We nawe elewa basi unapoambiwa marekani ni nchi tajiri haina maana wamarekani wote matajiri.Hata ulaya na Marekani pia so wote wanatoboa Kuna Wengine siku ya kuwaaga airport wakiondoka huwa wameva suti za uhakika na viatu vya uhakika na masanduku mazuri ya uhakika wakienda ulaya na Marekani .Siku ya kurudi wanarudi wamevaa vikaptula,Ka Tshirt kamepauka ,miguuni kavaa kobasi na mgongoni kabeba begi wanazobeba watoto wanaosoma shule.Ndio.mzigo pekee anaokuwa nao
Kumbuka pia kila mtu ana akili zake, hata hapa wapo wenye kazi nzuri lakini hawana cha maana mara mia hata ambaye hana shule kubwa, hivyo ni pamoja na akili ya mtuHata ulaya na Marekani pia so wote wanatoboa Kuna Wengine siku ya kuwaaga airport wakiondoka huwa wameva suti za uhakika na viatu vya uhakika na masanduku mazuri ya uhakika wakienda ulaya na Marekani .Siku ya kurudi wanarudi wamevaa vikaptula,Ka Tshirt kamepauka ,miguuni kavaa kobasi na mgongoni kabeba begi wanazobeba watoto wanaosoma shule.Ndio.mzigo pekee anaokuwa nao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uwiiiEti mtu anakwenda kusoma India nchi ambayo bado raia wake bado wana imani kali za ushirikina na kuabudu ming'ombe
Umeisahau Russia wengi hurudi walevi case study 900 itapendeza hizi Kilimanjaro lager zenu kule inaitwa juice tuWatanzania wengi waliosoma vyuo ambavyo vipo nchi za Asia wana msongo wa mawazo/stress, umaskini wa mali na akili mwisho hufa maskini.
Mfano wa hizo nchi ni kama Japan, China , India, Korea etc ambazo lifestyle yao kuanzia vyakula, malazi, socialization nk ni tofauti sana na Afrika/Bongo.
Nimeshuhudia vijana wanarudi na electronic appliances, vigari na simu tu kama faida ya kuwa huko. Mbali na hazo wengi huwa ni watu wenye jazba, tension, woga, msongo wa mawazo na kuogopa ogopa kufanya maamuzi.
Angalia watu waliosoma US, UK, Canada, Australia wako tofauti kabisa. Hata hawa viongozi wetu wewe wachunguze tu.
Hawakai chungu kimoja.
Asia twendeni tukatembee tu, siyo kula kitabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji16]Sema na sisi tuliobaki bongo tuna majungu sana
Watanzania wengi waliosoma vyuo ambavyo vipo nchi za Asia wana msongo wa mawazo/stress, umaskini wa mali na akili mwisho hufa maskini.
Mfano wa hizo nchi ni kama Japan, China , India, Korea etc ambazo lifestyle yao kuanzia vyakula, malazi, socialization nk ni tofauti sana na Afrika/Bongo.
Nimeshuhudia vijana wanarudi na electronic appliances, vigari na simu tu kama faida ya kuwa huko. Mbali na hazo wengi huwa ni watu wenye jazba, tension, woga, msongo wa mawazo na kuogopa ogopa kufanya maamuzi.
Angalia watu waliosoma US, UK, Canada, Australia wako tofauti kabisa. Hata hawa viongozi wetu wewe wachunguze tu.
Hawakai chungu kimoja.
Asia twendeni tukatembee tu, siyo kula kitabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]dahTatizo sio nchi tatizo ni vyuo mnavyoenda kusoma huko. Mtu anaenda kusoma Lovely punjab university [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mko sawa but niko sawa zaidi...coz urusi ipo kote asia na eastern Europe...25%ipo Europe 75% ipo north Asia..ikijulikana kama Siberia..... So mimi(nmesoma KIA)nlikuwa 75%correct ninyi mliosoma China mko 25%correct....Although watu wengi urusi wanaishi upande wa Europe kwasababu hata mji mkuu upo upande wa ulaya
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji847]Labda cha yoga tu
Tatizo sio nchi tatizo ni vyuo mnavyoenda kusoma huko. Mtu anaenda kusoma Lovely punjab university [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi. Kufupisha maelezo yako tunasema 'Eurasia'
Nakumbuka mwalimu wangu mmija pale IAA aise alikuwaa wa hesabu kasoma urusii duh alikuwaa cha pombee huyoo mwalimu cjapata kuona Ila uzur wake pmj na pombe zake na hesabu zake ngumu hakunikamataaaBora asia Urusi ukirudi ni mlevi chakari, mchumi uliyekubuhu hata chakula huli nadhani..........?
Sema na sisi tuliobaki bongo tuna majungu sana