Ukisikiliza habari zinavyoripotiwa Ulaya, Utagundua kwamba hapa bongo wanachokifanya ni kama Umbea tu

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Ukifuatilia habari hapa kwetu hazina ubunifu kabisa, hazikati kiu ya Mlaji:

Ulimwengu wa sasa wa sayansi na teknolojia, Ni matarajio ya wengi Tukio linapotokea, waandishi wa habari wanatazamiwa kuja na taarifa yenye taswira pana zaidi kuliko taarifa zinazokuwa zimezagaa kupitia mitandao ya kijamii!
Lakini cha ajabu Ukifuatilia vyombo vya habari kwa waandishi wetu bongo zinakuwa ni zile zile kama zilivyosambaa kwenye social media!

Mfano: Tukio la ajari ya basi limeua:
Habari kama hiyo inaweza sambaa kwenye Social media kuwa " watu kadhaa wafariki katika ajari ya kampuni X, waliokuwa wakitokea eneo (A) kwenda (B) katika eneo (Y)".

Vyombo vya habari navyo huwa vitaripoti hivyo hivyo bila kutafta habari zaidi katika tukio hilo kiasi cha kuacha maswali mengi!

Mfano 2. Tamasha la wakulima liwe linafanyika mkoani,
"Mwandishi wa habari bongo anaweza akatoka na mgeni rasmi DSM, wakaenda nae mkoani kwenye Tamasha, halafu taarifa ya habari mwandishi huyo ataripoti habari akiwa anamhoji mtu yule yule aliyetoka naye DSM:" (aina ya wanaohojiwa ni walewale wanaohojiwa kila siku)

Kiufupi hapa kwetu vyuo vya habari ni kamavinazalisha Mbumbumbu!

Kwanza hata uvaaji wao hauna tofauti na wambea wa mtaani

#Paschal mayalla na waandishi wengine mliohumu mtanisamehe lakini badilikeni
 
Mimi napenda sana Habari za wenzetu wanakua wanajadili habari iliyokuwepo mbele.
Mfano:-
Hali ya mvua imeathiri maeneo tofauti jijini Dar es salaam

Basi hapo watahusishwa watu mbalimbali wenye taaluma na maswala hayo watachambua na kutoa maelekezo nini kifanyike

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kwetu wakisha mhoji mkuu wa mkoa Inatosha
 
Ukifuatilia habari hapa kwetu hazina ubunifu kabisa, hazikati kiu ya Mlaji:

Ulimwengu wa sasa wa sayansi na teknolojia, Ni matarajio ya wengi Tukio linapotokea, waandishi wa habari wanatazamiwa kuja na taarifa yenye taswira pana zaidi kuliko taarifa zinazokuwa zimezagaa kupitia mitandao ya kijamii!
Lakini cha ajabu Ukifuatilia vyombo vya habari kwa waandishi wetu bongo zinakuwa ni zile zile kama zilivyosambaa kwenye social media!

Mfano: Tukio la ajari ya basi limeua:
Habari kama hiyo inaweza sambaa kwenye Social media kuwa " watu kadhaa wafariki katika ajari ya kampuni X, waliokuwa wakitokea eneo (A) kwenda (B) katika eneo (Y)".

Vyombo vya habari navyo huwa vitaripoti hivyo hivyo bila kutafta habari zaidi katika tukio hilo kiasi cha kuacha maswali mengi!

Mfano 2. Tamasha la wakulima liwe linafanyika mkoani,
"Mwandishi wa habari bongo anaweza akatoka na mgeni rasmi DSM, wakaenda nae mkoani kwenye Tamasha, halafu taarifa ya habari mwandishi huyo ataripoti habari akiwa anamhoji mtu yule yule aliyetoka naye DSM:" (aina ya wanaohojiwa ni walewale wanaohojiwa kila siku)

Kiufupi hapa kwetu vyuo vya habari ni kamavinazalisha Mbumbumbu!

Kwanza hata uvaaji wao hauna tofauti na wambea wa mtaani

#Paschal mayalla na waandishi wengine mliohumu mtanisamehe lakini badilikeni
Umelinganisha uandishi wa habari Tanzania na Ulaya. Je ni fani gani hapa Tanzania inaweza kushindana na fani ya aina yake Ulaya?
 
Ukifuatilia habari hapa kwetu hazina ubunifu kabisa, hazikati kiu ya Mlaji:

Ulimwengu wa sasa wa sayansi na teknolojia, Ni matarajio ya wengi Tukio linapotokea, waandishi wa habari wanatazamiwa kuja na taarifa yenye taswira pana zaidi kuliko taarifa zinazokuwa zimezagaa kupitia mitandao ya kijamii!
Lakini cha ajabu Ukifuatilia vyombo vya habari kwa waandishi wetu bongo zinakuwa ni zile zile kama zilivyosambaa kwenye social media!

Mfano: Tukio la ajari ya basi limeua:
Habari kama hiyo inaweza sambaa kwenye Social media kuwa " watu kadhaa wafariki katika ajari ya kampuni X, waliokuwa wakitokea eneo (A) kwenda (B) katika eneo (Y)".

