Ukishangaa ya gazeti la Tanzania Daima utastaajabu ya Fatma Karume

Hebu tujadili hoja hii kiuharisia.
1.fatma alisimamishwa uwakili nasiyo kufukuzwa au kufutiwa lisence ya uwakili.
kwahiyo baada ya kusimamishwa sasa anaitwa kwenye kamati ya maadiri ili kamati imuhoji na kusikiliza utetezi wake na baadae maamuzi yatoke kama ni kusamehewa kwa kupewa onyo, onyo kali, au kufutiwa kabisa lisence!
Halafu Wakili msomi anakuja na kibwagizo cha kwamba wananiitaje kama wakili wakati walishanisimamisha, na anasema siendi waamue wanavyoamua! Kumbuka huyu niwakili msomi.

Halafu wanatokea watu wanamuunga mkono kwamba yupo sahihi,

Kama nilivyounganisha hoja ya fatma karume na yagazeti la tanzania daima

Kama hakili za watanzania wengi nikama za wanaomuunga mkono fatma, ccm itatawala milele
kundi lote linalomuunga mkono fatma karume nikipimo tosha kwa ccm kuwa itatawala milele
Nimesema ccm itatawala milele kwa sababu.
1.siasa ni sayansi
2.Alichokifanya fatma siyo kwamba hakijui anakijua ila niutafiti wa kisayansi kujua uelewa wa watanzania ktk siasa za kiuchumi na siasa za kushabikia
3.kuna kijana mmoja aligombea ubunge ndani ya chama cha upinzani pale ubungo aliingia huu mkenge akafikia hatua yakumwambia rais wa wakati huo jk kuwa afungwe nepi, km hakufundishwa na wazazi wake basi atamfundisha.
huyu bwana aliingia mkenge km huu unaoletwa na akina Fatma karume nawatu wanaingia mkenge.

Fatma karume anajua anachokifanya, ndio maana hajawahi kuvunjwa mkono, kulala sero, kupigwa marungu na kukimbizana na mapolice.

Fatma karume anajua alifanyalo.
 
Lile litoti,kula kulala Bia Yenu,sijui lilimuibia nani simu janja,nadhani limeshakamatwa halina tena.
 
Wale wanao muunga Fatma katika jambo hili yawezekana team shangazi kuchambua pumba na mchele au nichenga kabisa ndani ya mchele.

Unapotembea kwenye njia ya reli kuwa mwangalifu mwangalifu sana.
 
Why and how?!.
Mimi najiona as I grow old, nabadilika na kuwa Mzalendo zaidi, wiser and see things in much broader sense. It's very unfortunately sio wengi humu sees what I see, hivyo ni kawaida.
Watu walimziea Pasco wa jf, kijana mjenga hoja shupavu asiyeogopa kitu wala mtu, lakini Paskali ni Mzee, makini, mwenye busara and walks very very careful kwenye njia ya reli!.
P

Naam kwenye njia ya Reli, dereva wa treni hana haja ya kutumia akili kukata kona. Ni kutumia busara za kizee na kujikalia kimya treni itakata kona tuu
 
yaani ma CCM ni maoga zaidi kunguru, pamoja na kiki na promosheni yoote wanayo fanya kwa chama yameogopa 'nguvu ya gazeti' yameona ni bora kulifungia Tanzania daima adi uchaguzi upite ………...
 
Back
Top Bottom