Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,918
- 38,241
Ndio
wale wapenzi wanaofwatilia mpira wa miguu nchini watakuwa na mimi mpira wa miguu
ni moja ya michezo yenye vituko dunian....sina muda mwingi kukaa jamvini labda kwa mliotanzania
na hata wale mliochana kwenye ndege gamba zetu za kijani naamini mnaweza ona mitandaoni
waandishi wa habari wakimkaririr mh kaburu wa simba akilaani amekuwa akimpigia sana owki apokei simu yake na mbaya wametuma tkt hata kujibu ameipata ama lah
baada ya siku mbili nilicheka zaidi kusikia aden akisema okwi anakwenda tunisia...nilibaki kujiuliza hii ni kaul za viongozi wa tiimu tofauti ama ni simba ile ile moja
ndugu wapenzi nimeshtuka na hapo hapo kufurahi kusikia hitimisho la haja ya moyo wa owki tangu aje tanzaania limetimia kwa hakika mungu sio aden wala kaburu sala zake mungu amezisikia ..shukran za pekee ziwaendee mzee wangu aden amekuwa hana hiyana kugawa vijana wake ukiwaitaji ...na mh kaburu
ombi langu jitahdini muwe kitu kimoja kauli zenu kwa vyombo magazeti zinatutisha sie tulie nje kujua kinachoendelea simba