Ukishangaa ya Mussa!

Ukishangaa ya Mussa!

Nadhani Allen na Jokakuu mnamuweza Mkandara, ngoja niwaachieni mmalizane naye.

Lakini Kiufupi Magufuli hakuwa mtu safi tangu akiwa waziri.

Alivuruga mchakato wa uuzaji wa nyumba za serikali .

Alipokuwa waziri alituingiza ktk hasara nyingi kwa kuingilia kandarasi ambapo tulishitakiwa na kulipa hela nyingi.

Alipokuwa rais alikuwa hafuati sheria za manunuzi ndiyo maana CAG kaibua madudu kibao kwenye SGR na miradi mingine.

Alikuwa haheshimu katiba, hata alipomuondoa CAG ilikuwa ni kinyume cha sheria.

Magufuli hakuipa uhai CCM, bali alizuia vyama vingine visifanye siasa kabisa na kunadi sera na itikadi zao kupitia mikutano ya hadhara. Hata ile ya ndani sometimes ilivamiwa na polisi na kuzuiliwa.
 
Umefuatilia hoja yako ilipoanzia??

Kuhamia Dodoma ndiyo ilikuwa hoja yenyewe. Mimi nimekwambia kuhamia Dodoma kumeanza tangu enzi za Mwalimu na ndiyo maana akaanzisha Ikulu ya Chamwino. Magufuli alifanya tu mwendelezo kama anavyofanya Samia kwa sasa.

Kwani unadhani Capital Development Authority (CDA) ilianzishwa ili ifanye nini kama siyo kuendeleza Makao Makuu ya nchi?

Unadhani ni kwa nini Makao Makuu ya CCM enzi za chama kimoja yalijengwa Dodoma? Hivi bunge kuhamia Dodoma unadhani ni kwa bahati mbaya??
Makao Makuu - Capital City kuhamia Dodoma. Tambua hili, Kuna dhamira na kuna Utekelezaji..
 
Nadhani Allen na Jokakuu mnamuweza Mkandara, ngoja niwaachieni mmalizane naye.

Lakini Kiufupi Magufuli hakuwa mtu safi tangu akiwa waziri.

Alivuruga mchakato wa uuzaji wa nyumba za serikali .

Alipokuwa waziri alituingiza ktk hasara nyingi kwa kuingilia kandarasi ambapo tulishitakiwa na kulipa hela nyingi.

Alipokuwa rais alikuwa hafuati sheria za manunuzi ndiyo maana CAG kaibua madudu kibao kwenye SGR na miradi mingine.

Alikuwa haheshimu katiba, hata alipomuondoa CAG ilikuwa ni kinyume cha sheria.

Magufuli hakuipa uhai CCM, bali alizuia vyama vingine visifanye siasa kabisa na kunadi sera na itikadi zao kupitia mikutano ya hadhara. Hata ile ya ndani sometimes ilivamiwa na polisi na kuzuiliwa.
Nasema hivi nyie ni waumini wa Wachungaji hamuwezi kufikiri kwa vichwa vyenu wenyewe. Mnatumia sqna IMANI ya kuambiwa badala ya kutumia AKILI zenu.

Uuzaji wa nyumba Serikali ulipitishwa na Bunge. Yeye kama waziri angekataa zisiuzwe? Kwa nini mlishindwa kumlaumu Mkapa na Bunge lake?
 
Makao Makuu - Capital City kuhamia Dodoma. Tambua hili, Kuna dhamira na kuna Utekelezaji..
Sasa kunzisha CDA na kuhamishia bunge dodoma, kujenga Ikulu ya Chamwino, kujenga Makao Makuu ya CCM (Enzi za Chama Kimoja) siyo utekelezaji huo??

Au hujui kwamba kuna mambo kadhaa yalishafanywa na waliomtangulia Magufuli? Tofauti yake na watangulizi wake, ni kwamba wengine walikuwa na vipaumbele vingine walivyoona kuwa ni muhimu zaidi kuliko kutumia hela nyingi kwa mkupuo kuhamishia Makao Makuu Dodoma.
 
Uuzaji wa nyumba Serikali ulipitishwa na Bunge.
Hii siyo kweli. Nyumba ziliuzwa kwa amri ya Rais Benjamin Mkapa na mtekelezaji wake akawa Magufuli. Bunge alikuhusika kuuza hizo nyumba za serikali!!
 
Sasa kunzisha CDA na kuhamishia bunge dodoma, kujenga Ikulu ya Chamwino, kujenga Makao Makuu ya CCM (Enzi za Chama Kimoja) siyo utekelezaji huo??

