Ukiskia kukoswa koswa, ndo huku sasa

Ukiskia kukoswa koswa, ndo huku sasa

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
43,311
Reaction score
109,525
[emoji4][emoji116]
IMG_20220320_155745.jpg
 
Cjaelewa hata 0.5
Uko Ni khakiv-ukraine,
Bomu limerushwa kwenye nyumba ya jamaa afu kwa bahati mbaya baada ya kutua limeshindwa kulipuka.

Jamaa ndo kaliona na kulipiga picha, maana ake lingelipuka ata Iyo picha asingepiga[emoji4]
 
Sio kwamba wamelipachika tu hapo kwelii [emoji848][emoji848]
Maybe,
Ila Ni kawaida Sana bomu linatua afu halilipuki.

Ukufatilia Aya mabomu ndo maana yanarushwa mengi mno[emoji4]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom