca bana,
Sikulaumu sana pengine wewe ni mwanachama wa chama cha serikali.
Si JF tuu hata twitter ni wachache wanakubaliana Na magufuli na mitazamo yake.
Unajua ni kwanini.? Hao tunao waita wasomi wakutegemewa ,watu wenye welewa mpana wapo JF na Twitter!
Kama wewe ni Miongoni wa hao wasomi wa Taifa hili, JITAFAKARI.
Acha kushabikia kila kisemwacho tumia akili yako kujua mambo wala hutofikia ulipofika. Waache wajinga wadanganyane simamia ukweli, emu niambie kwa muda mfupi kama wa Rais Magufuri madarakani ni Rais wa awamu ipi alikuwa amefanya mambo makubwa kama yeye?
Huo ni mtazamo wako , hayo mauji ya wanasiasa unahakika gani kama serikali ndiyo iliyohusika?Tunatofautina Mitazamo,
Unajari kuhusu Flyover, DreanLiner na yote uliyo eleza hapo juu bila kujali uvunjifu wa sheria, Mauaji ya wanasiasa na utekaji wa raia, Matumizi mabaya ya madaraka, kuminywa kwa Democrasia hasa kwa upande wa upinzani Nchini na mengine mengi ..
Sitojari umetumwa ama ni mtazamo wako, serikali hii inatutia aibu Watanzania, kuitetea pia ni ishara ya kutojitambua kama raia makini wa nchi hii.
Huo ni mtazamo wako , hayo mauji ya wanasiasa unahakika gani kama serikali ndiyo iliyohusika?
Kwanini hamchukui hatua kuishitaki serikali kama mna ushahidi juu ya hilo?Elimu na Taaluma tulizo nazo tutakuwa hatuzitendei haki kama tutashindwa kun'gamua michezo ya kihuni inayofanywa na serikali hii.
Tukio la Lissu kupigwa risasi Camera ziliondolewa, umesikia serikali ikihoji juu ya kuondolewa kwa security cameras eneo la tukio.? Je uchunguzi umefikia wapi/umefanikiwa kiasi gani.?
Ni wazi hata mtu asiyekwenda shule anaweza kuthibitisha uhusika wa moja kwa moja wa serikali ktk matukio ya kiharifu..
Kwanini hamchukui hatua kuishitaki serikali kama mna ushahidi juu ya hilo?
Haya maneno "Ni maombi yangu Magufuri awe Rais wa milele wa nchi yetu tuone kama mtahama nchi" nayo yanapandikiza chuki,maana baada ya miaka kumi kuna wengine wanataka hicho Kiti.Hivyo basi mada yako imepoteza uhalisia kwa kuwa hujabaini kwa nini watu wanalalamika,kitu Mi naweza sema ni kwamba serikali inajitahidi ni sawa kabisa ila kasi bado ni ndogo mno hasa katika ukuaji wa uchumi katika ngazi ya mtu(Individual level)kwa maana moja kampuni za umma,ushirika,sekta zilizo chini ya serikali na sekta binafsi bado hazina nguvu ya kumpa maslahi mwananchi kumudu mahitaji ya msingi (achilia mbali mahitaji ya fahari).Watu wengi wanategemea kilimo lakini kilimo hicho wanachofanya tija yake haikidhi mahitaji ya familia kutokana na gharama za kujikimu,kutozingatia uzazi wa mpango,kujipa moyo kupita kiasi bila kuja na mbinu nzito,kuamini maendeleo ni kuleta mwekezaji kutoka nje ya nchi na kumpa ardhi kubwa kisha kuwafidia wananchi fedha wakakae watakapofikiria wao badala ya kuchora jamani ya makazi mapya ya wanao hamishwa itakayokuwa na maeneo ya kilimo,ufugaji na biashara kulingana na wananchi hao,matokeo yake wengi wana kwenda kujenga au kupanga sehemu ambao hawataweza kujikwamua hivyo basi fedha zinwaishia wanaaza kulaumu serikali tena.Mimi naamini SERIKALI yoyote duniani itakayotambua demokrasia ni nini inapaswa kuchukua maoni ya wananchi wake,isipende pongezi sana ila kutimiza wajibu wake kwa mujibu wa Katiba,pia wananchi nao wasiisifie sana serikali au kuikashifu serikali yao bali waioneshe nini wanataka Serikali yao ifanye.Ukweli ni kwamba threads ambazo zinatupiwa humu nyingi zinapandikiza chuki dhidi ya serikali.
Watu wapo kwaajili ya kusema mabaya tu ya serikali lkn hawataki kusema mazuri ambayo ni mengi zaid ya hayo mabaya.
Nilichogundua ni kwamba wanaichukia serikali wamegawanyika ktk makumdi yafustayo:
Kuna watu wameumbwa kupinga kila kitu anachofanya mtu mwingine hata kama ni kizuri.
Kuna watu wengine wanaambukizwa chuki bila kutafuta ukweli ,
kundi hili ni la watanzania wanaoishi nje ambao wanadhani kila kinachopostiwa humu ni cha kweli.
Kundi hili limepotoshwa na kujikuta linachuki kubwa dhidi ya serikali kwasababu tu wamechagua kupata habari kupitia jf ambayo imejaa wenye hila dhidi ya serikali.
Kundi jingine ni lile lililo wahanga walioharibiwa masrahi yao kwasabbu hawakutumia njia halali kuishi.
Kundi hili lina watu wa aina nyingi kama ifuatavyo, wapo walikuwa wanapata pesa kifisadi, waliokuwa wanaishi kwa kuuza madawa ya kulevya, waliokuwa wanakula mishahara ya wafanyakazi hewa, waliokuwa navyeti feki, walifukuzwa kazi kwa uzembe, wenye chuki binafsi na Mh. Rais na wapinzani.
Naomba niwe mkweli Rais Magufuri hana mpinzani mtaishia kumchafua hapa jf lkn kwenye jamii ya wanyonge tunamuona ni mkombozi wetu.
Ndiyo, ni mkombozi wetu kwa sababu amesababisha ya fuatayo, elimu bure, fyl over tazara , interchange ubungo, reli ya umeme, daraja la kigamboni, daraja la kilombero, upanuzi wa barabara ya moroco, mikopo kwa wanafunzi wa vyuo, ufanisi kwa watumishi wa serikali, ubora wa mfumo wa ulinzi wa ndani na nje ya nchi, kuboreshwa kwa bei ya korosho, kukua kwa pato la taifa, ununuzi wa ndege sambamba na kufufua shirika la ndege, ujenzi wa viwanda viingi, ongezeko la ajira, uhuru kwa machinga, mahakama ya mafisadi, kumaliza tatizo la kukatika katika kwa umeme, usambazwaji wa umeme mijini na vijiijin, uthibiti wa mwendo kasi kwenye mabasi ya abiria, na mengine meeeeengi lkn yoooote haya ni kwa kipindi cha miaka mitatu tu.
Nisemacho leo punguzeni chuki dhidi ya serikali semeni na mazuri acheni kujaza watu chuki dhidi ya serikali yao.
Ni maombi yangu Magufuri awe Rais wa milele wa nchi yetu tuone kama mtahama nchi.
Ukweli ni

Unadhani utakuwa mke wa pili, anyway, jaribu hujui bahati inatokea wapi Monicca!Ukweli ni kwamba threads ambazo zinatupiwa humu nyingi zinapandikiza chuki dhidi ya serikali.