Au hujui kwamba kuna mambo kadhaa yalishafanywa na waliomtangulia Magufuli? Tofauti yake na watangulizi wake, ni kwamba wengine walikuwa na vipaumbele vingine walivyoona kuwa ni muhimu zaidi kuliko kutumia hela nyingi kwa mkupuo kuhamishia Makao Makuu Dodo
Daaah inabidi nikuache maana hata huelewi kitu. Ujenzi wa Ikulu haufanyi kuwa Capital City, tumehamisha makao Makuu toka Dar kwenda Dodoma wakati wa Magufuli na kama huamini hili, mimi siwezi kukusaidia. Endelea kwenda kanisa lako!
.
 
Pole sana, endelea kuishi kwa dhana potovu, ndio maana CCM itaendelea kutawala miaka 100 ijayo..
Huu ndiyo ukweli. Hata wakitawala miaka 500 ijayo, hiyo haibadilishi ukweli kwamba uuzaji wa Nyumba za serikali maamuzi yake hayatokani na Bunge.
 
Daaah inabidi nikuache maana hata huelewi kitu. Ujenzi wa Ikulu haufanyi kuwa Capital City, tumehamisha makao Makuu toka Dar kwenda Dodoma wakati wa Magufuli na kama huamini hili, mimi siwezi kukusaidia. Endelea kwenda kanisa lako!
.
Ishu ya Kuhamia Dodoma ilifanywa incrementally. Kila awamu ilichangia.

1. Nyerere na TANU walitoa Azimil la kuhamia Dodoma
2. CDA ikaundwa
3. Bunge lilihamishiwa kutoa Dar kwenda Dodoma.
5.Makao makuu ya CCM yakahamishiwa Dodoma
4. Wakati wa Mkapa Bunge likajengwa vizuri zaidi
5. Kikwete akajenga UDOM
6. Kikwete akatenga eneo la Ikulu mpya na Nyumba za viongozi

Sasa hii ya Magufuli ya kuforce uhamaji abruptly ndo eti tuseme kuwa wenzie hawakufanya kitu kwenye azma ya kuhamia Dodoma?
 
Daaah inabidi nikuache maana hata huelewi kitu. Ujenzi wa Ikulu haufanyi kuwa Capital City, tumehamisha makao Makuu toka Dar kwenda Dodoma wakati wa Magufuli na kama huamini hili, mimi siwezi kukusaidia. Endelea kwenda kanisa lako!
.
Kwa ivo Magufuli ilikuwaje akafia Magogoni!!??

Magufuli aliendeleza mpango wa kuhamishia Makao Makuu Dodoma kama wenzake waliomtangulia walivyofanya.

Sasa kunawezekanaje kukawa na Makao Makuu ya nchi bila ya kuwepo kwa Ikulu!?
 
Hahahaha haki ya nani? Mji unaweza.kuwa na IKULU lakininsio Makao Makuu, nimekupa.mfano Dar es Salaam sasa hivi. Bado huelewi kitu gani?
 
Magufuli hakuwa mtu wa kuingilia mambo ya watu au taasisi. Mzee Mang'ula yule pale alipewa sumu ulimuona kamkamata mtu? Yeye mwenyewe alipewa sumu kabaki analalamika! Kama kweli angekuwa mbaya hivyo, alipokuwa rais mtu wa kwanza kumfanyia ni yule alotaka kumtoa uhai wake lakini hakufanya. Mnashindwa hata kufikiri jamani.

Sema hivi Tanzania inaongozwa kwa imani ya kusadikika. Yaani vitu vya kusadikika kama Mandoga ndiye bingwa wa ngumi wakati kisha pigwa mara mbili hapa hapa nchini. Ndiye anawakilisha Taifa. Sijui UCHAWA yaani miujiza wa Wachungaji ndio inafanya kazi. Hakuna mtu anayekaa akafikiri kwa akili yake ila ya kushikiwa..
Hizo za yeye kupewa sumu ni porojo tu, hakuna ushahidi wowote wa hilo.
 
Hahahaha haki ya nani? Mji unaweza.kuwa na IKULU lakininsio Makao Makuu, nimekupa.mfano Dar es Salaam sasa hivi. Bado huelewi kitu gani?
Ikulu kubwa ya Dar inatokana na Legacy yake kuwa ilikuwa ni makao makuu ya nchi ksbla hayajahsmishiwa Dodoma. Achana na Ikulu ndogo zile za mikoani.
 
Jakakuu mkuu wangu please... Sasa kama Membe alifukuzwa, yeye aliwezaje kuzungumza na Mzee Makamba, January na Nape juu ya hatma ya Magu!

Kigumu kipi hapa nyie watu kuelewa? Haya wote walokuwa Kamati ile wametumbuliwa washtakiwa wanaji mwambafai mabega juu..

