ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,712
- 127,646
Halafu kuna kitu nimewaza hapa, nikatabasam...!Itakua moment nzuri sana nitakupa chote mpka ukombee
Halafu kuna kitu nimewaza hapa, nikatabasam...!Itakua moment nzuri sana nitakupa chote mpka ukombee
Umewaza nini au ndio mambo ya siri babuu🤪Halafu kuna kitu nimewaza hapa, nikatabasam...!
Siri siku zote hua n mzito, sio mtu anafanya upuuzi afu anauita n siriSiri zipo na ndio hizo ambazo huzijui
Siri hutofautiana uzito
Hizo unazozijua ni siri nyepesi
Siri nzito huwezi kuzijua watu hufa nazo
Kwa kheri kijana 🤝Siri siku zote hua n mzito, sio mtu anafanya upuuzi afu anauita n siri
Uzuri nimetabasam🤣🤣Umewaza nini au ndio mambo ya siri babuu🤪
Ewaaaa😁😁Uzuri nimetabasam🤣🤣
Sasa nifanyaje mkuu, nikimwambia acha habari zako anaingiwa unyonge, ya nini kutiana unyonge kwa vitu vidogo... na anajua sipendi ila hana namna, atakaa siku 2,3 lakini atakwambia tu... 🤣😂😅🤣🤣 aisee !
hahahaha swali lipo over doze ama?Heh wewe umewaza nini tena ngoja nikuitie mtu ERoni
🤣🤣🤣 we leo una niniOh sikupita, naona nilipitwa upiemugi wkt mwingine ati! 😛 😛
🤣🤣🤣 we leo una nini
Upiemugi ndio wapi huko tandahimba au 😅😅😅
Nimecheka kama chizi 🤣🤣🙌🙌
Nimecheka kama chizi 🤣🤣🙌🙌
Serious?Hahahaha u too philosophical ujue!
Serious?
Mimi kuishia darasa la saba na leo naonekana mtu wa philosophy
Hii ni kubwa sana ningefika elimu ya juu naona ningekua na impact aisee
Thank you bro 🙏☺️
Nashukuru sana mkuuUtakua hujijui au hujitambui labda! Madarasa has nothing to do with ya mental power, unajua posts zako zinahitaji mtu awe kashiba kuzielewa? Acha kuchangia, yani kwa jf ya kisasa unatengeneza niche ya wachache sana wanaokuelewa ujue! Km ndio la saba hili basi unatisha! Una kitu cha ziada for sure...
Nashukuru sana mkuu
Napokea pongezi hizi nzuri kutoka kwako
Pongezi kama hizi zikitoka kwa mtu kama wewe hua inapendeza na inavutia sana ☺️
Karibu tuendelee kuifurahia JF
Na kutag sehemu moja wa mwisho kwa leo right?
Sometimes naloa yani, ndo shida 😛
Ndio upiemugi pia unajua kuna wakati unakutana na malaika hata hujui then ukiangalia kwa makini ndio unagundua kumbe huyu ni Rafaeli au Gabrieli au Fanueli