Ukishangaa ya Mussa!

Ukishangaa ya Mussa!

Kwa mfano, unampiga Mbunge Risasi ktk makazi ya viongozi wa bunge la serikali halafu unategemea watu wasichukizwe.
Joka kuu Acha uongo na Propaganda chafu na hasi kama hii. Yaani unajiondoa ufahamu? Hivi nani huyo aliyemwona Hayat Raisi akimpiga Risasi Lissu?

Kama kweli mtu huyo ni katili kwa kiasi hicho mlichomwekea cha ukatili-yaani muuaji, mwenye hasira na Tundu lissu unafikiri angemuacha Lissu aanze kukumbatia Friji la Gari.? Hivi watu makini wangemkosa kummaliza Msaliti yule?
 
Sasa Dar imekuwa na IKULU Kihistoria. Lakini kwa Chamwino ilijengwa kimkakati kama mwanzo wa kuhamia Dodoma. Halafu Ikulu ni Makazi ya Kiongozi wa nchi na mpaka sasa hakuna sheria iliyoifuta Ikulu ya Magogoni.

Kwa maana nyingine ni kwamba sasa Ikulu ya Magogoni ni sehemu ya Ikulu ya Chamwino kama ilivyokuwa Chamwino sehemu ya Ikulu ya Magogoni kabla ya kuhamia Dodoma.
Lakini Dar sio Makao Makuu! Bado kipi huelewi
 
Joka kuu Acha uongo na Propaganda chafu na hasi kama hii. Yaani unajiondoa ufahamu? Hivi nani huyo aliyemwona Hayat Raisi akimpiga Risasi Lissu?

Kama kweli mtu huyo ni katili kwa kiasi hicho mlichomwekea cha ukatili-yaani muuaji, mwenye hasira na Tundu lissu unafikiri angemuacha Lissu aanze kukumbatia Friji la Gari.? Hivi watu makini wangemkosa kummaliza Msaliti yule?
Tundu Lissu ni Mchungaji kama kina Zumaridi. 😂😂😂
 
Nyie watu sijui ni kwa nini huwa hamna hata hisia za utu ndani mwenu.

Ben Saanane aligunduliwa na nani kwamba ni Shushushu ndani ya CHADEMA na aligunduliwa lini na wewe ulipata lini taarifa hizo??

Hivi leo unataka kusema kweli kwamba Slaa alikimbilia Canada? Hujui Slaa alikwendaje Canada??
Hajui aandikalo...
 
Kama heheee heeiya la kuvunda na mbanio wake umeipata hio nyongo wakalia uchumi wa nchi hao.
 
Kama shule za kata tumezisikia toka Lowassa akiwa makamu wa rais..kwikwikwi!
Kwa hili tu mimi nimekuona una tatizo la kiufahamu.

Huyo Lowassa amewahi kuwa makamu wa Rais wa nchi gani kweli? Au ni Lowassa mwingine si huyu tunayemfahamu?
 
Inatia shaka..
Tatizo lenu ndio hili, hata mkiambiwa huyu ndiye Mkandara yule yule hamuwezi.amini kwa sabanu mmejenga imani za Walokole mnataka kusikia yale yanayo wapendeza na kuwapa tumaini.

Ukweli hamuutaki. Yalisemwa lakini - "Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii, wana akili lakini hawaelewi" sijui niwasaidiaje!
.
 
Kwa hili tu mimi nimekuona una tatizo la kiufahamu.

Huyo Lowassa amewahi kuwa makamu wa Rais wa nchi gani kweli? Au ni Lowassa mwingine si huyu tunayemfahamu?
Unatafuta kosa dogo wakati hoja unaielewa! Tatizo la shule za kata! Kwikwikwi..
 
Tatizo lenu ndio hili, hata mkiambiwa huyu ndiye Mkandara yule yule hamuwezi.amini kwa sabanu mmejenga imani za Walokole mnataka kusikia yale yanayo wapendeza na kuwapa tumaini.

Ukweli hamuutaki. Yalisemwa lakini - "Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii, wana akili lakini hawaelewi" sijui niwasaidiaje!
.
Sawa mkuu..
Tulizoea kusoma mada zenye nguvu.
 
