Ukishangaa ya Polepole usisahau kushangaa ya mwendazake na Mama

Fanfa

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2009
Posts
2,388
Reaction score
3,710
Sarakasi za polepole tumeziona.
Hebu tujikumbushe kidogo ni nani aliyetengeneza precedent ya uchafu wote huu unaolalamikiwa na Polepole????

1. Nani aliyeacha precedent ya kuteka, kupoteza, kutesa na kuua watu wanaokosoa watawala???

2. Nani aliyeanzisha upuuzi huu wa kuvuruga chaguzi kuanzia 2019, 2020, 2024 .....

3. Nani aliyeanzisha utawala wa kidikteta ndani ya chama na ndani ya serikali?

4. Nani aliyeanzisha uminywaji wa Demokrasia hadi kufikia vyama kuzuiwa kufanya siasa?

5. Nani aliyeasisi utaratibu wa fomu moja ndani ya chama?

6. Nani aliyeasisi utaratibu wa uchawa na ukunguni na kutaka yeye tu asifiwe ndani ya chama, serikali na nchi kwa ujumla?

7. Nani aliyessisi uminywaji wa uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa watu kujieleza, uvunjwaji wa haki za watu nk.??

8. Nani asiyeasisi uvurugwaji wa mifumo ya kitaasisi (Serikali, Bunge, mahakama) kwa kuingilia na muhimili uliojichimbia???

9. Na mengine mengi.

Mambo haya yote yalifanyika Ponjoro Polepole akiwa kwenye inner cycle na msemaji wa chama.

Swali: mbona hayo yote yalifanyika akiwa mjumbe wa vikao vyote vya chama na pia msemaji wa chama lakini hatukusikia akilalamika au kukemea maovu yote yale????

Iweje leo Ponjoro Polepole aonekane Shujaa na mzalendo wa kweli ili hali ni mmoja wa waasisi wa mambo yote ya kishenzi niliyoyataja hapo juu!!!!!!

Au ndo kusema kuwa Taifa hili limejaa watu wajinga kwa zaidi ya 90%.??? Kwamba unaweza ukatengeneza tatizo au kuwa sehemu ya tatizo lakini watanzania wale wale ukiwajia kwa mlango wa nyuma wanakushangilia kama mazuzu. Vilee!!!

Kwa ujinga huu itatuchukua miaka zaidi ya 200 kuuondoa ujinga na umasikini wa kifikra. Taifa limejaa wajinga na wapumbavu wengi sana.

Sitashangaa akifanya mwanaccm mwingine sarakasi za polepole tukaendelea kurukaruka kama mazuzu. Nimeona hata wapinzani wanashangilia kweli kweli na kumwona Polepole shujaa wao.

Ama kweli unyani bado umetukaaa.
 
Kamba haikuwa ndefu na pia walimchoka kila siku anaomba alete wakyuba bongo kwa msaada wa ufadhili wa Tanzania kuja kufundisha au kutibu, kwa gharama za bongo......
Kyuba ni choka mbovu ile mbaya, hata Bangladeshi inaafadhali....
Kwa hiyo alikuwa jalalani
 
Balozi wa kweli huyu hapa, ndani ya miezi mitatu tu alimuona nyerere ni miyayusho akatema bungo, tena ndani ya UK kwenye fursa zote...
Huyu slodauni ni mzee wa fursa......

1752449020098.png
 
Sarakasi za polepole tumeziona.
Hebu tujikumbushe kidogo ni nani aliyetengeneza precedence ya uchafu wote huu unaolalamikiwa na Polepole????

1. Nani aliyeacha precedence ya kuteka, kupoteza, kutesa na kuua watu wanaokosoa watawala???

2. Nani aliyeanzisha upuuzi huu wa kuvuruga chaguzi kuanzia 2019, 2020, 2024 .....

3. Nani aliyeanzisha utawala wa kidikteta ndani ya chama na ndani ya serikali?

4. Nani aliyeanzisha uminywaji wa Demokrasia hadi kufikia vyama kuzuiwa kufanya siasa?

5. Nani aliyeasisi utaratibu wa fomu moja ndani ya chama?

6. Nani aliyeasisi utaratibu wa uchawa na ukunguni na kutaka yeye tu asifiwe ndani ya chama, serikali na nchi kwa ujumla?

7. Nani aliyessisi uminywaji wa uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa watu kujieleza, uvunjwaji wa haki za watu nk.??

8. Nani asiyeasisi uvurugwaji wa mifumo ya kitaasisi (Serikali, Bunge, mahakama) kwa kuingilia na muhimili uliojichimbia???

9. Na mengine mengi.

Mambo haya yote yalifanyika Ponjoro Polepole akiwa kwenye inner cycle na msemaji wa chama.

Swali: mbona hayo yote yalifanyika akiwa mjumbe wa vikao vyote vya chama na pia msemaji wa chama lakini hatukusikia akilalamika au kukemea maovu yote yale????

Iweje leo Ponjoro Polepole aonekane Shujaa na mzalendo wa kweli ili hali ni mmoja wa waasisi wa mambo yote ya kishenzi niliyoyataja hapo juu!!!!!!