Vyombo vya habari navyo huwa vitaripoti hivyo hivyo bila kutafta habari zaidi katika tukio hilo kiasi cha kuacha maswali mengi!

Mfano 2. Tamasha la wakulima liwe linafanyika mkoani,
"Mwandishi wa habari bongo anaweza akatoka na mgeni rasmi DSM, wakaenda nae mkoani kwenye Tamasha, halafu taarifa ya habari mwandishi huyo ataripoti habari akiwa anamhoji mtu yule yule aliyetoka naye DSM:" (aina ya wanaohojiwa ni walewale wanaohojiwa kila siku)

Kiufupi hapa kwetu vyuo vya habari ni kamavinazalisha Mbumbumbu!

Kwanza hata uvaaji wao hauna tofauti na wambea wa mtaani

#Paschal mayalla na waandishi wengine mliohumu mtanisamehe lakini badilikeni
Ajali, siyo "ajari".

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Hapa kwetu mojawapo ya taasisi zilizo hoi ni hii ya uandishi wahabari.

Wao kutwa nzima huwa ni kusaka bahasha kwenye press conferences tu.

Lakini pia hata wamiliki wa vyombo hivyo pia ni makanjanja waliojikita zaidi kwenye mitandao ya kisiasa ya kuwa nyuma ya WASAKA madaraka.

Lugha za kihuni huni zimetawala na kuacha lugha sanifu.

Ni kichefu chefu tupu.

Yaani utawasikia mara *kaliamsha dude.
*kudadeki.
*kimenuka.
*kalinukisha.

What a crap!

Mavazi yao ndio shida kabisa.

Hawajitambuwi full milegezo na mawigi.

Ila nimeongelea zaidi hawa wa kizazi hiki .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzetu wanazitendea haki 5Ws + H. Sisi story zetu hazibalance kabisa wengi wao hawana hata diploma ya uandishi wa habari. Ndo faida ya kupeana kazi kwa kujuana.

Ila vyombo vyetu vya habari vinanichosha kwenye breaking news tu. Utakuta tukio liko dar alafu aljazeera ambao wako middle east huko duniani washafanya LIVE coverage kitamboo uki-tune tv zetu unakutana na vipindi vya taarabu.
 
Ukifuatilia habari hapa kwetu hazina ubunifu kabisa, hazikati kiu ya Mlaji:

Ulimwengu wa sasa wa sayansi na teknolojia, Ni matarajio ya wengi Tukio linapotokea, waandishi wa habari wanatazamiwa kuja na taarifa yenye taswira pana zaidi kuliko taarifa zinazokuwa zimezagaa kupitia mitandao ya kijamii!
Lakini cha ajabu Ukifuatilia vyombo vya habari kwa waandishi wetu bongo zinakuwa ni zile zile kama zilivyosambaa kwenye social media!

Mfano: Tukio la ajari ya basi limeua:
Habari kama hiyo inaweza sambaa kwenye Social media kuwa " watu kadhaa wafariki katika ajari ya kampuni X, waliokuwa wakitokea eneo (A) kwenda (B) katika eneo (Y)".

Vyombo vya habari navyo huwa vitaripoti hivyo hivyo bila kutafta habari zaidi katika tukio hilo kiasi cha kuacha maswali mengi!

Mfano 2. Tamasha la wakulima liwe linafanyika mkoani,
"Mwandishi wa habari bongo anaweza akatoka na mgeni rasmi DSM, wakaenda nae mkoani kwenye Tamasha, halafu taarifa ya habari mwandishi huyo ataripoti habari akiwa anamhoji mtu yule yule aliyetoka naye DSM:" (aina ya wanaohojiwa ni walewale wanaohojiwa kila siku)

Kiufupi hapa kwetu vyuo vya habari ni kamavinazalisha Mbumbumbu!

Kwanza hata uvaaji wao hauna tofauti na wambea wa mtaani

#Paschal mayalla na waandishi wengine mliohumu mtanisamehe lakini badilikeni
Rais Magufuli kasema...

B.W Mkapa kawachana sana waandishi wa habari wengi wa leo kwenye kitabu chake kipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kwetu mojawapo ya taasisi zilizo hoi ni hii ya uandishi wahabari.

Wao kutwa nzima huwa ni kusaka bahasha kwenye press conferences tu.

Lakini pia hata wamiliki wa vyombo hivyo pia ni makanjanja waliojikita zaidi kwenye mitandao ya kisiasa ya kuwa nyuma ya WASAKA madaraka.

Lugha za kihuni huni zimetawala na kuacha lugha sanifu.

Ni kichefu chefu tupu.

Yaani utawasikia mara *kaliamsha dude.
*kudadeki.
*kimenuka.
*kalinukisha.

What a crap!

Mavazi yao ndio shida kabisa.

Hawajitambuwi full milegezo na mawigi.

Ila nimeongelea zaidi hawa wa kizazi hiki .

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ni shida
 
Back
Top Bottom