Sawa mkuu..
Tulizoea kusoma mada zenye nguvu.
Hahaha leo siku ya kwanza tu, tumeshafika page nne, unataka nini zaidi - Ukishangaa ya Mussa. Nimeamsha mzuka ulolala! Kila swali nimejibu hoja kwa hoja! Sema mnashindwa kumeza kama wale waumini wa Zumaridi hata uwambie nini. Na bahati mbaya sana mtu kama huyo yupo huru anadai kenda mpaka mbinguni kuonana na Mungu!. Media zote Inataka kuongea naye! Ndio habari ya mujini..😂😂😂
 
Wapinzani gani walotekwa? Hivi Yule Meya alipotaka kutekwa na kina Kubebea ilikuwaje? Na iliishaje.mbina hamkusema!

Ben Saanane aligundulika ndani ya Chadema kuwa Shushushu wa CCM. Alimpifa vita mpaka Zitto akaondolewa Chadema. Dr Slaa mwenyewe 2016 alikimbilia Canada! Alikimbia nini? Kwa nini mnadhani ni Magufuli tu ndiye mtekaji?

Let's be reasonable. Kama kweli Magufuli angetaka kuua Upinzani kwa.kupoteza watu, basi watu kwanza kukamatwa wakapotezwa wangekuwa MBOWE, ZITTO, LOWASSA na MAALIM SEIF maana hawa ndio nguzo ya vyama hivyo. Hakuwagusa kabisaaa. Lakini utasikia sijui Abdul nani! Mawazo! Hawa kina nani haswa.mpaka Magu aweke nguvu dhidi yao.

Hakuna mtu alowajua hawa watu mpaka wamepotea kimazingira ndio parapanda zikapigwa dhidi ya Magufuli wakaachwa Wachungaji. Leo hii kuna Watoto wa kiume wanalawitiwa kama hakuna dini. Wachungaji ati wanakana Ushoga wakati wao wenyewe Mabasha!

Eeeh Mola tuepushe na Balaa hizi
Mkuu Mkandara,
Sikuhizi umekuaje kujenga hoja inakupiga chenga sana...ndiyo wewe ulikuwa unaanzisha majadiliano na akina Zakumi na Nguruvi?

Au kuna sehemu imepata itilafu kichwani mwako? Shida ni nini?
 
Huyu ni Mkandara wa enzi zile? Au kuna Kinyago alikichonga kwa jina lake???
Mkuu nimeshangaa sana, naisi wengi wanashangaa sana kwa ndugu yetu huyu...kama kuna mtu yupo karibu nae amshauri alife hospitalini kwa ajili ya vipimo...Kuna kitu hakipo sawa kwake.
 
Lakini Dar sio Makao Makuu! Bado kipi huelewi
Kwani unaandika bila ya kuwa na Mantiki? Dodoma imekuwa ni makao Makuu kwa sasa lakini sehemu ya Ikulu yake iko Dar. Dar si Makao Makuu (The Capital City) lakini kuna Ikulu ambayo ni sehemu ya Ikulu ya Chamwino.

Hoja hapa ni kwamba wakati Dodoma inatayarishwa kuwa Makao Makuu (Designated Capital City) sehemu mojawapo ya matayarisho hayo ilikuwa ni kujenga ikulu kwa ajili ya adhima hiyo. Na ikulu hiyo ikawa ni Chamwino. Kwa ivo Dodoma wakati ule haikuwa ni Makao Makuu lakini ilikuwa inatayarishwa kuwa Makao Makuu na Ikulu ya Chamwino ikawa ni sehemu ya Ikulu ya Dar.

Kwa ivo kusema kuwa Chamwino ilikuwa ni kama Ikulu ndogo za mikoani hilo siyo sawa. Na siyo Magufuli peke yake aliyefanya juhudi za kuifanya Dodoma kuwa Makao Makuu.

Ukianzisha mjadala uwe na kumbukumbu ya kinachojadiliwa. Hakuna asiyejua utofauti kati ya Ikulu na Makao Makuu ya nchi. Na hakuna Makao Makuu ya nchi bila ya kuwepo kwa Ikulu ya nchi kwenye mji wa Makao Makuu.
 
Back
Top Bottom