Hivi ni kweli Dr shika Ana PHD kweli?
Si ndio Yale ya mwanamuziki pekee mwenye PHD bongo,I mean Dr Remmy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikujibu nitag. Ha ha haKwanini msitibiwe hapo muhimbili kwa wataalamu wetu waliofanya vizuri kwenye masomo yao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili iliyodumaa, ni ngumu kupona.Endelea kuwa mjinga,una nafasi yako katika jamii ya watanzania
Mie kwa ninao wajua waliosoma india na china,wengi wameishia kwenye illegal businesses
Wa kwanza huyu aliesoma asia au ndo mtoa linkUnamjua CEO wa Google LLC?
Na sasa hivi kapewa madaraka zaidi na wamiliki wa hiyo kampuni akina Larry Page kuwa CEO wa Alphabet Group of companies yaani Google ipo ndani ya Alphabet.
Huyu anaitwa Pichai Sundararajan , also known as Sundar Pichai .
Kazaliwa India, kasomea India hadi shahada ya kwanza, muwe mnaweka akiba ya maneno, punguzeni ujuaji mwingi huku hamjui mengi kihiivyo.
Orodha ni ndefu ila punguzeni dharau, stereotype thinking, prejudice, and the like.
Sasa hivi huduma nyingi za ICT zinakuwa ourtsourced nje ya Marekani, Australia, Ulaya n.k. kwenda kwa makampuni yaliyopo India.
CC: Hivi punde
Ndio umemeliza comment yaka au bado inaendelea?
Hata north Korea watakuwa vizuri, kuunda manyuklia sio mchezo,Irani na ujanja wao bado.Ha ha ha we jamaa una wivu sana. Kuna vyuo vipo South Korea ni vizuri kuliko hivyo vya Ulaya na Marekani.
Hivi bado unafanisha Uingereza au Australia na China??!! China wapo mbali sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa! Ila kumkuta diaspora tajiri kazi kweli kweli.Zaidi ni wale wamarekani weusi tu ndio waliotajirika kwa michezo na wale walioenda kucheza soka ulaya wasomi wanahesabika.Wasomi wetu wa nje walichofanikiwa ni kuoa wazungu na siku hizi wachina, sio pesa.Hakuna diaspora anaewazidi utajiri matajiri wa Afrika.Utapopinga unitajie na wasomi waliotajirikua huko ng'ambo wanaotambulika hapa bongo kama mengi, bakhresa, more nkNawaombea mbadilishe fikra juu ya watu wanaojaribu kupiga hatua kupitia elimu, kutafuta maisha nje ya nchi, kufanya biashara.Jaribuni kuwa positive na mfanye kazi kwa juhudi ili kujiletea heshima. Hivi karibuni narudi nyumbani kutoka Asia, sitakuwa na hela kubwa lkn nakuja na technolojia ya kutumia rice straws kutengeneza product muhimu huko nyumbani,pia Professor wangu kakubali kuja tuanzishe farm ya zao flani,tayari ana mashamba katika nchi mbili jirani. Mnaobeza endeleeni kubeza ila mkaa bure si sawa na.........
Hizi PhD zinaonesha uelekeo.PhD ya magufuri inawafikirisha hata wazungu wa Harvard. Matokeo makubwa hayaletwi na PhD bali p/s to university.Ninachofurahi tu ni kuwa PhD za UD ndio zinaongoza nchi, look where we are now. Sijui kwa nini products nyingi za UD zinaji-proud sana wakati wanaongoza nchi na hakuna wanachofanya zaidi ya kuzidi kuliibia taifa.
Ivi nifafanuloeni apa ukisoma certificate apa bongo unaweza soma chuo chochote nje ya nchi ?
Mie mzazi Nina mwanangu kamaliza form 4 mwaka wa jana ana d 8 ya f ya commercia na Arabic anataka kusomea account ebu nielewesheni kwa uelewa wenu Nina ndoto akasome nje ya nchi
Sent using Jamii Forums mobile app