..Tulipopishana na pale uliposema Magufuli hakuwashughulikia waliompa sumu Mangula kwasababu hakupenda kuingilia mambo binafsi.

..Sasa najiuliza mtu anayejaribu kumuua Makamu Mwenyekiti wa Ccm, baadae hatajaribu kumuua Waziri Mkuu, Katibu Mkuu Ccm, Spika, au hata Mwenyekiti wa Chama na Raisi?

..Magufuli alikuwa micro manager na mtu wa kuchukua hatua za haraka. Hakuwa na uvumilivu wa jambo lolote ambalo hakupendezwa nalo, au hakulitaka.

..Sasa kwa kuelewa tabia na historia ya Magufuli, unaamini anaweza kuacha suala la kulishwa sumu kwa Makamu wa Cc lipite hivihivi?

..Mimi conclusion yangu ni ama Mangula hakulishwa sumu, au tukio hilo lilikuwa na baraka za Bwana Mkubwa.
 
Hahahaha haki ya nani? Mji unaweza.kuwa na IKULU lakininsio Makao Makuu, nimekupa.mfano Dar es Salaam sasa hivi. Bado huelewi kitu gani?
Sasa Dar imekuwa na IKULU Kihistoria. Lakini kwa Chamwino ilijengwa kimkakati kama mwanzo wa kuhamia Dodoma. Halafu Ikulu ni Makazi ya Kiongozi wa nchi na mpaka sasa hakuna sheria iliyoifuta Ikulu ya Magogoni.

Kwa maana nyingine ni kwamba sasa Ikulu ya Magogoni ni sehemu ya Ikulu ya Chamwino kama ilivyokuwa Chamwino sehemu ya Ikulu ya Magogoni kabla ya kuhamia Dodoma.
 
..Tulipopishana na pale uliposema Magufuli hakuwashughulikia waliompa sumu Mangula kwasababu hakupenda kuingilia mambo binafsi.

..Sasa najiuliza mtu anayejaribu kumuua Makamu Mwenyekiti wa Ccm, baadae hatajaribu kumuua Waziri Mkuu, Katibu Mkuu Ccm, Spika, au hata Mwenyekiti wa Chama na Raisi?

..Magufuli alikuwa micro manager na mtu wa kuchukua hatua za haraka. Hakuwa na uvumilivu wa jambo lolote ambalo hakupendezwa nalo, au hakulitaka.

..Sasa kwa kuelewa tabia na historia ya Magufuli, unaamini anaweza kuacha suala la kulishwa sumu kwa Makamu wa Cc lipite hivihivi?

..Mimi conclusion yangu ni ama Mangula hakulishwa sumu, au tukio hilo lilikuwa na baraka za Bwana Mkubwa.
Ndivyo.mlivyo.aminishwa na kanisa la Mchungaji wenu. Kwa sababu nikupe mfano mmoja mdogo kabisa lakini unafikirisha.

Tundu Lissu.alipigwa risasi sijui 16 akiwa.mahututi alishughulikiwa na waziri wa Magufulu pamoja na Spika akapata nafuu. Akaondoka nchi kwenda Kenya na kisha Ubelgiji. Tuliamini kabisa kuwa ni mpongo wa Serikali ya Magufuli - SAWA. Sote tulidhani hivyo.

Lakini huyo huyo Tundu Lissu mwaka 2020 akarudi nchini bila kuhakikishiwa Usalama wake, akagombea Urais na Magufuli akampa Ulinzi kufanya kampeni nchi nzima bila hata tukio moja la kumuua mpaka tumemaliza Uchaguzi. Eeeeh?!!!

Siku inatangazwa kashindwa anakimbua tena ati Magufuli anataka kumuua! Yaani kwa viongozi wa Kiafrika, hasimu wangu urudi nikupe nafasi ya kugombea Urais dhidi yangu, nikupe na Ulinzi! Aaah jamani hili lawezekana kweli? Sii ndio kajileta mwenyewe!

Tundu Lissu ni sehemu ya Mtandao katumiwa sana kuivuruga Chadema akiwa na lengo la yeye kugombea Urais na sii mtu mwingine toka 2012. Tundu Lissu ni mtu mwenye kujisikia yeye, hata hivi sasa Atawavuruga Chadema. Trust me ni swala la muda tu.

Tundu Lissu ndiye alihakikisha Zitto anaondolewa Chadema maana ndiye alikuwa mshindani kwenye kugombea Urais. Tundu Lissu alihakikisha pia Dr. Slaa anaondoka Chadema ili abaki yeye kama mgombea. Tundu Lissu kafanya viongozi wengi wa Chadema waondoke wengine kwenda CCM sii Mbowe! Huyu ni kama fisi, ana tamaa sana ya madaraka, mchumia tumbo toka akiwa wakili..
 
Back
Top Bottom