Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,535
- 61,979
Ndo uwe unanjunjana
Uko Ni khakiv-ukraine,
Bomu limerushwa kwenye nyumba ya jamaa afu kwa bahati mbaya baada ya kutua limeshindwa kulipuka.
Jamaa ndo kaliona na kulipiga picha, maana ake lingelipuka ata Iyo picha asingepiga[emoji4]
Mzigo undokee ncha usilipuke!!! Siimini hiyo picha
Uelweki. Hiyo pic ina uhalisia au haina?Kanjanja we anagalia juu lilipo pita hakuna ata ufa kama vile limepita kwenye shimo[emoji23][emoji23]
Ata tail ya bomu ni pana kuliko shimo
Uelweki. Hiyo pic ina uhalisia au haina?
Hivi inawezekana kweli katika Uhalisia wa tukio(hali halisi)? Ujasiri wa kutulia hapo na kupiga picha tukio hilo unatoka wapi?[emoji4][emoji116]View attachment 2158038