Au ndo kusema kuwa Taifa hili limejaa watu wajinga kwa zaidi ya 90%.??? Kwamba unaweza ukatengeneza tatizo au kuwa sehemu ya tatizo lakini watanzania wale wale ukiwajia kwa mlango wa nyuma wanakushangilia kama mazuzu. Vilee!!!

Kwa ujinga huu itatuchukua miaka zaidi ya 200 kuuondoa ujinga na umasikini wa kifikra. Taifa limejaa wajinga na wapumbavu wengi sana.

Sitashangaa akifanya mwanaccm mwingine sarakasi za polepole tukaendelea kurukaruka kama mazuzu. Nimeona hata wapinzani wanashangilia kweli kweli na kumwona Polepole shujaa wao.

Ama kweli unyani bado umetukaaa.
Kwani mtu haruhusiwi kuokoka??
 
Tanzania hatuna wapinzani wanaojua walipotoka na wanapoenda na hii ni moja ya sababu mimi NIKAAMUA KUINGIA KWENYE MBIO ZA URAIS WA TANZANIA
mimi sijashangaa walivyofurahia chadema kuhusu issue ya polepole kwa sababu najua hawajui nini wanachopigania

Nauhakika polepole angekuwa ndani ya mfumo kama angekuwa katibu mwenezi, amepitishwa kwenye kinyanganyiro cha ubunge kwenye level ya wilaya, asingeandika haya aliyoandika leo
 
Sarakasi za polepole tumeziona.
Hebu tujikumbushe kidogo ni nani aliyetengeneza precedence ya uchafu wote huu unaolalamikiwa na Polepole????

1. Nani aliyeacha precedence ya kuteka, kupoteza, kutesa na kuua watu wanaokosoa watawala???

2. Nani aliyeanzisha upuuzi huu wa kuvuruga chaguzi kuanzia 2019, 2020, 2024 .....

3. Nani aliyeanzisha utawala wa kidikteta ndani ya chama na ndani ya serikali?

4. Nani aliyeanzisha uminywaji wa Demokrasia hadi kufikia vyama kuzuiwa kufanya siasa?

5. Nani aliyeasisi utaratibu wa fomu moja ndani ya chama?

6. Nani aliyeasisi utaratibu wa uchawa na ukunguni na kutaka yeye tu asifiwe ndani ya chama, serikali na nchi kwa ujumla?

7. Nani aliyessisi uminywaji wa uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa watu kujieleza, uvunjwaji wa haki za watu nk.??

8. Nani asiyeasisi uvurugwaji wa mifumo ya kitaasisi (Serikali, Bunge, mahakama) kwa kuingilia na muhimili uliojichimbia???

9. Na mengine mengi.

Mambo haya yote yalifanyika Ponjoro Polepole akiwa kwenye inner cycle na msemaji wa chama.

Swali: mbona hayo yote yalifanyika akiwa mjumbe wa vikao vyote vya chama na pia msemaji wa chama lakini hatukusikia akilalamika au kukemea maovu yote yale????

Iweje leo Ponjoro Polepole aonekane Shujaa na mzalendo wa kweli ili hali ni mmoja wa waasisi wa mambo yote ya kishenzi niliyoyataja hapo juu!!!!!!

Au ndo kusema kuwa Taifa hili limejaa watu wajinga kwa zaidi ya 90%.??? Kwamba unaweza ukatengeneza tatizo au kuwa sehemu ya tatizo lakini watanzania wale wale ukiwajia kwa mlango wa nyuma wanakushangilia kama mazuzu. Vilee!!!

Kwa ujinga huu itatuchukua miaka zaidi ya 200 kuuondoa ujinga na umasikini wa kifikra. Taifa limejaa wajinga na wapumbavu wengi sana.

Sitashangaa akifanya mwanaccm mwingine sarakasi za polepole tukaendelea kurukaruka kama mazuzu. Nimeona hata wapinzani wanashangilia kweli kweli na kumwona Polepole shujaa wao.

Ama kweli unyani bado umetukaaa.
🙋✍️👏👊👍👌🤝🙏🥂💐🎁🎖️🏆🛡️🫅
 
Second half kickoff
muda wa ku level scoreboard

Seems kuna mchezaji alijua 2nd half mtampiga sub
Akawawahi akajivunja mapemaa
no wonder gazeti limetolewa weekend

Mpaka sasa
Shule ya uongozi ipo mbele 2-0
 
2. Nani aliyeanzisha upuuzi huu wa kuvuruga chaguzi kuanzia 2019, 2020, 2024 .....
Unajua Jecha wa Zanzibar?
1. Nani aliyeacha precedence ya kuteka, kupoteza, kutesa na kuua watu wanaokosoa watawala???
Unakumbuka Stan Katabaro? Unamkubuka Mwandishi wa habari wa kule iringa? Ulimboka Je?
===
Acha maruperupe, Tutumie kula na si kusema yasiyo haki!!!
 
Sasa ulitaka aendelee kushiriki Uovu huo?
Ndiyo maana amejitathimini akaoni ni bora aachie ngazi!
Hoja kwamba alishiriki hayo uliyotaja,mbele za Mungu mtu akigundua makosa yake harafu akaamua kuyatubu na kuamua kuyaacha,tayari anakuwa amefanya vizuri.
 
Back
Top Bottom